KUSITISHWA KWA SAFARI ZA TRENI YA SGR DAR ES SALAAM–DODOMA
Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone
Hivi karibuni, Shirika la Reli Tanzania TRC limethibitisha rasmi kusitishwa kwa muda usiyojulikana kwa safari za treni ya SGR kati ya Morogoro na Dodoma, hatua inayosababisha athari za moja kwa moja...
Abiria wanaosafiri na Treni ya SGR iliyotoka Dodoma saa 11:15 alfajiri kuelekea Dar es Salaam, wamekwama Stesheni ya Ngerengere kwa zaidi ya saa mbili huku ikitajwa kuna hitilafu imejitokeza Stesheni ya Soga, japo taarifa haijafafanuliwa ni hitilafu gani, abiria wameshuka nje ya treni huku wengi...
SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi!
LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna Treni inakuja kuwachukua. Wataanza na abiria wa VIP—abiria wametembea zaidi ya KILOMITA 6 hakuna...
Inadaiwa kwamba Ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya ya Mradi. Wamiliki wengi wa mabasi ni wabunge na mawaziri, wanasema huu mradi wa SGR unakwamisha sana biashara zao.
Ndo maana hata mradi unaenda kwa kususasua sababu vizingiti vya wafanyabishara wanaoidhamini CCM ni vingi.
Je, kwanini...
Behewa namba 14 kwenye treni ya Mwendokasi halina hewa.
Kwa mujibu wa mhudumu, tangu asubuhi, leo Oktoba 3, 2025 behewa hili limepata hitilafu na halijatengenezwa hadi sasa na hawajui litatengenezwa lini.
Hii imeleta adha kubwa kwa wasafiri wanaotumia jioni hii maana behewa limejaa, hakuna...
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,
Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa...
Ukiingia kituo cha treni ya SGR Dar es Salaam ili upate tikiti ya shs. 13,000/= utahudumiwa na wafanyakazi kama wanne ukianza na kaunta ya mapokezi ambaye hana kazi.
Ukienda dirisha la tikiti yupo unayemuambia unakokwenda na muda wa treni unayotaka, kisha anaelekeza kwa mwandika tikiti naye...
Mfano, ingia behewa namba 7 kwenye treni ya ordinary uone jinsi vyoo vilivyoharibika na ni zaidi ya mwezi sasa hakuna hatua zozote.
Huu ni mwanzo wa kuiua treni yetu.
Mbunge wa Viti Maalum, Mwantumu Haji amesema baadhi ya abiria wa treni ya SGR wanapiga kelele baada ya kutumia vilevi.
Pia soma - KERO - SGR yaanza kupoteza Ustaarabu, inaruhusu watu kulewa ndani ya treni na kusababisha kero kwa wengine
Tangu treni za DGR zianze kufanya kazi baadhi yetu tuliowahi kuingia ndani ya mabehewa hayo tumekuwa na mashaka ya upya wake, muonekano wa ndani si wa mabehewa mapya ni wa mabehewa ya miaka iliyopita yakizidiwa usasa na mabasi ya safari za mikoani kwa ubora wa viti na sehemu za kuchaji simu!
Wanabodi
Mazoea yana taabu,kwanza utaratibu wangu wa safari za kikazi,kama kuna pipa,hiyo ndio my choice No 1,ndipo nije
nije nyingine, tugemeana na umbali, hali ya barabara na hali
ya mfuko. Kwa safari za Dar Dodoma, huwa ni kwea tuu, na ikibidi, nina vuta mashine!.
Tangu ujio wa Treni ya...
Wakuu
Bei ya Kioo cha SGR Usipime
==
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Venance Mapala kutoka Polisi Kikosi cha Reli Tanzania, akizungumza kuhusu changamoto na gharama kubwa za uharibifu wa miundombinu ya reli nchini.
"Kioo kimoja cha treni kinagharimu zaidi ya milioni 300, na uharibifu huu...
Kwa watu waliowahi kusafiri na treni ya umeme toka ianze safari zake watakubaliana na mimi kuwa kwa hakika ni mradi mkombozi katika safari za haraka.
Ticketi yako ikionyesha unatoka Morogoro saa 12:30 asbh na kufika Dsm saa 2:01asbh yaani unafika muda huo huo uliondikwa. No delaying!
Hii kwama...
Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kutoa pole kwa abiria waliokuwa wakisafiri kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma Januari 8, 2025 kufuatia usumbufu uliojitokeza kutokana na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika kituo cha Ihumwa Dodoma majira ya saa 5:38 usiku.
Tunajua kuwa safari...
Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye...
Wakuu naomba mnisaidie kutoa tongotongo kwenye huu mradi mkubwa wa ujenzi wa treni ya SGR.
Hivi sisi wazawa tunaruhusiwa kusambaza huduma au bidhaa zipi?
Kipindi cha nyuma, mabasi yalikuwa yanazuiwa kufanya safari usiku.
Sababu za alinacha zilitolewa na baadae kupinduliwa bila juhudi zozote za kuondoa sababu hizo za alinacha tulizokuwa tunaaminishwa.
Hivi Sasa mabasi yanasafiri 24 hours na safari za usiku ndio zenye mwitikio mkubwa wa wateja...
Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo.
Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea...
Treni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya Taifa imezima.."
Kabla hayajafika tulishauri haya Madude yaje na "Power bank" lakini Mfumgwa wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.