tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya .tz na .co.tz domain?

    Mfano domain iwe xyz.tz na xyz.co.tz .tz gharama ni 100,000 kwa mwaka na .co.tz ni 25,000! Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz? Nataka sajili domain naomba mawazo..
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wakatoliki, mliwafanyaje wasabato? Malizeni tofauti zenu.

    Kuna sehemu niliwahi kukaa jirani na kanisa la wasabato. Almost 80 % ya mahubiri niliyokuwa nayasikia ni kuwaponda wakatoliki. Kwamba wao ndio yule joka kuu, mara mwanamke yule kahaba mkuu aliyezini na wafalme wa dunia. Mara papa ni king wa freemason . Wakawa wanadai kwamba wakatoliki wanaabudu...
  3. JamiiForums Tanzania Tofauti na watoto hakuna kingine special kuhusu ndoa za kileo.

    Tofauti na hako katoto innocent hapo juu, hakuna cha maana tena. Too bad kakishafikisha miaka 14 kataanza fundishwa kumchukia baba yake. Modern Weak Men alafu wanakutana Modern Independent Women unadhania nini kitafuata? Ndoa imekuwa engineered katika panels zinazo hamasisha ukosefu wa furaha...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka tofauti na ndugu wa damu, Mnapoamua kupata mtoto moja wakati uwezo upo ni kumtesa mtoto, idadi nzuri ni 3+

    Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine. Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani. Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
  5. JamiiForums Tanzania Tofauti na uzinzi na kujimwambafai, hakuna motivation yenye mashiko ya kuongeza mke zaidi ya mmoja

    Unakuta mwamba ana wake wawili watatu ila kila siku unakutana nae kwa wakina fatuma ndala ndefu na jesca utelezi. Polygamy haijawahi kua dawa ya kushinda uzinzi wa mwanaume. Polygamy ni mwendelezo wa old fashioned masculinity ya enzi na enzi, kwamba kidume naweza, kidume mimi ni mashine...
  6. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Uongozi kati ya Rais Mkapa Vs Samia

    Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa; 1.TAA 2.TCRA 3.PPRA 4.BRELA 5.EWURA 6.TACAIDS 7.SUMATRA 8.TANROADS 9.TAKUKURU 10.TRA. 11.MKUKUTA. 12.MKURABITA. 13.HESLB Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Samia. 1. Samia Legal Aid 2. Goli la Mama 3. Samia App 4. Kazi Iendelee 5. Generation...
  7. JamiiForums Tanzania Makalla: Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM, bado hajaelewa misingi ya CCM

    Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM kwaiyo bado hajaelewa misingi ya CCM kwaiyo huko aliko akajifunze misingi ya chama cha mapinduzi – Makalla. Chanzo: Wasafi FM
  8. O

    JamiiForums Tanzania Unafunga TV sebuleni lakini kunakuwa hakuna tofauti na Bar au lodge

    Watu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu. Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga...
  9. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani kukosa umeme kwa nyakati tofauti

    TAARIFA KWA UMMA MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM Jumatano, 19 Februari 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na...
  10. JamiiForums Tanzania Jua tofauti kati ya scannia toleo la G420 na scannia L119

    Tofauti kati ya Scania G420 na Scania 119 inahusiana na mifano tofauti za magari ya lori yanayotengenezwa na kampuni ya Scania. Scania hutengeneza magari ya lori, mabasi, na magari ya kibiashara, na mifano hii inatofautiana kwa nguvu ya injini, matumizi, na vipengele vingine. Hapa chini ni...
  11. JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya X-Ray, CT Scan, MRI, na zaidi

    ? 1) X-rays hutumia mionzi ya umeme kutoa picha za mifupa na miundo mikavu ndani ya mwili. Kawaida hutumiwa kugundua mavunjo, maambukizo, vimbe, na matatizo mengine. X-rays ni za haraka, bei nafuu, na zinapatikana kwa urahisi. 2) CT scans hutumia X-rays pamoja na usindikaji wa kompyuta wa hali...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa sisi ambao huwa tunafanyia kazi ndani , jamii inatutafsiri tofauti sana

    Wakuu. Mimi ni mmoja ya watu ambao huwa nafanyia Kazi zangu ndani. Mimi Kazi zangu ni za masoko kununua na kuuza. Hivyo huwa natafuta wateja wa bidhaa kipitia online . So Mimi kwa siku naweza kuigiza wastani wa 100K sawa na mil 3 kwa mwezi. So Kutokana na jamii kuwa na mtazamo tofauti...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Wanaume na Wanawake wanapokwenda Salon kutengenezwa

  14. W

    JamiiForums Tanzania Je, unajua maana ya rangi tofauti za maua unapopokea au kumpa maua?

    Rangi za maua zina maana maalum, na ni muhimu kuchagua rangi sahihi ili kuwasilisha ujumbe sahihi kwa mhusika. Maua meupe yanawakilisha usafi, heshima, ujasiri, na mwanzo mpya, na mara nyingi hutumika kwenye harusi na mazishi. Maua mekundu yanawakilisha upendo, na ni chaguo bora kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake mnafanya jogging na marathon mnatutega

    Nyie mademu wa jogging mtakuja mtuuwe jamani Mnavaa vinguo vya kututega Sisi wanaume marijali tulishiriki jogging na marathon zenu, tutatoka tumemaliza kila kitu Tusiige wazungu Mwanamke wa kizungu hata avae kichupi hawezi kumshawishi mwanaume kihisia, huku kwetu maumbo ya kibantu afu umevàa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya magereza tofauti katika baadhi ya nchi

    🤔🤔
  17. JamiiForums Tanzania Kuna Tofauti ya Umasikini wa kufikia malengo na Umasikini wa kukufikisha malengo

    Ili swala sio utani ila waafrika wengi tunapenda umaskini wa kufikia malengo. Tumeona kuanzia serikali yetu ambavyo kuna mambo ambayo kama bima za afya,sekta za uwekezaji ndani na nje swala la kodi na misimamo ya siasa ambayo chama kikubwa utumia nafasi kama mtaji mkubwa sio kusingizia kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Kagame hawezi kuongoza nchi yenye makabila tofauti kama kenya, Uganda au Tanzania

    Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide. Bila Genocide hana cha kusimamia. Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
  19. JamiiForums Tanzania Athari za Mfumo wa Kichama kwa Idara za Usalama na Ulinzi Kabla na Baada ya Uhuru

    Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa wakoloni. Kabla ya uhuru, idara za usalama na ulinzi mara nyingi zilikuwa zikitumika kama vyombo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

    Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…