tujifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania – Tujifunze kwa Norway jinsi Inavyogawa Utajiri wa Taifa kwa Wananchi Wake.

    Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
  2. JamiiForums Tanzania Dr Slaa aliwahi kuonesha resprocal obligation Tujifunze kwake lakini pia asipoteze karama hiyo

    Resprocal obligation ! Kwa kiswahili rahisi sana hili ni jukumu "nenda rudi" Dr Wilbrod Slaa aliwahi kuwa padre wa kanisa katoliki na baadaye akaomba kuondoka kwenye upadre kwa mujibu wa taratibu za Kanisa na baadaye akaruhusiwa "kuacha" upadre japo ukishakuwa padre kamwe haiwezekani kuwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tujifunze machache kuhusu umeme wa mwilini unavyoweza kukusaidia kuishi au kukuharibu mazima

    Ndugu karibuni katika mada hii japo nitasema kwa uchache. Pamoja na kwamba mimi ni fundi umeme na ujenzi lakini hapa kwa leo nitazungumzia zaidi umeme ambao upo ndani ya miili yetu zaidi. Nikiwa nafanya kazi zangu za kiufundi umeme huu tunaotumia majumbani nilikuja kubaini kuna uhusiano mkubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tujifunze kuishi na watu vizuri maisha yana siri na fumbo zito

    Hellow guys!! I hope y'all doing well, and all is well, nimetoka kwenye usingizi wa kifo, i mean nilikua nimelazwa kwa wiki ya pili bila kujitambua, ilikua ghafla sana ilikua hivi nimeamka siku moja nahisi kumichwa kuumwa,kizunguzungu kikali, natapika vitu vichungu good enough nilikua nimepita...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

    Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa. Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
  6. JamiiForums Tanzania Tujifunze

    Alikuwa anazama. Na hakuna aliyegundua... Hakuna, isipokuwa yeye mwenyewe. Ilikuwa Juni 2022, kwenye Mashindano ya Dunia huko Budapest. Anita Álvarez, mwogeleaji wa sanaa kutoka Marekani mwenye asili ya Ki-Mexico, alikuwa akifanya onyesho lake kwa ustadi wa hali ya juu. Lakini maonyesho...
  7. JamiiForums Tanzania Shukuru Mungu Kwa Maisha Uliyonayo Wengine Hawana Kabisa Pa Kuanzia, Tujifunze Kusaidiana

    Jana majira ya saa tano usiku wakati najiandaa kucheki muvi, nikapatwa na msukumo wa kutoka nyumbani na kwenda kuzurura mitaani. Huwa ninafanya hivi mara kwa mara ila msukumo wa jana ulikuwa mkubwa. Nilipotoka ndani, kwanza nikakutana na kibaridi kinapiga, nilitaka kusitisha safari ila nikasema...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mfano wa Sauli na Daudi; Watanzania tujifunze kuwa na shukrani. Mlichoomba ndicho mlichopata

    Mlisema Magufuli ni dictator, mpaka mwenyezi Mungu alipomtambulisha dictator wa kweli! Sasa ni full kilio na kumuuliza Mungu kuwa tulimkosea nini. Mungu alitupa Sauli nae akajawa na kiburi; Mungu akamuondoa baada ya watu wa taifa lake Kuomba kubadilishiwa kiongozi. Now tupo na Daudi ambaye...
  9. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Pili: Si Kila Mvutaji Bangi Ni Mhalifu – Tujifunze Kutojiharakisha Kuhukumu

    Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya bangi. Ni kweli bangi imeorodheshwa kama kitu haramu katika sheria nyingi, lakini je, hiyo inatosha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imekosea kujitoa mazungumzo na CCM. Tujifunze hapa

    Chadema imefanya kosa kubwa kujitoa ktk mazungumzo na ccm. Ccm ndio yenye dola. Tujifunze hapa kwa waislam walipokuwa hawana nguvu walifunga mkataba na wasiokuwa na waislam baada ya mazungumzo marefu. Mkataba Mkataba wa Hudaybiyyah ulikuwa ni makubaliano ya amani yaliyofanyika kati ya Mtume...
  11. JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania tujifunze na kuwafundisha watoto wetu kuacha tamaa za madaraka

    Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii. Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
  12. JamiiForums Tanzania CHINA AMEKWISHA SHINDA VITA YA UCHUMI DHIDI YA MAREKANI : MAREKANI ALIKOSEA KUCHANGA KARATA

    CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina. Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  14. JamiiForums Tanzania Sister Theodore na Watoto tujifunze kupitia Mathayo 7:9-11

    Wakuu Biblia inatuambia kupitia maneno ya Bwana Yesu kwenye Mathayo 7:9-11 kwamba 9 Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? 10 Au akiomba samaki, atampa nyoka? 11 Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Si zaidi sana Baba yenu...
  15. JamiiForums Tanzania Africa tujifunze kucheza na fursa kupitia hii adhabu walopewa china na trump

    Mataifa ya afrika ni wakati wetu wa kuamka na kupigana hii vita ya tatu ya dunia iliyobadilishwa upepo na kugeukia kwenye vita ya kiuchumi. Waafrika hii vita ni yetu na tukicheza vizuri hakika tunatoboa na kusonga mbele na kuacha kuwapigia magoti mabeberu kuwaomba msaada ili hali tuna maligafi...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kuukubali Ukweli hata uwe Mchungu Vipi. Hili la Wasomi kusoma VETA japo Chungu, ndio Ukweli Wenyewe!

    Wanabodi kwa wiki hii nzima,nimekuwa nikishinda ukumbi wa JNICC,kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya VETA, tumamaliza jana,nikajua shauri ya uchovu nitalala fofofo,kumbe wapi!usingizi umekata hivyo nimeshuka jf。 Huu mjadala wa wasomi wa chuo kikuu kusoma VETA,ni mjadala muhimu,na umekuja wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Tujifunze kutoka Katika picha hizi zenye mafumbo

    Tuanze na hii. Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini. Maana yake ni kwamba ,kama tutajiona wenyewe kama wenye shida na uhitaji hakika tutaguswa kuwasaidia. Picha ya pili hapa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kupitia Zelenskyy na vita ya Ukraine

    Trump na Elon Musk wanamuita Zelensky dikteta,asiye na huruma,asiyependa watu wake, tapeli n.k. Mazungumzo ya kumaliza vita yanafanyika Saudi Arabia bila uwepo wa Ukraine, Zelensky anaambiwa atoe sehemu ya madini yake muhimu kwa Marekani Ili kufidia gharama za vita, Urusi kachukua maeneo muhimu...
  19. JamiiForums Tanzania Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
  20. JamiiForums Tanzania Tujifunze Kutoka kwa Mafarao

    Habari za jukumu wakuu Ili nisiwachoshe naomba niandike kwa ufupi, hiki ambacho nimeona ni vyema kuwashirikisha Kiasili asilimia 96% ya nchi ya Misri ni jangwa hali inayopelekea Misri kukumbwa na changamoto za kimazingira kama vile upungufu wa maji, ukame, joto kupita kiasi na changamoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…