Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.
Kombe la Dunia la Vilabu kwa muundo mpya linaanza rasmi leo tarehe 14 Juni 2025, likifanyika nchini Marekani, na kwa mara ya kwanza likihusisha vilabu 32 kutoka mabara yote.
Hili ni toleo la kihistoria kwa sababu litakuwa linafanyika kila baada ya miaka 4, sawa na Kombe la Dunia la Timu za...
Nimetafakari juu ya hili, na nikaelewa kwamba kuna uwezekano mkubwa TFF inahusika moja kwa moja kuamua timu ipi itwae ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Hebu fikiria, katika misimu mitatu ya ligi kuu, Yanga wanasema TFF haijawalipa fedha zao za ubingwa. Sasa kwa nini tusifikirie kwamba katika...
Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
Mbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya Yanga inayoihusu Yanga na kusahau inaweza kutokea TFF yenye mahaba na Yanga pia huko mbeleni...
Kawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa Marekani wanasitisha ziara zao na kurudi kusimamia jambo la dharura hadi litakapokaa sawa.
Cha...
Baada ya Yanga kutoa tamko lao la hawatacheza mechi mpaka matakwa yao yatakapofanyiwa kazi, Simba nao ni kama wanasubiri Yanga isilete Timu tarehe 15, ili adai point 3 za mezani... na hasipopewa point 3 za mezani nae anagoma mpaka haki itendeke. Ikumbukwe tayari mamlaka za mpira Nchini...
Hizi chuprichupri huwa hazifikagi mbali,sasa hivi wanavyolilia points 3 za mezani utadhani sio GSM aliyekuwa anadhamini zaidi ya timu 8, na mipango yote nye ya uwanja bado mnaogopa kupeleka timu uwanjani.
Hii ni hasara kubwa kwa GSM,wameishia makundi,sasa kulilia hadi points za menzani,ni uoga...
Nimepitia majina ya timu za taifa kwa mataifa yote ya Afrika nikahisi kuwa Tanzania, Ghana na Kenya inabidi tubadilishe majina yatu; neno "stars" linakuwa monontonous. Somalia na South Sudan wamelitumia pia lakini kwao wamelitumia taifauti na sis. Hebu angalia halafu utoe maoni yako.
Algeria -...
Wadau wa NBA hebu tukae sawa...
Kama kuna somo msimu huu tumejifunza, ni kwamba "heshimu kila timu, hata kama ESPN haijawapa nafasi."
✅ Oklahoma City Thunder
✅ Indiana Pacers
Kiukweli kabisa – hizi si zile "superteams" zilizopigiwa chapuo preseason kama Boston Celtics, Milwaukee Bucks...
Nina taarifa za uhakika kabisa kuwa Yanga SC ATACHEZA hiyo Mechi ila wanatumia Mbinu Kuu mbili za SAIKOLOJIA na PROPAGANDA ili tu KUIDHOOFISHA Simba SC hivyo NAWAONYA kwa mara nyingine Simba SC kuwa kamwe TUSIBWETEKE na WASITUDANGANYE bali ukweli ni kwamba Mechi ipo na hiyo tarehe 15 mwezi Juni...
1.Bodi ya Ligi ni mkosa namba moja kwa kuacha kukemea maovu dhidi ya timu.
2.Namba 2 watakuwa ni viongozi(hususani wasemaji) itajihirisha vita ya Mashabiki na ndipo hapa serikali isipoingilia kati Mkunyugano utahamia kwenye Siasa.
Mark my word.
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
Kuna yeyote anayebisha? Kama timu yako imewahi kucheza fainali yoyote ya CAF katika dimba la Mkapa, nyoosha mkono juu.
Vinginevyo kaa kimya.
FT aggregate 1:3 😀
Umekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF
Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa ndo mmiliki wa RS Berkane
Wote tunaona upendeleo anaopewa Mamelod Sundown kwenye haya mashindano...
Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed.
Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga...
Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa.
Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
Kauli kama hii si kauli ya kimichezo. Hivi ni vitisho na no dhahiri ni jinai. Kauli za vijiweni hazipaswi kugeuzwa kauli rasmi za timu. Hakuna kauli ya Msemaji wa timu inayoweza kuchukuliwa kama kauli binafsi.
Kauli ya Gerson Msigwa ni kauli rasmi ya serikali. Kauli ya David Misime ni kauli...
GTs,
Heche bila matusi utaeleweka zaidi ila ukiendelea na matusi unajilaani.
Heshimu viongozi ngazi zote, waite kwa majina ya staha. Mheshimu sana rais na taasisi zake zote. Hautapungukiwa na kitu. Jijengee heshima ya kuwa na lugha ya staha. Jenga hoja zaidi.
Pia fanyeni mchakato mje na jina...