toyota

  1. P

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Vanguard inauzwa Tsh milioni 28

    TOYOTA VANGUARD YEAR 2011💦 ENGINE CAPACITY Cc: 2360 MILEAGE: 82496 ENGINE CODE: 2AZ FUEL PETROL STANDARD FEATURES FULL OPTION✅ CODE:2AZ FUEL PETROL 🛢️PRICE:28M CONTACTS:+255754459647
  2. JamiiForums Tanzania Huyu Dereva wa Gari la Toyota Landcruiser Hardtop Nyeupe lenye Plate Number ya T216 DHH ya Tundu Lissu uthubutu wa Kuitumia kautoa wapi?

    Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha...
  3. JamiiForums Tanzania Ninunue gari lipi kati ya Toyota Vanguard na Suzuki Escudo 2008?

    Habari wakuu Kati ya vanguard na suzuki escude 2008 ipi ni gari nzuri nataka kuvuta moja wakuu
  4. JamiiForums Tanzania Bei ya control box ya Toyota RAV4 miss Tz ya mwaka 2006

    Habari za majukumu ndugu zangu, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So nataka kununua mpya.. Naomba kuwasilisha kwenu
  5. JamiiForums Tanzania Kuna chuma inaitwa Toyota Century: A Rolls Royce "Cullinan wanna be"

    Sijui nani amemcopy nani, ila kuna chuma nimeiona mitaa ya matajairi bwana, inaitwa Toyota Century 2023. Kwa mbali nikajua ni Rolls Royce Cullinan kumbe ni mali ya Wajapan aisee. Hii chuma ni SUV, engine 3.5L 2GR V6, model code yake ni G70, (sedan yake ndio G60). Unaweza angalia picha jinsi...
  6. JamiiForums Tanzania Gari tatu (3) za Toyota ambazo Design yake ilikua from Future

    Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua. Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua designed na aliens. Yaani sio za generation hii kabisa. 1. Toyota Will VI Hili gari nikiliona uwa...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka kununua Toyota Rav 4

    Anayeuza hiyo gari contact karibu, nipo Serious. Budget ni milioni 7.
  8. JamiiForums Tanzania Wauza spear used, nahitaji sunroof glass ya Toyota ipsum

    Habari ndugu jamaa na marafiki wa JF na wauza spear wote. Ninahitaji sunroof glass ya gari tajwa hapo juu. Kama ipo nicheki PM.
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine? Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi...
  10. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Bei/Price : TSH 120M Call 0747 999 927 TOYOTA HARRIER Year: 2021 Engine: 1990Cc Mileage: 19,498 Transmission: AUTO All Duty Paid Free Registration Exchange Possible
  11. N

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Hilux 2018, Tsh. 55M

    Hii ni mpaka Dar Port. Ushuru unalipia wewe.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri wa kununua used Toyota Land Cruser

    NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX. Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around 100,000. Naomba ushauri pia kuhusu mafuta na spare zake. Shukrani.
  13. JamiiForums Tanzania Naitaji Toyota Crown Athlet ya mwaka 2011

    Jaman naitaji Toyota crown athlet ya mwaka 2011 Iwe namba E Ikiwa Rangi nyeupe au black no problem Price yangu ni milion Tisa Niko dar es salaam Kama kuna mtu anayo please ndm
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Aqua au Prius

    Nahitaji Either Prius au Aqua moja. Anayeuza anicheki. iwe kwenye hali nzuri. na usajili uwe na E. Offa 15m Inbox
  15. E

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Toyota vitz new model

    Nauza toyota vitz new model kalii mnoo🔥🔥🔥ipo Dar es salaam cc 1290,push to start bei 9m✅Karibuni
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota IST ya kununua

    Habari wakuu. Mwenye gari IST anaye uza tafadhari tuwasiliane.
  17. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Kluger for sale

    TOYOTA KLUGER Mil 20.5 NATOA BOX 5 INA SUNROOF MODEL ENGINE 2AZ CC 2360 KM.91930 FULL DOCUMENTS NEW TIRES COLOR BLACK LOCATION DAR ES SALAAM 0714787795
  18. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
  19. JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

    Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia. Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Toyota Landcruiser hardtop ya mwaka 2015 inauzwa

    👉2015 TOYOTA LANDCRUISER HARDTOP 🚂ENGINE TYPE:-1HZ DIESEL 🦜BEI 140 MILLIONI 👉IMETEMBEA=80,000 KM 👉GARI ILINUNULIWA MPYAA ZERO KM 👉LOCATION:-DODOMA 👉TUWASILIANE 📞 +255622599002 DODOMA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…