tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
  2. Waziri Dkt. Mwigulu atoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu na kuleta mkanganyiko kwa wananchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha bungeni wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 na kuleta mkanganyiko kwa wananchi ikiwemo makato ya miamala ya simu, kodi ya majengo kwa njia ya...
  3. H

    Nauliza kuhusu tozo ya 6% na 10% iliyokua inatozwa na bodi ya mikopo

    Naombeni msaada kwenye mchanganuo wa tozo ya 6% na 10% iliyokua inatozwa na bodi ya mikopo ambayo Mheshimiwa rais alizisamehe siku ya Mei Mosi. Nataka kujua utofaut wake upoje na zilkua zinatozwaje?
  4. Tozo ya Tsh. 100 hadi 200 kila siku kwenye line za simu: Mitandao ya simu isitishe uuzwaji wa Vocha

    Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya Tsh. 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha Tsh. 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900. Hayo yanajiri katika marekebisho ya sheria kama kiambatanisho hapa chini kitakavyo onesha. Majibu ya wadau
  5. TASAC yafuta tozo saba zilizokuwa kero, yawezesha unafuu bandarini

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) katika kipindi cha miaka minne limefanikiwa kufuta tozo saba nyanyaso zilizokuwa ni kero kwa wadau katika sekta ya maji, hivyo kuleta unafuu wa utoaji wa mizigo bandarini. Mafanikio hayo ya TASAC yametangazwa leo jijini Dar es Salaam na Afisa...
  6. Benki kutangaza imepata faida kwa kuongeza tozo

    Kuna Benki Maarufu hapa nchini. Kila ikikaribia kipindi cha kutoa report ya mwaka wao hupandisha kila tozo na kuongeza tozo mpya na hivyo kusomea wadau wake kuwa imepata faida ya mabilioni. Ningetaraji Benk ifanye biashara na sio kufungua matawi kila meta kadhaa ambayo unaweza kuona tu kwa...
  7. Hotuba Wizara ya Elimu: Tozo ya 6% kwenye mikopo ya Elimu kuondolewa Julai 1. Pia Serikali itaondoa tozo ya 10% kwa wanaochelewa kulipa mikopo yao

    Serikali itaondoa tozo ya asilimia sita ya kulinda thamani ya fedha katika urejeshaji wa mkopo kuanzia 1 Julai 2021, iliyokuwa inatozwa kwa wanufaika wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, ikiwa ni agizo la Rais Samia Suluhu Hassan Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichakob ameeleza bungeni kuwa...
  8. Tozo ya kodi posta Tanzania unapoagiza bidhaa kutoka Aliexpress China

    Nimekuwa nikiagiza bidhaa nyingi kutoka Aliexpress, na mara zote nimekuwa nikitozwa kodi kubwa na posta ninapoenda kuchukua mzigo zaidi ya bidhaa bei ninazoagiza. Nataka kujua kwa wenzangu ambao mnaagiza kama nyie mnatozwa hivyo au mimi nakosea sehemu! Mnielekeze nifanyaje ili kupunguza kodi.
  9. Council demands Sh 4bn levy from gold company

    By Elisha Magolanga Dar es Salaam. Nzega District is demanding Sh4 billion in local government levy from a gold mine closing down this year. Council officials and the area MP maintain that Resolute Mining Limited, which owns the Golden Pride Gold Mine, should pay up or face unspecified...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…