Hawa Ni mafundi wa ccm wanatengeneza wanalitatua halafu wajinga ama mazombie tunawaona kuwa wao Ni heroes.
Ni Kama reli ya to Arusha wameifufua wanatafuta credit kwa wananchi wakati wao wao ndio wameiua.
Twende nzetu kimalikia ,nenda kwa rasi Simba Kama hakipandi.
Dodoma. Mobile money...