Oktoba 29 Nitakuwepo.
Nategemea kukutana na kaka na dada zangu from another mother!
Mimi naona itakuwa get together tu ya wajukuu wa Clemence Mwandambo.
Divided by DNA, United by Dismay.
Nitaamka zangu saa 12, nioge nile zangu kiporo cha wali maharage, nichukue back pack yangu nitoke...