Kuna mama jirani hapa kaja kunitembelea Leo,huyu Mama kazi zake ni za saidia fundi, kufua pamoja kufanya usafi Kwa watu.
Sasa Leo alichonishangaza ni alichoniambia, kuwa Jana alipikia watoto Wake ( wako below 11 yrs)chakula ambacho ni muda mrefu hawajala.
Anaendelea kusema kuwa siku ya Jana...
Habari zenu, kuna kijana kafariki kwa sababu ya madonda ya tumbo hapa mtaani, inasemekana ametapika sana damu kabla ya mauti kumkuta na sio mara ya kwanza, hivi madonda hayahaya yanaweza kumpelekea mtu kutapika damu nusu ndoo? Kijana wa watu kafika hospitali wakajua amepata ajali! Nnajiuliza...
Kwanini tuna wachungaji, mashehe, wanasiasa na matapeli wengine kama hao barani Afrika kuliko mabara yaliyoendelea kiuchumi?
Je, wingi wa makundi haya unatufundisha au kututahadharisha na nini? Kwanini Afrika ina makanisa mengi sambamba na watu maskini wengi?
Kwanini nchi zilizoendelea zina...
Chanzo Kikuu:
# Maambukizi ya bakteria Helicobacter pylori (H. pylori) chanzo chake ni matumizi ya muda mrefu ya dawa za kupunguza maumivu kama Aspirin, Ibuprofen, Diclofenac).
# Dalili zake ni pamoja na:-
Maumivu ya tumbo sehemu ya juu.
Gesi Kujaa tumboni au kuvimbiwa mara kwa mara.
KuWa na...
Punguza Tumbo na Mafuta Mwilini
Ungependa kuondoa kitambi na kuishi na mwili mwepesi, wenye afya na nguvu kila siku?
Soma kwa makini siri hii rahisi lakini yenye matokeo makubwa. Hii ni kwa wewe mwanaume au mwanamke, unaweza kuona mabadiliko makubwa ndani ya muda mfupi.
Kinywaji cha Asubuhi...
Habari wanajamvi, najua mmekesha na kusubiri mkeka wa wagombea. Ila naomba kuwapa swali kidogo: nikiwa najisaidia haja ndogo halafu nikijishika korodani, tumbo linaanza kuniuma sana. Tatizo nini?
Habari za mchana wana jamvi naomba kuuliza vidonda vya tumbo na hylori ni vitu vinavyotegemea?namaanisha kwamba unaweza kupima h-pylori hlf kwenye kipimo iko iko doctor akagundua una vidonda vya tumbo?
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli.
Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha.
Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!!
Hiki ni kituko sana.
Sisemi kuwa...
Habar wakuu nimekua nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo mda Sasa tangu 2019 nilipima mpaka endoscopy nkaonekana na vitatu vidonda na acid,,nimetumia dawa za hospital kila aina Bado msaada wenu wa tiba kwa waliopona kupata changamoto ya Madonda ya tumbo sugu
Hii dawa ni ya kienyeji! Hii dawa imesaidia watu wengi na vidonda vya tumbo kwao imebaki historia.
Ni dawa ya maji kwa mgonjwa ambae vidonda vina muda mrefu atapaswa kupata doz 2 mpaka 3 na kwa mgonjwa ambae vidonda havina muda mrefu mwaka mmoja kushuka chini atatumi dozi 2 tu.
Bei ya dozi...
Wakuu mpo!
Mfumo wako wa chakula (Tumbo) ni muhimu kama ubongo. Inashangaza kuona watu wakipanda boda boda wanavaa helmet ila wakienda kula wanakula kimazoea bila kulijali tumbo kama wanavyo kijali kichwa. Watu wengi hawalijali Tumbo,
Shibisha tumbo lako kwa kula vyakura vizuri mboga mboga na...
Habari zenu wanajamii naomba ufafanuzi juu ya tumbo langu inafika siku linanguruma sana hlf nikienda haja napata choo kilain kiufupi huwa naharisha mwisho choo kinakuwa kama makamasi ila hii hali inakuja na kukata kwa vipindi tofauti hii inakuwa inasababishwa na kitu gani?
Naona WanaCCM hawataki kuwa na katiba kama ilivyopendekezwa na tume ya Jaji warioba.
Mfano , taifa letu kuwa na Mawaziri wasio wabunge na hata kuwa na tume huru ya uchaguzi.
Kwa katiba hii na Philp Mpango ameona kuna mizengwe baada ya uchaguzi 2025 tutarajie ufisadi kama ule wa Kagoda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.