tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania tulikubali suala la tozo mpya za miamala halafu leo tunaanza kulalamika!

    Wabunge ni wawakilishi wetu. Tumewapeleka wakaisimamie serikali kwa niaba yetu. Kama wawakilishi wetu wamekubali maana yake tunaowakilishwa tumekubali. Kama hawa wawakilishi wameenda kukubali kitu ambacho hatujawatuma, tuwalalamikie wao na kuwawajibisha na si serikali. Zaidi ya hapo tutulie.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mhe. Rais kuhusu tozo kwenye miamala za simu

    Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa. Suala la tozo kwenye miamala za simu limekuwa kubwa na unatakiwa ulitolee/ulichukulie uamuzi wa haraka...
  3. JamiiForums Tanzania Hoja sio ukubwa wa tozo bali matumizi sahihi

    Kuna mdau amenihoji nini msimamo wangu kuhusu hizi tozo au tuseme sakata la Tozo. Nitamjibu bila unafiki... Mimi ni muumini wa nchi kujitegemea na kujiendesha kikamilifu kwani hiyo ndio maana kamili ya uhuru. Haiwezekani kwa miaka yote hiyo tangu uhuru tuendelee...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tozo ya Muda wa Maongezi yaiva, kuipuliwa muda wowote na serikali ya Mama

    Ni mwendo wa kuipua tu. Kabla ya tozo ya miamala haijapoa,kinaipuliwa kitu Airtime Levy. Mlaji kuwa tayari,kama hutashiba sema waipue kitu kingine
  5. JamiiForums Tanzania UVCCM ni wakati wa kusema lolote kuhusu tozo mpya za miamala ya kwenye simu

    Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu. Wajitokeze ili wapongeze au kuponda makato haya kama ambavyo wanafanya kwa mambo mengine!
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Tozo kubwa miamala ya kifedha na makakato ya simu kama kikwazo cha maendeleo ya kidigitali Tanzania

    Tangu kuanza kwa huduma za kutuma na kupokea fedha kwa njia za simu za mkononi huduma hizi zimekuwa maarufu sana na kuchangia kurahisisha maisha ya watu hasa wale wa kipato cha chini tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2008 ambapo M-pesa ilizinduliwa rasmi. kupitia huduma hizi mwananchi anaweza...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma

    Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3. 2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi. Kutoka kwa Mama...
  8. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa mtu mwenye hali ya chini ya chini ataathirika zaidi na tozo za miamala kuliko mwenye hela? Tazama Asilimia!

    Je, wajua Ukiwa mtu mwenye HALI ya chini hasa unayetumatuma kati ya 5000/= mpaka 100,000/= , ndo unaathirika zaidi na hizo tozo kuliko mtu mwenye HELA!... (Tazama Jedwali hapo chini!) Kwanini?: Msitizame TOZO tizameni %ge ya tozo! . Yaani ukituma Elfu hamsini kijijini mara kumi ikafika...
  9. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu huongeza t kwenye huduma za kifedha karibu kila mwaka. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wanachi ili kuendana na kasi ya mitandao?

    Wakuu natumaini kuwa hamjambo! Napenda kuuliza hili swali langu dogo; Kwakuwa mitandao ya simu huongeza tozo mara kwa mara kulingana na sababu mbalimbali ikiwemo kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wananchi kama watakavyofanya mitandao ya simu au itabaki...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenye mambo yanayohusu maslahi ya Wanyonge ni ngumu Sana kuwasikia Wapinzani

    Ukitaka kujua CDM ni kichaka cha wachumia tumbo na genge la utetezi wa mafisadi na mabwanyenye basi huu ndio wakati muafaka. Nakumbuka wakati Hayati JPM anawapeleka mpera mpera matajiri walionyakua fedha za wanyonge Mbowe aliibuka kila kukicha kuwatetea "wafanyabiashara" wakubwa ambao wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Madhara ya ongezeko la tozo la miamala katika jamii

    Jamii zetu zinaishi kwa kutegemeana, familia ndiyo safety net ukipata matatizo. Hatuna desturi ya kutemea ustawi wa jamii tukipata matatizo. Mama mdogo akiwa mgonjwa, familia itatoa msaada wa hali na mali. Simu zimerahisisha mawasiliano. Leo hii uko Bukoba utatuma pesa ya MRI scan kwa ndugu...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Mabara yaliyoendelea yanaichukulia bangi katika nafasi kubwa ya kuendeleza uchumi wa nchi zao

    Kilimo cha Bangi,kuweka tozo na kupunguza posho za watumishi wa Serikali katika kuongeza pato la Taifa mbadala wa tozo za simu, mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta ya chakula na sukari. Habari nawasalimu wadau na wana JF wote, nina imani mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila...
  13. JamiiForums Tanzania Tozo za Simu zinakiuka katiba

    TOZO ZA SIMU ZINAKIUKA KATIBA YA NCHI Viwango vipya vya tozo za mihamala vinakiuka katiba ya nchi. Iwe Katiba ya Sasa, Katiba mpya pendekezwa au ile ya Warioba. Zote zinakanyagwa kwa njia hizi: 1. Vinaingilia uhuru wa kuwasiliana. Uhuru wa kukusanyika siku hizi unafanyika kwa kuwasiliana. Watu...
  14. JamiiForums Tanzania Tozo za simu zimewaumiza pia wanafunzi

    Hali ni mbaya sana kwakweli tangu makato na tozo mpya zianze tarehe 14/07/2021 kwa wanafunzi wanaoomba vyuo na mikopo ya elimu ya juu na kufanya miamala ya simu kumewaumiza sana ukizingatia mzazi anapambana na kudunduliza mwanae angalau apply chuo. Wanafunzi wengi angalau kulingana na ufaulu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Dr Madelu Mwigulu Nchemba, kuwa na Tozo za ubunifu

    Kama ulivyo kawaida ya salamu yetu, Mama anaupiga mwingi. Majibu: Mama Endelea kukamua Ushauri wa BURE kwa Mwigulu Ebu tafuta tozo hata kdg kwa watu Hawa, wape leseni kisanya hicho kidogo kitasadia 1. Mafundi ujenzi wawe na leseni 2. Mafundi bomba 3. Mafundi umeme 4. Vinyozi 5. Mafundi...
  16. JamiiForums Tanzania Tozo za miamala : Wananchi wajibu mapigo waamua kusafirisha pesa zao wenyewe

    Dawa ya moto ni moto , Hata kama ni hatari lakini hakuna jinsi .
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tozo za miamala ya simu ni kikwazo kwa biashara ndogo

    Kama kuna mahali serikali hii imekosea ni kuhusu hii tozo ya miamala ya simu, madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa biashara za watu wa chini. Wafanyabiashara wadogo wengi hawatumii bank kufanya manunuzi na malipo mbalimbali. Tozo iliyowekwa ni kubwa kuliko faida tarajiwa katika muamala...
  18. JamiiForums Tanzania Hii tozo ya kuhamisha fedha ambayo sio ya Serikali ni justofiable?

    Naona makampuni ya simu yanaandika makato ya kampuni na kuyatenganisha na tozo ya Setikali lengo ikiwa ni kuonesha makato yameongezwa na tozo ya serikali. Sasa tujiulize je haya makato ya sh lets 350 unapotuma elfu 10 yanayoenda kampuni ya simu ni justifiable??? kwa nini 350 na sio 100...
  19. JamiiForums Tanzania Athari tano za kiuchumi zinazoweza kutokea baada ya kuongezeka kwa tozo za miamala

    Hii leo, Julai 15 2021 gharama ya miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu nchini Tanzania imepanda baada ya serikali kupandisha tozo ya miamala hiyo. Sintofahamu kubwa inashuhudiwa hii leo kwa wananchi wa Tanzania ambao wengi wao ni watumiaji wakubwa wa huduma hiyo. Hali hii imepelekea...
  20. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

    Kwa Haya mambo ndugu Watanzania tunasemaje? MAMA BADO ANAUPIGA MWINGI? NAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.; DAR - ARUSHA; å Basi la kawaida 22,700/-. å Semi luxury bus 32,800/-. å Luxury bus 36,000/- DAR -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…