toyota

  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji Engine ya Toyota CAMI 2000 HC-EJ

  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari Toyota Ra4 ( kilitime)

    Nahitaji Gari tajwa hapo juu Bajeti yangu ni shilingi Milion 7 Cash Mwenye nalo anidm Gari liwe zima, linatembea, halijapata Ajali
  3. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 1998 Toyota Corolla

    1998 Toyota corolla for sale.. Cc 1490, MANUAL Transmission.. 180,0000kms..Color white..Very good Condition.. Price Tzs 4.5 million Contact 0717900640 Dar es Salaam
  4. JamiiForums Tanzania Nauza Toyota vitz new model 2008

    SOLD BY THE OWNER TOYOTA VITZ NEW MODEL-2008 Asking Price: TZS 8,500,000 Location: Dar es salaam, Tabata Low Mileage: 64,000KMs Number: T*** DNY Imported: Dec 2017 with 59,000 KMs, New Tires installed November 2019 No accident history, elegant and minty. All documents available. Economy...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Toyota Porte

    Ninahitaji gari aina ya porte kuanzia namba D Iwe nzuri , bajet yangu ni milion 5 cash , Mwenye nayo anione inbox tumalize biashara Asante
  6. JamiiForums Tanzania Toyota Raum Review: Karibu tupeane uzoefu kuhusu gari hili

    Toyota Raum ni gari dogo lililotengenezwa na kampuni ya Toyota na kuuzwa kwenye soko la ndani la Japan (JDM) kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2011 ambapo uzalishaji wake ulisitishwa rasmi. Gari hili liko kwenye kundi la magari madogo kwa ajili ya matumizi mbali mbali yajulikanayo kitaalamu kama...
  7. JamiiForums Tanzania 16 jobs positions at Toyota Tanzania Limited which is opening a new branch in Mbeya

    Toyota Tanzania Limited is opening a new branch in Mbeya and is now seeking well qualified, result oriented, dynamic and enthusiastic professionals to fill in the following positions below: 1. Auto Cleaner Good car washing skills, at least two years’ experience in a reputable carwash or...
  8. J

    JamiiForums Tanzania CCM Lumumba zimejaa Toyota Landcruiser mkonga nje za Wenyeviti wa mikoa. Ni vema CHADEMA wakajifunza matumizi mazuri ya ruzuku

    Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi. Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu bei ya Toyota Alphard

    anayejua bei ya hii gari Toyota Alphard naomba anisaidie please! naimani humu JF ni sehemu ya kupata jibu sahihi kuliko huko mtaani
  10. JamiiForums Tanzania Toyota Isis Vs Wish 1800 CC

    Nimejichangachanga nataka moja kati ya hizo, kwa anayezifahamu, ni ipi nzuri kuanzia muonekano, uimara mpaka perfomance.
  11. JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza Toyota Crown. Nitenge bajeti kiasi gani?

    KIMOMWEMOTORS Mkuu nataka kuagiza toyota crown royal saloon ya mwaka 2008, cc 2500 na mileage kama km 115000. Mpaka unanikabidhi nitenge Tshs ngapi?
  12. JamiiForums Tanzania Toyota Isis/Wish/Caldina 1800cc

    Nahitaji gari moja kati ya hizo , iwe imesajiliwa hivi karibuni ofa yangu ni m9 Nicheki watsapp 0767525764
  13. JamiiForums Tanzania Toyota Caldina or Fielder inahitajika

    Toyota Caldina au Fielder 1800 cc imetumika nchini muda mchache inahitajika. Budget mil 9! Ni contact via Whatsapp 0767525764
  14. JamiiForums Tanzania Ulaji wa mafuta Toyota Vitz

    Nina gari aina ya Toyota Vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 ulaji wake wa mafuta ni km 9 kwa litre 1. Wakati kwa wengine inakula 12km kwa litre. Kwangu tatizo litakuwa ni nini wadau.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Anayeifahamu vizuri Toyota Starlet anisaidie

    Mwenye uelewa zaidi wa Starlet (Carat model 1999, 4E-FE engine) naomba anijuze uimara na upatikanaji wa spares nisije kupoteza pesa zangu.
  16. JamiiForums Tanzania INAUZWA Toyota Rav-4 short chasis inauzwa (ANW)

    Lipo katika hali nzuri (karibu ukague gari) Lipo Mabibo Lina milango mitano 1990 cc Bei ni Tshs 3.4M (negotiable) Call or text: 0692141994
  17. JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Ndugu mdau uliyekuwa ukitufuatilia kupitia mnakasha huu, tunapenda kukufahamisha kuwa kutokana na mabadiliko ya sera zetu, tumelazimika kufungua mnakasha mpya kwa ajili ya magari yanayotoka moja kwa moja Japan na nchi nyingine. Hivyo sasisho zote kuhusu bidhaa na huduma zetu utazipata huko...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ni engine gani nzuri kwa Toyota Hilux Double Cabin

    Wakuu nataka kununua Toyota Hilux Double Cabin, ila changamoto ni kujua engine gani hazina usumbufu katika gari hiyo.
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota Noah SR40 ya Kununua

    Wadau, Poleni na kazi za kutafuta mkate wa kila leo. Baada ya kukosa Toyota Noah ya kukodi nimeamua kujimwambafy kwa kutafuta ya kununua. Nahitaji Toyota Noah SR 40 ambayo haina zaidi ya miezi mitano (5) toka isajiliwe nchini Tanzania. Gari iwe inatembea, isiwe na tatizo lolote, iwe na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Toyota Avensis 2.0 D-4-D

    Habari, Nataka kununua gari aina ya Toyota Avensis 2.0 D-4-D, hii gari inatumia mafuta ya Diesel. Kuna mtu ana uzoefu na hizi gari. Pia kuna mtu ameshawahi kununua hii na anayo. Nilikuwa nauliza kuhusu changamoto za maintenance na ushuru wake maana TRA sioni option ya ushuru wa gari kama hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…