trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Marekani yazidi kusogelea katika giza la udikteta, Trump atishia kuvifuta vyombo vya habari vinavyomkosoa.

    Yale mambo ya ulimwengu wa tatu ya banana republics ya mtawala hakoselewi sasa yameanza kushika kasi Marekani katika awamu ya pili ya Trump, tayari ameshamfukuzisha kazi comedian mmoja mkubwa maarufu Stephen Colbert wa CBS ambaye ni mmojawapo wa wakosoaji wake wakubwa, ameshavuna mabilioni ya...
  2. The Zanzibar Echo

    Netanyahu, Trump 'wayakacha' mazungumzo ya Doha

    Kuna kila dalili kwamba Israel na mshirika na mfadhili wake mkuu, Marekani, wameamua kuachana kabisa kabisa na Kuna kila dalili kwamba Israel na mshirika na mfadhili wake mkuu, Marekani, wameamua kuachana kabisa kabisa na majadiliano ya kusitisha vita vya Gaza na sasa wanasaka "njia mbadala...
  3. R

    Trump amtuhumu Obama kwa Uhaini kushirikiana na Urusi Uchaguzi 2016

    Rais Donald Trump amemtuhumu Barack Obama kwa uhaini, akidai aliongoza njama ya kumhusisha na Urusi ili kuhujumu kampeni yake ya 2016, ingawa hakutoa ushahidi. Msemaji wa Obama alikana madai hayo na kuyaita ya kipuuzi na ya kupotosha Ripoti ya intelijensia ya Marekani ya 2017 ilibaini kuwa...
  4. Yoda

    Kesi ya Trump ya uhaini dhidi ya Obama itawapa nguvu zaidi madikteta wa Africa

    Tawala zisizo za kidemokrasia za Africa huwa zinapenda zaidi kuchukua mifano mibaya na makosa ya magharibi kuhalalisha maovu yao na ukandamizaji wanaowafanyia wapinzani na wakosaoji wao, ikiwa msukumo wa Trump na serikali yake pamoja uhanikizaji wa MAGA utafanikiwa kuwapa shinikizo waendesha...
  5. Papillon 1906

    Ellen Degeneres: naenda kuishi uingereza sababu ni Donald Trump

    Mtangazaji wa runinga, mwandishi na muigizaji kutoka marekani Ellen Degeneres ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza toka alipoamia nchini uingereza, ameamua kuishi nchini uingereza mara baada ya raisi Donald Trump kuchaguliwa tena kuwa raisi. Mtangazaji huyo ameiambia hadhira huko Cheltenham...
  6. Jackal

    Kumbe Ile Trump Kuambiwa Alishirikiana Na Urusi Kuingilia Uchaguzi Wa Mwaka 2016 Wa Marekani Ilikuwa Ni "Hoax" Iliyotengenezwa Na Obama

    Tulsi Gabbard's Revelations Confirm a Deep State Conspiracy Against Trump 🚨BREAKING NEWS FROM DNI Tulsi Gabbard: "Americans will finally learn the truth about how in 2016, intelligence was politicized and weaponized by the most powerful people in the Obama Administration to lay the groundwork...
  7. The Zanzibar Echo

    kulu ya White House yanasema Trump ana ugonjwa wa sugu wa mshipa

    Donald Trump anaugua ugonjwa sugu wa mshipa, Ikulu ya Marekani ilitangaza siku ya Alhamisi, baada ya siku kadhaa za uvumi kuhusu picha zinazoonyesha michubuko kwenye mkono wa rais huyo wa Marekani. Baada ya hivi karibuni kupata uvimbe kwenye miguu yake, Trump alifanyiwa "uchunguzi wa kina"...
  8. The Zanzibar Echo

    Zelenskiy asema yeye na Trump wanalenga kufanya makubaliano makubwa kuhusu ndege zisozo na rubani

    Rais Trump na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, wanafikiria "mpango mkubwa" ambao utaifanya Marekani kununua ndege zisizo na rubani za Ukraine zilizojaribiwa katika uwanja wa vita huku Kyiv ikikubali kununua silaha kutoka kwa Marekani, kiongozi huyo wa Ukraine alisema. Akizungumza pekee...
  9. Fascinating

    NVIDIA Kuendelea kuuza Chip za H20 China, Ni ishara kuwa sera za Trump zinachemka?

    Vikwazo ni suala moja, lakini kuvitekeleza ni suala jingine kabisa. Wavuvi wanasema, “Paka hawezi kumjeruria Mpishi“ 😂 Wazee wa teknolojia! NVIDIA imetangaza kurudi China bana . Juzi (jumatatu), kampuni hiyo ilisema inawasilisha maombi ya leseni kwa serikali ya Marekani ili kuruhusu mauzo ya GPU...
  10. The Zanzibar Echo

    Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza vita dhidi ya Ukraine hadi pale mataifa ya Magharibi yatakapokubali kujadili amani kwa masharti yake, licha ya tishio la Rais Donald Trump kuiwekea Urusi vikwazo zaidi. MigogoroUlaya Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine...
  11. The Zanzibar Echo

    Trump asema makombora ya Patriot tayari yametumwa Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump alisema Jumanne, bila kutoa maelezo, kwamba makombora ya Patriot tayari yalikuwa yametumwa Ukraine chini ya utaratibu mpya wa utoaji. "Tayari wametumwa," Trump alimkatiza mwandishi wa habari ambaye alikuwa ameanza kuuliza swali juu ya makombora ya Patriot...
  12. The Zanzibar Echo

    Sio vita vyetu' - Mkataba wa Trump wa silaha za Nato kwa Ukraine waibua hasira za MAGA

    Baadhi ya wanachama wa kihafidhina wa vuguvugu la Donald Trump la "Make America Great Again" wamejibu kwa hasira mipango ya rais ya kuiuzia Nato silaha, wakisema ni usaliti wa ahadi yake ya kukomesha ushiriki wa Marekani katika vita vya kigeni. Siku ya Jumatatu, Trump alisema atatuma silaha kwa...
  13. The Zanzibar Echo

    Trump alimuuliza Zelensky iwapo anaweza kushambulia mjini Moscow' - Financial Times

    Gazeti la Uingereza la Financial Times linathibitisha kuwa Rais wa Marekani Donald Trump hivi majuzi alimuuliza Volodymyr Zelensky iwapo Ukraine inaweza kushambulia Moscow na St. Petersburg. Wa kwanza kuripoti juu ya mazungumzo kama haya alikuwa mwandishi wa gazeti la Washington Post David...
  14. Ritz

    Trump aitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa kama hawatamaliza vita huku akiendelea na mpango wake wa kuwapa silaha wa Ukraine

    Wanaukumbi Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itatuma "silaha za hali ya juu" kwa Ukraine kupitia nchi za Nato, huku pia akitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa ikiwa makubaliano ya kumaliza vita hayatafikiwa ndani ya siku 50. "Tunataka kuhakikisha Ukraine inaweza kufanya...
  15. Yoda

    Trump aitaka Ukraine ipige ndani kabisa ya Urusi, ikibidi Moscow!

    Katika kile kinachoonekana kama kubadikisha muelekeo wa mtizamo wake kuhusu vita vya uvamizi vya Urusi nchini Ukraine, inaelezwa Donald Trump ameanza kuipa msukumo Ukraine kushambulia popote ndani ya Ukraine huku akihoji uwezo wa kushambulia Moscow kama watapewa silaha za masafa marefu. Sijui...
  16. Sun Zu

    Urusi: Hatutishwi na blah blah za Trump na Magharibi

    Mkuu wa baraza la ulinzi la Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi haitishwi na kauli ya raisi wa Marekani Donald Trump kuhusu vikwazo zaidi kwa nchi hiyo endapo itagoma kusaini mkataba wa kusitisha vita huko Ukraine ndani ya siku 50 (49 sasa 😁) zijazo. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X...
  17. The Zanzibar Echo

    Nimesikitika lakini sijakata tamaa na Putin, Trump aiambia BBC

    Donald Trump amesema amesikitishwa na Putin lakini akasema bado hajakata tamaa na Vladimir Putin, katika mazungumzo ya kipekee ya simu na BBC. Rais wa Marekani alishinikizwa iwapo anamuamini kiongozi huyo wa Urusi, na akajibu: "Sina imani na mtu yeyote." Trump alikuwa akizungumza saa chache...
  18. The Zanzibar Echo

    Marekani: Donald Trump aipa Urusi siku 50 kumaliza Vita nchini Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita la sivyo itakabiliwa na vikwazo vikali, na akatangaza kukaribia kusafirisha idadi kubwa ya...
  19. The Zanzibar Echo

    Trump asema Marekani itaipa Ukraine silaha hatari na za kisasa huku akimkosoa Putin

    Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kauli "kuu" kuhusu Ukraine hii leo, huku kukiwa na kile kinachoonekana kuzidi kukasirishwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Siku ya Jumapili usiku, Trump alisema kuwa vifaa vya kijeshi "vya kisasa" vitaelekea Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya...
  20. Pdidy

    Aviola part ii inaendelea hukoo USA TRUMP MGENI RASMI WEWE PATAMU

    Chelsea nipeehaha nipeee rahaha bababaaaaa
Back
Top Bottom