tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

    Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya watu wanaomuunga mkono Freeman Mbowe na wale wa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti CHADEMA

    Hizi hapa ndiyo sifa kuu za wanaomuunga mkono Freeman mbowe. machawa wanaotegemea kula na kuendeleza harakati zao kwa mgongo wa mbowe (posho za harakati) Wanachama wenye maono madogo yaliyobebwa na imani zaidi kuliko akili (Hisia) Watu waliokata tamaa ya kushika dola na hawaamini kuwa chama...
  3. JamiiForums Tanzania Wahaya wana akili sana kiukweli , nimemfatili Dr Ellie Waminian huyu jamaa ana hatari sana

    Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana . Nimeambiwa ni muhaya Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
  4. JamiiForums Tanzania Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

    Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ...... Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutengeneza NIDA. Na mfumo wa kutengeneza kitambulisho cha mpiga kura tofauti yake ni kidogo ila mbona NIDA ni Kero?

    Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu.. Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

    Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu! Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo! Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa! Mwanamke mwenye sifa ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Usiagize China, nauza box kubwa 5 za glass protector model tofauti tofauti

  8. JamiiForums Tanzania Je, ni ipi tofauti ya Mbowe, Kagame, Museveni, Nyerere na viongozi wa aina hiyo?

    Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history. Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya sala na maombi pia ni wakati gani utatumia hichi utaacha hichi

    Kuna tofauti gani kati ya sala na maombi pia ni wakati gani utatumia hichi utaacha hichi:)
  10. E

    JamiiForums Tanzania Bus kuwa VIP linatakiwa kuwaje maana kuna moja nimepanda hakuna tofauti kubwa na la kawaida

    Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga. Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa namna fulani Ustaarabu katika jamii yetu hivi sasa ni tofauti na zamani

    Hey wanajamvi heri ya msimu huu wa sikukuu na tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka, naamini pilika zinawaendea vizuri kabisa. Kwa sisi tunaopata nafasi ya kuzunguka sehemu tofauti tofauti ndani ya nchi hii,naweza kusema Watanzani angalau sasa tumekuwa wastaarabu. Zamani ulikuwa ukiingia maeneo ya...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Uongozi wa Chama na wa Nchi ni tofauti, mission ya Mbowe haijakamilika

    PROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA! “Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo. Anatumia mfano wa Zitto Kabwe (@zittokabwe) kuachia ngazi. Mbowe alielezea vizuri jana suala la Mission...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

    Wakuu kheri kwenu nyote. Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable). Vijana hawa haijarishi wapo kwenye makazi ya watu au maporini nyimbo zao ni zilele za matusi.Nauliza kwenu ninyi TANESCO...
  14. JamiiForums Tanzania Walokole siasa kali wanamuona Joel Lwaga hana tofauti na Diamond

    Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200. Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk. Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona kama wanaimba pini za kina Diamond tu.
  15. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya uhuru wa Tanzania ni Moja ya sikukuu kubwa sana wananchi kwa nchi zingine tofauti na Tanzania inabaki kuwa sikukuu ya serikali

    Leo ni 9 December ni sikukuu ya uhuru wa nchi yetu Tanzania ni sikukuu ambayo tunakutana watu wote kwa dini zote na sio sikukuu ya kidini hii ni ya wananchi wote.tofauti kabisa na ilivyo unakuta kila mtu anaendelea na shughuli zake na inabaki kama mapumziko tu ni sio siku ya kufalia. Kwa wale...
  16. JamiiForums Tanzania Tofauti ya siasa na wanasiasa katika nchi yangu na mataifa mengine

    Jambo wana Jamii Forums, Natarajia mu wote mko poa sana. Leo ningependa kujadili kidogo kuhusu historia ya siasa ya Tanzania. Siasa ya Tanzania imeshuhudia mabadiliko mengi tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961. Tumeshuhudia utawala wa chama kimoja (CCM) kwa muda mrefu, na pia mabadiliko ya vyama...
  17. JamiiForums Tanzania Nahodha wa Ipswich Town, Sam Morsy agomea kuvaa kitambaa cha Unahodha chenye Upinde kwa sababu za Kidini

    Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema kwa imani ya dini yake (Uislamu) hatovaa kitambaa hicho. Klabu yake Ipswich Town ilimruhusu...
  18. JamiiForums Tanzania Uhasama wa koo au familia unaweza kuharibu ndoto za watoto na wajukuu

    📖Mhadhara (69)✍️ Zipo familia au koo ambazo hazina maelewano miaka nenda'rudi. Yaani ukoo fulani hauelewani na ukoo fulani, familia fulani haielewani na familia nyingine, au ndani ya ukoo mmoja hakuna maelewano kati yao. Gomvi nyingi za familia na ukoo zinakwamisha mafanikio kwa watoto na...
  19. JamiiForums Tanzania Nina mtazamo tofauti kwenye tukio la kutekwa Kwa Abdul Nondo

    Me nawaza tofauti na wengi Nondo ametekwa Kwa sababu Gani? Nondo sio hatari Kwa watekaji 1 ACT na CCM wana urafiki ambao haulezeki, ni kama CCM alimzaa ACT Mwanzo wa tukio Kwa hadhi ya Nondo kusafiri na Saratoga kutoka Kigoma hadi Dar. Yaani M/kiti wa Vijana ACT amekosea laki 3 ya kupanda...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna Tofauti ya Kuwa Peke Yako na Kuwa Mpweke

    Kuna tofauti kubwa ya kuwa peke yako (alone) na mpweke (lonely),lkn kwa bahati mbaya sana mtu ukiwa peke yako unaonekana eti upo mpweke. Hakuna ubaya kuwa peke yako maadam tu unafurahia kampani yako binafsi ila kama uko peke yako na hujifurahii ukiwa mwenyewe hapo sasa unakuwa mpweke Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…