trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Trump kuiondoa Marekani kwenye Muungano wa NATO

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anafikiria kwa kina kuiondoa Marekani kutoka kwa Muungano wa NATO baada ya washirika wa muungano huo kushindwa kuunga mkono hatua ya kijeshi za Marekani dhidi ya Iran, kulingana na mahojiano na gazeti la Uingereza, Daily Telegraph. Soma pia Marekani...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump azidi kusisitiza kila mtu akachukue mafuta yake Homurz.Yeye basi

    Tofauti na waziri wake wa ulinzi,Hegeseth,Trump yeye hajivungi tena kuhusu kushindwa vita alivyovianzisha na Iran. Wakati wa mahojiano hapo jana na mashirika ya habari.Trump amerudia kwa mara nyengine kusema kuwa nchi zinazounda umoja wa NATO ni kama chui wa karatasi tu.Akawapa mipasho kama ile...
  3. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Trump kasema ataenda mahakamani leo kushuhudia shauri la kupitisha sheria ya kubatilisha 'uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani

    Mzuka wana jamvi ? Rais wa Marekani kasema Leo hasubiri kuona kwenye Tv Ofisini anataka kwenda live mahakamani kuangalia shauri la kufuta uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani. Trump anadai hiyo ilikuwa Maalumu kwa ajili ya watoto wa watumwa enzi hizo Marekani na haipaswi kuwepo sasa , ameenda...
  4. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Sijaona Rais mwenye lugha za kihuni, kejeli, dharau na kuropoka ovyo kama Donald Trump

    Mzuka wana jamvi ? Nimekuwa nikimfuatilia hotuba zake , post na matamko yake amekuwa mtu ambaye hachagui lugha wala Cha kuzungumza lolote linalo mjia twende. Press ya juzi alivyosema Mfamle wa Saudia "anamramba matamko" jinsi anavyoeleza kihuni kama msela wa Tandale kwa tumbo. Jinsi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Trump kawa kichaa

    Leo kaja na mpya eti Iran kakubali masharti 15 Iran wakasema huyu dunia nzima wameisha muona hayuko sawa ghafla ka tweet Iran asipofungua Hormuz tapiga power station zote na visima vya mafuta hahaha kweli huyu kisha changanyikiwa hata USA wanasema akapimwe akili zake
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Dakika zinakaribia za Trump kupiga magoti na kuomba msamaha

    Trump agundua Israel ilimdanganya " -sasa kupiga magoti na kuomba msamaha Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, Rais wa Marekani Donald Trump wakati wa mkutano wake na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika Ikulu ya White House mjini Washington Septemba 29, 2025. Mapitio ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania William E. Trachman nominated to serve as the U.S. Ambassador to the United Republic of Tanzania

    William E. Trachman is a Colorado-based attorney and legal scholar who has been nominated by President Trump to serve as U.S. Ambassador to Tanzania. Prior to this nomination, Trachman established a significant legal career focused on constitutional law, civil rights, and education policy...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu kote Marekani waandamana kupinga Sera za Trump

    Maandamano makubwa dhidi ya utawala wa Trump yamefanyika katika miji mbalimbali kote Marekani, yakionyesha duru ya tatu ya maandamano ya “No Kings” ambayo hapo awali yalivutia mamilioni ya watu. Waandaaji wanasema wanaandamana kupinga sera zilizowekwa na Rais wa Marekani, Donald Trump, zikiwemo...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Trump: Iran walipiga meli yetu tukaikimbiza tuogopa tusije kufa

    Wanaukumbi. Trump: "Iran ilipiga shehena kubwa zaidi ya ndege duniani kutoka pande 17 tulikinbia ili kuokoa maisha yetu ilikuwa tumekwisha" Tulikuambia ilipigwa na ikakimbia. Sasa Trump anathibitisha.
  10. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Kumbe ile zawadi ambayo Trump aliisema amepewa na Iran ni huyo kamanda wa jeshi la majini

    Dunia ina mambo. RIP kamanda
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mwana Mfalme MBS amuambia Trump aendelee kutoa Kipondo kwa Magaidi wa IRGC

    Mkuu wa Taji wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ameripotiwa kumshawishi Rais wa Marekani, Donald Trump, kuendelea kuongeza shinikizo dhidi ya Iran, akieleza kuwa mgogoro huo ni “fursa ya kihistoria” ya kubadilisha nguvu za kisiasa katika Mashariki ya Kati na kudhoofisha utawala wa Iran...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Trump amedai Iran imetoa “zawadi kubwa” kwa Marekani

    Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi. Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani. Hata...
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Trump ahamisha furushi la lawama; asema yanayoendelea sasa ni mawazo ya Pete Hegseth. Yeye hajaanzisha hii vita.

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa hakuwa mwanzilishi wa mgogoro unaoendelea hivi sasa na Iran, huku akisisitiza nafasi ya Waziri wake wa Ulinzi, Pete Hegseth, katika mchakato wa kufanya uamuzi huo. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara, Trump alielezea majadiliano ya ndani...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Trump Kakimbia Vita

    https://youtu.be/UOlqEJEsEI4?si=shzpruz0fzVk93XV Ujumbe ndio huo Israel wanaendelea kupewa kichapo, na Israel wameshangaa kusikia Trump kakubali kusimamisha vita na Iran Mkuu wa Majeshi ya anga wa Iran vita vitaendelea mpaa target zetu zikamilike kwa faida ya Iran
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Vitisho Vya Donald Trump Vya Saa 48

    https://youtu.be/FoGNAGeY-uM?si=pdhjydsSkPd8r8fq
  16. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Trump asema mazungumzo yalifanyika kuhusu 'suluhisho kamili la uhasama' na Iran

    CHANZO CHA PICHA, EPA Maelezo ya picha, Trump Donald Trump anasema kumekuwa na "mazungumzo yenye tija" kuhusu "suluhisho kamili " kwa mzozo wa Mashariki ya Kati. Anasema "ataahirisha mashambulizi yoyote dhidi ya mitambo ya nishati ya Iran na miundombinu ya nishati" kwa muda wa siku tano...
  17. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania SAFI SANA, Trump amejishusha na kukubali kusitisha mashambulizi Iran

    Niaje waungwana Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya. Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trump asitisha mashambulizi Iran kwa siku 5 "Tumezungumza"

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kusitisha kwa muda wa siku tano mipango yote ya kijeshi ya kushambulia miundombinu ya nishati ya Iran, kufuatia kile alichokielezea kama mazungumzo "mazuri sana na yenye tija" yaliyofanyika ndani ya siku mbili zilizopita kati ya mataifa hayo mawili...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Hitler wa Zama Hizi?

    https://youtu.be/5uVhOvh4AvY?si=a9aETLRZuF9El3ww
  20. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Trump aipiga mkwara Greenland (Denmark) na NATO kuhusu vita ya Iran. Iran yasema safari hii itailinda NATO

    Niaje waungwana Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani. Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama...
Back
Top Bottom