toto

  1. bongo-live

    Huba zitooo! Nimeangukia toto la kisomaliii, msaada wenuu

    Mzuka wana j. f... Nitangulize pole zangu kwanzaa kwa kadhia za maandamanoo, aisee ata mm mwenzenu tarehe 30 almanusra niende kwa rabana maulana mazeee dah staki kukumbukaa..Nlitokea kitaa huku mazese na shati langu la kijani kama kawaidaa, ghafla vijana wa gen Z wakanikimbiza mno dah... Ikawa...
  2. M

    Hii ni sawa na Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza

    Uchaguzi wa mwaka huu ni sawa na mechi kati ya Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Toto tundu Humphrey Polepole tafadhali sana tusitiri sisi ndugu zako

    Wengine sisi CCM ndiyo imetubeba mpaka kufikia hapa. Ukitoa siri nyeti utaamsha walio lala na kutukatia mirija ya riziki zetu na watoto wetu. Tafadhali sana ndugu yangu, njoo tuzungumze unachotaka naamini ccm chini ya mama yetu kipenzi itakupatia ili tule wote. Mambo mengine achana nayo wewe...
  4. DodomaTZ

    Feisal Salum "Fei Toto" kachemka hili swali, wewe ungeweza?

  5. Robert Heriel Mtibeli

    Katika kosa ambalo hutakiwi kufanya kama Baba ni Kuogopa Mtoto wako Kupewa Sumu na Mwanamke. Toto jingajinga Fukuza. Usibabaishwe wapuuzi wasiokutii

    KATIKA KOSA AMBALO HUTAKIWI KUFANYA KAMA BABA NI KUOGOPA MTOTO WAKO KUPEWA SUMU NA MWANAMKE. TOTO JINGAJINGA FUKUZA. USIBABAISHWE WAPUUZI WASIOKUTII Anaandika, Robert Heriel Mtibeli! Wewe ni Mwanaume, sasa ni Baba. Usiwe dhaifu kiasi cha kufanya vitu ili kutafuta validation kuwa wewe ni...
  6. Komeo Lachuma

    Hili toto litanitoa roho. Ni hatari yaani unajikuta unatoa kila kitu

    Angalia anavyocheka... Anavyobatasamu? Toto kama hili huwezi kupungukiwa nguvu za kiume. Zinajaa tu kila wakati. Midada mingine inasema hatuna nguvu za kiume kumbe ni sababu haina mvuto.
  7. M

    Viongozi na mashabiki wa Simba, yanayoendelea baina ya Bodi ya Ligi na Yanga ni geresha toto tu, Yanga wataingiza timu Jumapili na tutashangazwa

    Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
  8. NALIA NGWENA

    Usajili Wa Feisal na Mabululu ni Danganya toto kama mlivyodanganywa kwa Manzoki

    Mashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua" Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na Viongozi tena kwenye mkutano mkuu bila ya uoga Manzoki alitamka atakuja Simba SC kukiwasha, Haikua...
  9. Waufukweni

    Tetesi: Yanga waweka mezani TSh. 750 milioni kuinasa saini ya Fei Toto na mshahara wa TSh. 40 milioni kwa mwezi

    Imefichuka kuwa klabu ya Yanga imemwaga dau nono ili kumshawishi kiungo mahiri Feisal Salum "Fei Toto" kurejea Jangwani. Kwa mujibu wa taarifa, Yanga wameweka mezani ofa ya shilingi milioni 750 kama sign-on fee pamoja na mkataba wa miaka miwili. Aidha, kiungo huyo ameahidiwa mshahara wa shilingi...
  10. Waufukweni

    Fei Toto awaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC

    Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7 Soma: Jean...
  11. R

    Nani kama mama, Alimuokoa Fei toto wakanuna, kwa mara nyingine anaenda kuwa mgeni rasmi Derby waliyosusia

    Nani kama mama, Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za...
  12. Waufukweni

    Fei Toto alivyotinga uzi wa Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya mechi

    Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum maarufu Fei Toto akiwa amevaa jezi ya Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  13. Zeus1

    Toto afya

    Wakuu,naskia toto afya imerudi kwa gharama yetu maskini,ni kweli? Tupeane info wazee.
  14. GRAMAA

    Tetesi: Kwani Press ya Lema ilikuwa danganya toto?

    Nyie kumbe watu ni wajanja sana mjue. Sema tu nyie bado hamjastukia dili. Zile mbwembwe zote za Lema kuita press na kuongea mambo kibao ya kumkandia Mbowe na kumuunga mkono Lissu kumbe ni sound tu? Duuuuuuh! Kumbe bwana Lema kisirisiri anampambania Mbowe ili ashinde? Kaaaaaaaaaa! Eti wenyewe...
  15. Roving Journalist

    Hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene isaka wakati wa Uzinduzi wa Mifumo na Mpango wa Toto Afya Kadi

    HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU DKT. IRENE ISAKA KWENYE UZINDUZI WA MIFUMO NA MPANGO WA TOTO AFYA KADI DODOMA, TAREHE 17 DESEMBA, 2024 Waziri wa Afya na Mgeni Rasmi, Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge – Afya na Ukimwi Katibu Mkuu-Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu...
  16. Mzee wa Code

    Toto afya kadi yarejea usajili mtoto mmoja Tsh 150,000 na wale wa makundi Tsh. 50,400

    Bima ya Afya ya Taifa wamezindua vifushi vipya ambapo kubwa ilikuwa ni kilio cha watanzania kuhusu toto afya kadi ambayo ilifutwa awali na kwasasa usajili utakuwa kama ifuatavyo kama unataka kumsajili mtoto wako ambae sio mwanafunzi utalazimika kulipa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa...
  17. Chibule

    Toto Afya Kadi imerejeshwa.

    Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa. Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo nini kimetokea. Tanzania kupitia sera ya bima ya afya, NHIF kama zilivyo bima nyingine wakaboresha...
  18. K

    Tanzania imekuwa nchi ya kitoto toto! Hatuku makini kama zamani

    Tanzania ya sasa sio ile ya zamani. Pamoja na ukuaji wa habari na teknologia kuna ongezeko kubwa la watoto na vijana wengi. Umri wa kati Tanzania ni miaka 19. Tusishangae kuona wasanii wamejaa kwenye mikutano ni kwasababu yangu vijana wadogo. Kijana wa miaka 21 hawezi kujali katiba au kuelewa...
  19. Waufukweni

    Tetesi: Fei Toto aweka Masharti magumu kwa Azam, anataka Tsh Milioni 70 kila Mwezi ili asaini Mkataba Mpya

    Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam. Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal...
  20. Stunnaman008

    Fei Toto mbovuu

    Kuna watu humu JF walisema sijui fei toto kibonge, fei toto mbovuu Jana kaliheshimisha Taifa
Back
Top Bottom