Mgombea ubunge wa jimbo jipya la Uyole, jijini Mbeya, Dkt Tulia Ackson, amewaondoa hofu wananchi wa kata ya Iduda, kuwa ilani ya chama cha mapinduzi inaeleza namna itakavyo boresha miundombinu ya barabara inayounganisha kata hiyo na Mbeya vijijini hadi Rungwe ambayo imekua shida kwa wakazi wa...