toyota

  1. K

    Hizi gari Toyota Prado ex naomba kujua kwa undani

    Mafuta KATI ya diesel na petrol ipi nzuri, Pia vipuri vyake, comfortability yake nk
  2. Car4Sale Toyota Ractics for sale

    Wakuu nauza gari tajwa hapo juu Reg: T---DFT Toyota Ractis Colour: Pearl white Year of Manufacture : 2005 Engine Capacity: 1490cc Condition: Perfect running condition with no accident history Fuel Used: Petrol ( very economy). Price: 8.8Milions ( price is slightly negotiable for serious buyer)...
  3. Car4Sale Toyota IST inauzwa kwa bei nafuu

    Toyota ist Price 7ml Full AC Full documents Year made: 2003 Engine volume: cc 1490 Njoo na fundi wako kagua gari Piga simu 0744033555 Dar es salaam
  4. Car4Sale Nauza Toyota IST No. CTC

    Model: Toyota IST Cc: 1490 Year: 2005 Full ac Location: Kinondoni (Dar) Price: 6,000,000 Contact: 0717599884 Gari ni nimeitumia mwenyewe, kwa atakayevutiwa karibu tuzungumze
  5. Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  6. Car4Sale Toyota IST namba DDE, 2005 Model inauzwa

    Habari wakuu! Nauza gari yangu mwenyewe, Make: TOYOTA, Model: IST, Year: 2005, Transition: Automatic, Engine CC: 1290, Engine type: VVT-i, Milleage: 81,900KM. Sport Rims, New Tires zimefungwa December 2020. Radio, Bluetooth Bei 7,500,000 TZS Bima kubwa hadi October 2021. Gari imetunzwa vizuri...
  7. T

    Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

    Habari. Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF. Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili alilonalo kwa sasa. Kwa sasa anamiliki IST ambayo anaiona ndogo kwa sababu familia imekua kubwa. Mara...
  8. Engine Oil sahihi kwa Toyota Crown Royal Saloon

    Habari. Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi. Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na fundi akasema inaenda km 5000 nilivyocheck Google nikaona haipo sawa, ilivyofika km 3000 nikaimwaga...
  9. Kwa Wamiliki wa Toyota na gari zote zinazotumia CVT

    Toyota anatumia gearbox za aina tatu. 1. A type, ambazo zimefungwa kwenye SUV nyingi kubwa za Toyota. Mfano A343F iliyofungwa kwenye Toyota prado TX 1997. 2. U type, ambazo zimefungwa kwenye gari ndogo nyingi za toyota. Mfano U341E ambayo ipo kwenye NADIA . 3. CVT, ambazo zimefungwa kwenye...
  10. Car4Sale Toyota LandCruiser Prado 2017 inauzwa

    LandCruiser Prado- TX TRJ150 Year: 2017 Cc: 2693 Eng: 2TR Fuel: Petrol Transmission: automatic Keyless/ push to start Sunroof Tires: Michelin Insurance comprehensive valid to OCT 2021 Total fuel card worth 100k Location: Dar es Salaam, Mikocheni Price: 110M
  11. M

    Hizi Toyota Rumion mnazionaje wadau?

    Nasikia ni kali balaa. mwenye kuelewa performance yake atuambie. c.f.. RRONDO Toyota Rumion
  12. Toyota Land Cruiser XVR

    Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam wamedai Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Lusubilo Mwakabibi ametumia ubabe kuilazimisha kamati ya zabuni kununua gari la mkurugenzi, Toyota Land Cruser XVR, kwa TZS milioni 470, huku manispaa ikikabiliwa na changamoto nyingi.
  13. Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

    Gari Toyota RAUM , ya 1999 inauzwa. Rangi: Zambarau, Milango: 5, Mileage: Km 128,000, Engine size : 1490cc, Airbag: 2 , Automatic transmission, Fuel: Petrol, BEI: 6,000,000- Milioni 6 tu Imetunzwa na iko vizuri sana. PIGA: 0713962628/ 0718481042 MAHALI: MWANZA
  14. J

    Kwani gari Toyota VX "Geita Model" ni bei gani dukani? Na taratibu za manunuzi serikalini zikoje?

    Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti" Jana nikamsikia waziri wa Tamisemi Jaffo akisema DED wa Geita alitumia mwanya wa kuvunjwa Baraza la Mawaziri akakimbia haraka haraka...
  15. G

    Msaada Toyota Spacio v/s Toyota Wish ipi itanifaa

    Wakuu nami nataka kumiliki usafiri wangu kwa mara ya kwanza kwa matumizi ya kawaida ya kifamilia, route za mikoani mara moja moja Dar - Kahama au Dar - Mbinga. Je ipi itanifaa zaidi kati Toyota Spacio au Toyota Wish interms of space, comfortability, fuel consumption na changamoto nyingine...
  16. Ukomo wa Toyota Crown Sedan

    Habari kutoka mtandao wa chunichi.co.jp unaeleza kuwa gari za Sedan Toyota Crown zimefikia ukomo wa utengenezaji wake baada ya kutoa updated version ya mwaka 2021. Sababu kubwa ya kufikia ukomo wa magari haya pendwa na yenye 'high perfomance and comfortability' ni mauzo madogo katika soko la...
  17. D

    Toyota IST... ikiwa kwenye silencer, unasikika mlio wa 'kugonga

    Wataalaamu wa magari, Sikiliza audio ya silencer kama nilivyoirekodi kwenye engine ya Toyota IST. Kuna mlio wa 'kugonga' hivi kwenye engine. Asubuhi napowasha gari hamna shida, silencer inakuwa normal and smooth. Lakini jioni au usiku naposimama na kuweka 'P', silencer inakuwa inasikika hivyo...
  18. Car4Sale Toyota brevis [DND], silver coloured

    Toyota Brevis (DND) Year: 2005 CC:2490 Full AC Silver Coloured Key to Start Fog Lights Clean Seats Good Tyres + Original Sports Rim + New Spare Tyre Music system + Radio Full Documents (File) Fuel Petrol Transmission Auto Seating Capacity 5 Location: Dar Price 8.5 Mil, Negotiable...
  19. Toyota Passo kwa 2.6 million only

    Toyota passo inauzwa kwa bei poa Engine cc 990 Year made 2004 Rangi: Grey iko full AC yani hamna tabu Bei: milioni 2 na laki 6 tu. Gari iko kimara nicheki 0683011003 tumalize biashara
  20. Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

    Kwa miaka zaidi ya mitatu (3) imetokea trend kubwa ya wabongo wengi kuipenda hii gari ndiyo maana Leo nimeona na Mimi nikiwa kama shabiki na mmiliki wa hii ndinga niisifie Kwa mambo machache... Kwanza ukishikia neno corolla ujue kabisa kuwa ni gari Ngoma ngumu hasa Kwa upande wa engine pia gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…