Baada ya miaka 10, hatimaye best selling pickup kutoka Toyota imepata generation mpya.
Toyota Hilux generation ya tisa imezibduliwa mwezi huu wa kumi na moja, itakuja na options mbalimbali za engine, body, drive, na pia kutakua na EV na FCEV mchaguzi ni wewe.
Kwa kuanza, itakuja na model...