The AN/TRC-97 Radio Set, or TRC-97, is a radio set that has 12 multiplex channels and 16 telegraph channels connected to an analog radio. The radio set is a mobile terminal that can transmit up to 40 miles (64 km) straight line-of-sight at up to 1 watt, using a traveling wave tube amplifier, or 96 miles (154 km) in tropospheric scatter at up to 1 kilowatt, using a tunable klystron amplifier, at a frequency range of 4.4 to 5 gigahertz and 1.2 to 2.2 gigahertz. The set has been manufactured by RCA, Camden, N.J.
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, imelitolea wito Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuwajengea uwezo vijana wa Kitanzania wanaounda na kukarabati vichwa vya treni za MGR, kwa kuwapa mafunzo thabiti ndani na nje ya nchi ili kuongeza maarifa, stadi na ubunifu katika utendaji wao...
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, imelitolea wito Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuwajengea uwezo vijana wa Kitanzania wanaounda na kukarabati vichwa vya treni za MGR, kwa kuwapa mafunzo thabiti ndani na nje ya nchi ili kuongeza maarifa, stadi na ubunifu katika utendaji wao...
TRC YAKABIDHIWA ENEO LA ISAKA KWAAJILI YA KUPOKEA MIZIGO KUTOKA BANDARI YA DSM KWENDA NJE YA NCHI
Shirika la Reli Tanzania (TRC), limekabidhiwa eneo la Isaka, Mkoani Shinyanga, kwaajili ya kupokea na kushushia mizigo kutoka Bandari ya Dsm na kisha kusafirishwa ndani na nje ya nchi.
Eneo hilo...
My Take
Samia ataendelea kusalia kama Rais aliyefanikiwa sana kwenye nyanja ya Uchumi na biashara hapa Tanzania.
Mageuzi aliyoyafanya kwenye mashirika haya ya Umma yamefaulu ,hatutegemei tena hasara huko tuendko.
Bado mashirika machache sana mfano Air Tanzania na TTCL.
Pia soma Ojambi...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza rasmi usafirishaji wa makasha kwa kutumia reli ya Standard Gauge, hatua inayolenga kupanua wigo wa biashara, kupunguza msongamano wa mizigo bandarini na kurahisisha usafirishaji wa mizigo kwenda mikoa ya kati ya nchi.
Akizungumza wakati wa kuanza safari...
Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) walioajiriwa na kustaafu kati ya mwaka 2012 na 2022 ni ya kuhuzunisha mno.
Hoja za...
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea...
Hakuna mmbunge mwenye maslahi kuzidi hawa ma DG wa taasisi za Umma.
Massanja aliamua ku risk UDG wake over ubunge, hii ni kwa sababu Massanja anajua alichokifanya pale TRC na ufisadi mkubwa kwenye SGR …. amekimbia kukwepa uwajibikaji na kudondokewa na jumba bovu.
1. Baada ya Kifo cha JPM ...
Inajulikana kuwa waovu wanaweza kutumia janga la mvua kuhujumu treni ili kuleta maafa na taharuki.
endeleeni kusimamia weledi wa kazi .
Sio aibu na wala sio ajabu kwa kuhairishwa safari nyakati za majanga ya asili .
Tuendelee kuzilinda roho zenye utu katika safari zenu
JF hebu tusaidieni kuhoji… DSM hapa train haijaondoka toka saa 12 asubuhi leo tar 28.12.2025.. Kwanini hakuna accountability kwa kueleza wateja/abiria nini kimejiri na tatizo litatatuliwa baada ya muda gani?
Hakuna taarifa ya muda gani train itaondoka. Train za saa 2 na saa 3 asubuhi pia abiria...
Huduma za SGR za daraja la Biashara, haziendani kabisa.
Kuanzia makazi yao pale Dar es salaam na Morogoro sehemu ya kusubiri abiria wa daraja la Biashara haiendani kabisa.
Kuna muda abiria wanajazana na hata AC haziwashwi viti vimekaa ovyo kiufupi mazingira hayakidhi kuitwa daraja la...
Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu.
Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze kurejea lakini kwa maandalizi na utayari wao wa kipekee ajali hii haikuweza kuathiri uendelevu wa...
Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza...
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka TRC Bw. Fredrick Masawe (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Bw. Jema Msuya wakionesha kadi ya malipo ya kabla ya tiketi ya SGR iitwayo TRC Prepaid Card wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo yenye lengo la kuongeza ufanisi katika uuzaji...
Nimewiwa kutoa pongezi za dhati kwa shirika la reli Tanzania (TRC) kwa huduma nzuri.
Kwa wale mliopata bahati kusafiri na tren ya mwendokasi na dhani mmejionea hudumazao. Yani kuanzia kujali muda, mazingira na hata kutoa taarifa. Ukweli mmekidhi viwango vya kimataifa.
Kwa mara zote...
Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka.
Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi.
Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu mnakifumbia macho ila sio ustaarabu na inaondoa starehe ya kupanda treni kwa watu wanaopenda utulivu na...
Shirika la Reli Tanzania @tzrailways limewataka wananchi kutupilia mbali upotoshaji wa makusud i unaofanywa na baadhi ya watu kuwa mradi wa SGR umesimama na kwamba tayari Shirika limeshapata mkandarasi wa ujenzi wa ujenzi wa vipande mpaka Mwanza na pia Tabora mpaka Kigoma kwa maana ya Uvinza...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Salim Ramadhani Msangi akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa Shirika la Reli Tanzania alipotembelea banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara (Sabasaba) katika viwanja vya Mwl. J.K...
Kwa muda mrefu sasa, wafanyakazi wa kigeni waliokuwa wakifanya kazi katika mradi wa reli wa Yapi Merkezi hapa Tanzania hawajalipwa mishahara na mafao yao. Sababu kubwa ni kwamba Shirika la Reli Tanzania (TRC) halijalipa kampuni ya Yapi Merkezi kwa muda mrefu, hali ambayo imewafanya wafanyakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.