Dr. Tulia Ackson (born November 23, 1976) is the Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office since 2022. She was appointed as a Member of Parliament by President John Magufuli.
Amesema Dkt.Tulia Ackson, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ibada maalum ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo...
Kupitia ukurasa wake mtandaoni Spika Mstaafu na Mbunge wa Uyole ameandika;
"Nawapongeza wanachama wote wa Kamati inayowakilisha Bunge la Muungano wa Myanmar (CRPH) kwa mapambano yenu thabiti dhidi ya ukandamizaji na kwa kujitolea kwenu bila kuyumba kwa matarajio ya kidemokrasia ya Myanmar. CRPH...
Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson, leo Disemba 19, 2025, ameifuta machozi ya familia ya Emmanuel Julius Kyanula kutoka kata ya Igawilo, Uyole, ambayo ilipata janga la nyumba kuungua kwa moto.
Akizungumza...
Hii leo Disemba 19, 2025, Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson amepeleka nuru kwa Familia ya Anyomwisye Mwalyaje ambayo ilipata janga la nyumba kuungua kwa moto katika kata ya Ilemi.
Dkt.Tulia...
Tulia Trust watoa vifaa vya ujenzi wa nyumba iliyoungua kwa moto, Kata ya Ilemi Mtaa wa Mwafute, waiomba jamii kuendelea kutoa taarifa kwa wenye mahitaji ili waweze kufikiwa pia.
Muwakilishi wa Idara ya Habari na Mawasiliano TULIA TRUST, Addy Kalinjila amezungumza baada ya kukabidhi vifaa vya...
Huyu dada, very ambitious, alidhani kuwa kwa kukubali kutumiwa kwake basi pengine atapanda ranks na kuwa mtu mkubwa zaidi ya cheo alichozawadiwa. Matokeo yake akaligeuza bunge kuwa chawa wa rais, akashiriki kubariki azimio eti la kumpongeza rais utendaji wake wakati alitakiwa amsimamie huyo...
Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashidwa Tanzania!
https://www.ipu.org/about-ipu/structure-and-governance/president
Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki
Kwenye Page yake ya Instagram, aliyekuwa Spika wa Tanzania bunge la 12, Kapost Picha yake akiambatanisha na wimbo wa Lucky Dube wa Jah save Us, Kipande kinachosema tafsiri isiyo rasmi kwamba;
"Watu waliokuwa wamebeba bunduki aina ya machine gun(MG) wamemfuata Nyumbani kwake. Watu hao walikuwa...
Kitendo cha kutogombea Uspika, kwanza ni kutubu kwa Mungu wake kwamba anaenda kuongoza Wabunge ambao hawajachaguliwa na Wananchi.
Pili ni Usaliti kwa Samia Suluhu Hassan ambao mafisadi au wanaonufaiki na mfumo wake wanaona ni Rais wao.
Tatu anataka kujijenga Kimataifa. Sababu Dunia imeukataa...
Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU
Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu
Sababu
1...
Mgombea ubunge jimbo la Uyole, jijini Mbeya, Dkt. Tulia Ackson, ameahidi kumalizia kazi aliyoianza ya kufanikisha upatikanaji wa maeneo kwaajili ya mafundi wa magari ambao hufanya shughuli zao maeneo ya magerejini kata ya Mwakibete.
Akiendelea na kampeni zake za kata kwa kata Dkt. Tulia amesema...
Mgombea ubunge wa Uyole kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Tulia Ackson amesema atahakikisha barabara ya Juhudi mpaka Ilemi inajengwa kiwango cha lami ili kuondoa adha kwa wananchi katika msimu wa mvua.
Dk Tulia amesema hayo leo Ijumaa Oktoba 3, 2025 katika mkutano wa kampeni wa...
Mgombea ubunge wa jimbo la Uyole jijini Mbeya Dkt Tulia Ackson, amewaomba wananchi kujitokeza kupiga kura siku ya oktoba 29 ili kuchagua viongozi wanao wahitaji kuwaongoza baada ya uchaguzi mkuu.
Dkt Tulia ameeleza hayo wakati akinadi sera kwa wakazi wa kata ya Ilemi ambapo amewaambia kua...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Igawilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Msole Sanga amepongeza jitihada za Dkt. Tulia Ackson kwa namna alivyowasaidia wananchi wa kata hiyo pamoja na Jimbo jipya la Uyole kwa ujumla, licha ya kumpigia magoti akiomba ujenzi wa barabara za lami katika mtaa wa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo jipya la Uyole Dkt. Tulia Ackson amesema ili kuinua secta ya kilimo ndani ya Kata ya Iganjo jijini Mbeya watahakikisha Mbolea za Ruzuku na Pembejeo zote za kilimo zinapatikana kwa wingi ili kuongeza tuja katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara kwa wakazi wa kata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.