toto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Bongo sasa hivi brand kubwa inalipa; Fei anaandaliwa signing fee ya bilioni 4 na mshahara 120M, Okello kacheza nusu msimu tu kauzwa bilioni 2

    Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata. Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5. Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Fei Toto sio X factor, tuache utoto

    Fei Toto alitoka Yanga ikiwa haina kombe la CAF na yuko Azam ambayo haina kombe la CAF. Yanga ilikuwa inashinda vikombe vya ligi ikiwa na Fei na inaendelea kushinda bila Fei. Aliikuta Azam ikiwa haina vikombe na Azam ikiwa na Fei haina vikombe pia. Simba na Yanga msidanganyike, Fei ni mchezaji...
  3. JamiiForums Tanzania Feisal salamu anawatumia mabumunda WA SIMBA SC na YANGA SC kujiongezea thamani

    Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao. Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi . Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Azam fc kubaki na Fei Toto ni hasara kwao kuliko faida

    Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto. Aliyefaidika ni Fei kuliko timu. Azam fc inashika nafasi ileile ya tatu nyuma ya Yanga na Simba hata baada ya Fei...
  5. JamiiForums Tanzania Nihame kiwanja Nina Toto Lina makebo balaa

    Hatari sana aiseee
  6. B

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Allan okello vs Fei Toto zinaleta sintofahamu

    Fei Toto ameanza mwanzoni mwa msimu wa ligi Ila Allan okello ameanza katikati ya ligi but ana magoli 14 huku Toto akiwa na magoli 15 kwa mifano hai Nani bora kati ya hao
  7. JamiiForums Tanzania Toto la ki black American lilivyonichecheta!

    Ilikuwa ni mchana fulani hivi ambao ulikosa jua!, bali mawingu na dalili hafifu ya mvua ndio ilitamalaki.. nikiwa na toto la kimarekani limepanda hewani uno fulani la mijazo na unyonyo wa wastani huku akibarikiwa ka rangi kama ka uchotara wa kupakua!.. ilikuwa tumekaa zetu sebuleni tukipata...
  8. JamiiForums Tanzania Huba zitooo! Nimeangukia toto la kisomaliii, msaada wenuu

    Mzuka wana j. f... Nitangulize pole zangu kwanzaa kwa kadhia za maandamanoo, aisee ata mm mwenzenu tarehe 30 almanusra niende kwa rabana maulana mazeee dah staki kukumbukaa..Nlitokea kitaa huku mazese na shati langu la kijani kama kawaidaa, ghafla vijana wa gen Z wakanikimbiza mno dah... Ikawa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni sawa na Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza

    Uchaguzi wa mwaka huu ni sawa na mechi kati ya Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza
  10. JamiiForums Tanzania Toto tundu Humphrey Polepole tafadhali sana tusitiri sisi ndugu zako

    Wengine sisi CCM ndiyo imetubeba mpaka kufikia hapa. Ukitoa siri nyeti utaamsha walio lala na kutukatia mirija ya riziki zetu na watoto wetu. Tafadhali sana ndugu yangu, njoo tuzungumze unachotaka naamini ccm chini ya mama yetu kipenzi itakupatia ili tule wote. Mambo mengine achana nayo wewe...
  11. JamiiForums Tanzania Feisal Salum "Fei Toto" kachemka hili swali, wewe ungeweza?

  12. JamiiForums Tanzania Katika kosa ambalo hutakiwi kufanya kama Baba ni Kuogopa Mtoto wako Kupewa Sumu na Mwanamke. Toto jingajinga Fukuza. Usibabaishwe wapuuzi wasiokutii

    KATIKA KOSA AMBALO HUTAKIWI KUFANYA KAMA BABA NI KUOGOPA MTOTO WAKO KUPEWA SUMU NA MWANAMKE. TOTO JINGAJINGA FUKUZA. USIBABAISHWE WAPUUZI WASIOKUTII Anaandika, Robert Heriel Mtibeli! Wewe ni Mwanaume, sasa ni Baba. Usiwe dhaifu kiasi cha kufanya vitu ili kutafuta validation kuwa wewe ni...
  13. JamiiForums Tanzania Hili toto litanitoa roho. Ni hatari yaani unajikuta unatoa kila kitu

    Angalia anavyocheka... Anavyobatasamu? Toto kama hili huwezi kupungukiwa nguvu za kiume. Zinajaa tu kila wakati. Midada mingine inasema hatuna nguvu za kiume kumbe ni sababu haina mvuto.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi na mashabiki wa Simba, yanayoendelea baina ya Bodi ya Ligi na Yanga ni geresha toto tu, Yanga wataingiza timu Jumapili na tutashangazwa

    Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
  15. JamiiForums Tanzania Usajili Wa Feisal na Mabululu ni Danganya toto kama mlivyodanganywa kwa Manzoki

    Mashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua" Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na Viongozi tena kwenye mkutano mkuu bila ya uoga Manzoki alitamka atakuja Simba SC kukiwasha, Haikua...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga waweka mezani TSh. 750 milioni kuinasa saini ya Fei Toto na mshahara wa TSh. 40 milioni kwa mwezi

    Imefichuka kuwa klabu ya Yanga imemwaga dau nono ili kumshawishi kiungo mahiri Feisal Salum "Fei Toto" kurejea Jangwani. Kwa mujibu wa taarifa, Yanga wameweka mezani ofa ya shilingi milioni 750 kama sign-on fee pamoja na mkataba wa miaka miwili. Aidha, kiungo huyo ameahidiwa mshahara wa shilingi...
  17. JamiiForums Tanzania Fei Toto awaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC

    Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7 Soma: Jean...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nani kama mama, Alimuokoa Fei toto wakanuna, kwa mara nyingine anaenda kuwa mgeni rasmi Derby waliyosusia

    Nani kama mama, Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za...
  19. JamiiForums Tanzania Fei Toto alivyotinga uzi wa Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya mechi

    Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum maarufu Fei Toto akiwa amevaa jezi ya Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  20. JamiiForums Tanzania Toto afya

    Wakuu,naskia toto afya imerudi kwa gharama yetu maskini,ni kweli? Tupeane info wazee.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…