Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.
Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi.
Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa
Timu limepigwa goli 2 bila kelele
Ball possession RS Berkane iliongoza 78%
Simba walicheza kama wapo pungufu
Berkane wanakuja ku press kama hawajashinda wala mbumbumbu msitegemee ati watakaza nyuma walinde
Dhahama itatokea ikiwa Simba atajifanya...
Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi
Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400,
Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa
Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2
Aziz ki anaenda kucheza...
Kwa Hali ilivyo ya kutegemea uwanja wa serikali Kwa mechi muhimu za klabu za kimataifa..ipo siku timu hizo za Kariakoo zitacheza mechi za nyumbani nchini congo au Rwanda!!!.... Ni aibu tunaambiwa ligi yetu imekuwa mara ipo namba 5 Afrika ..na blah blah kibao...huku timu kubwa zikitegemea uwanja...
Nikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya Tanzania na baadae fedha itaongezeka itakuwa billion 2, 3 nakuendelea na zile zinazoshiriki mashindano ya kimataifa kama CAF champions, & CAF confederation fedha itaongezeka
Multiplier...
Timu ya Kagera Sugar FC ya mjini Bukoba, imeshuka rasmi daraja na hatutakuwanayo msimu ujao kwenye ligi kuu kufuatia ushindi wa Pamba jiji iliopata leo dhidi ya KenGold FC.
Kwa ushindi wa leo, Pamba jiji imefikisha alama 30 kwenye nafasi ya 11, ikifuatiwa na Tanzania Prisons nafasi ya 12...
Aisee hizi timu zinatisha maana Kwa boli linalopigwa na usajili wao mbingu na ardhi aisee mungu anipe nini mimi maana msimu huu Kila mwisho wa wiki mama watoto namuambia apike pilau Ili tujiburudishe natafuta fundi anaeweza kuchora nembo ya Barcelona na Liverpool kwenye nyumba yangu forca barca...
Najiuliza tu, Kama kanuni zinasema Timu itakayoingia uwanjani endapo mpinzani hatatokea basi adhabu hufuatia, Sasa Yanga ndiye mwenyeji wa mchezo, Ndiye anapaswa kuamua mchezo uchezwe wapi, Je, siku hiyo akiamua kufunga milango ya uwanja kisha kutokomea na funguo nani ataingia na kudai alipeleka...
Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani
Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi
Ukipata mwanamke kama huyu utamuoa?
Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Bayern Munic.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali.
Karibu...
Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje.
Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao.
Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam...
Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?
Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia...
Zaidi ya 50% ya wajumbe wa kikundi kinachojiita G-55 ni wachaga wa Arusha na Moshi, na walikuwa TImu Mbowe kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa Mwenyekti Lissu wa Januari mwaka huu.
Tangu kuasisiwa kwake hadi mwaka jana, kati ya vikwazo vikubwa vya kisiasa dhidi ya Chadema, kikwazo namba moja...
Timu mwenyeji kwenye Kariakoo derby amegoma lakini bodi ya ligi wao wanatangaza tarehe ya mchezo
Hawa bodi ya ligi naamini hawako timamu kichwani
Majukumu ya timu mwenyeji
1.kuandaa uwanja na vifaa
Timu mwenyeji (Yanga) ana jukumu la kimuandalia Simba vifaa vya mchezo kama mipira na cones za...
"Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi au Viongozi wanaosimamia mpira wakianza kuwa biased (kuwa na upendeleo) hili jambo linaendaga taratibu taratibu mwishoni linaanza kujitokeza, unaanza kujulikana una upendeleo"
"Mimi nimekuwa nikiangalia sana baadhi ya mechi zinazochezwa, unaona kabisa marefa ni...
Miaka yote sijawahi kuona Ccm mkiandikisha wanachama wenu kwa kuwataka waje na kadi ya mpiga kura wazi wazi kama sasa,kunauhusiano gani wa kusajili wanachama wenu ili waoate kadi za ccm hadi waje na vitambulisho vya kura?Mbona Chadema wamesajili hawakuwahi kuhitaji kadi za mpiga kura?
Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili!
Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia...
Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio...