Kuna mahali nadhani tunaparuka! Kwa mamna ya kauli za baadhi ya wabunge jana inaonesha dhahili kuwa hawako upande wa wananchi zaidi ya kuwaza matumbo yao!
Nadhani hawa tunawamudu kiurahisi mnoo majimboni kwanini tusianzishe mchakato majimboni kwa namna yoyote ile ili mradi tu na wao waipate...