timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Simba fans ni kichekesho kumponda Kocha Saed wa Yanga wakati Fadlu wenu aliishusha timu yake daraja Afrika Kusini

    Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa! Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo! Unapochukua kocha...
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Sioni kama kuna haja ya kuendelea kutumia wachezaji wazee kwenye Timu ya Taifa

    Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho Samata kwasasa hana...
  3. Shanily

    JamiiForums Tanzania Timu imejaa maveterani 😅halafu Jumba bovu kaangushiwa Master Gamond

    Yaani mambo ya nyuma mwiko ndo kama lile tukio la Madaktari wa Muhimbili, Mgonjwa wa kichwa wakampasua mguu na wa mguu wakampasua kichwa. Timu imejaa wastaafu telee , badala waimarishe kikosi Chao walete vijana wenye Ari na nguvu mpya wameenda kumtoa kafara Gamond. Mechi ya Tabora kakosekana...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kale kamsemo ka ''tunajenga timu'' katahamia Jangwan safari hii?

    Viwango vya wachezaji wa Yanga vimeshuka,Aziz Ki injini ya timu hata timu ya Taifa hajaitwa yupo zake Tabata snall planet anakula shisha,kutoka kushinda tuzo ya mfungaji bora mpaka kuwa na holi moja katikati ya msimu,Dube mpaka aombe radhi kwa wazee wa Azam,Pacome amesusa anataka kuondoka,timu...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Timu ya Al Fatah Imetembelea Maktaba Kwa Mazungumzo

    TEAM YA AL FATAH ONLINE TV WALIOPOTEMBELEA MAKTABA KWA MAHOJIANO Sijawahi kufanya kipindi cha namna hii na kwa mtindo huu. Nilimwambia Rashid na wenzake Talib na Juma kuwa Maktaba ina mitaa na ningependa kuwatembeza kuwaonyesha mitaa hiyo. Nilidhani ni kazi nyepesi. Waingereza wana msemo, "A...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanaopanga ratiba ya ligi ya Tanzania hawaweki usawa katika timu

    Habari za mchana, kwa uchache wa maneno ukijaribu kufatilia kuanzi mechi ya kwanza had imefikia sasa mzunguko wa8 kwa baadhi ya timu, utaona utaona hamna mechi hata moja iliyoihusisha Simba, Yanga au Azam wakicheza majira ya sa8 mchana na ukifatilia ratiba yote haikuonyeshi mda huo kwa hizo...
  8. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Mudathir Yahya kuna siku ataigharimu timu kwa maguvu yake eneo la golini

    Muda Yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box huwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili. Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana.
  9. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Spain: Idadi ya vifo yapindukia 200 Wakati Timu Za Uokoaji Zikitafuta Watu Waliotoweka

    Waokoaji nchini Uhispania wanapambana kufikia maeneo ambayo bado yamekatwa kutokana na mvua kubwa wakati idadi ya vifo kutokana na mafuriko ya janga ikiongezeka hadi 205 katika janga baya zaidi la hali ya hewa barani Ulaya katika miongo mitano. Mjini Valencia, eneo la mashariki ambalo...
  12. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Michezo inaahirishwa, Timu zinaathirika, Lakini zaidi ya mwaka Hakuna ukarabati wa maana unaoonekana uwanja wa Mkapa

    Zaidi ya mwaka sasa, michezo mingi ambayo ilipaswa kufanyika uwanja wa Mkapa imekuwa ikiahirishwa, Tukijua kwa bajeti hiyo kutakuwa na maendeleo makubwa sana katika dimba la Mkapa, lakini mpaka sasa hakuna hata TV! pitch bado mbovu, LED Display boards zimeondolewa! Sasa usumbufu na muda wote huo...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kuunda timu maalum kusimamia urejeshaji huduma za usafiri wa vivuko Mafia - Pwani

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia na kusimamia urejeshaji wa huduma ya usafiri wa Vivuko vya MV Kilindoni na Meli ya TNS Songosongo vinavyofanya safari kati ya kituo cha Mafia - Nyamisati...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SIKUMBUKI NI LINI TIMU YOYOTE IKIFUNDISHWA NA JUMA MGUNDA ILIWAI KUMFUNGA SIMBA!

    Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo! Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba anawasaidia sana kupata point kwenye timu yoyote anayoifundisha, aiwezekani Kila mechi ukose mbinu...
  15. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Najiuliza Kama kwenye uchumba tunakosa furaha, tukimpa Timu itakuwaje!!!

    Wanasimba tutafakari vema kumpa Timu huyu bwana tunaemwita mwekezaji. Naliona Giza mbele yetu Mimi nimepoteza imani kwake.
  16. Half american

    JamiiForums Tanzania Timu ya taifa ya wanawake Iran yaondolewa michuano ya ASIAN CUP baada ya kuchezesha wanaume

    Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne. Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
  17. covid 19

    JamiiForums Tanzania Simba na Taifa Stars: Changamoto na Nini Kifanyike Kuleta Mabadiliko ya kweli

    Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
  18. Smt016

    JamiiForums Tanzania Kayoko ni mwamuzi mbovu ila kwenye hii derby kila timu imeathirika na maamuzi yake ya ovyo tofauti na Simba wanavyoona ni wao pekee

    Ukipita mitandaoni na mitaani, utaona wanasimba wanalalamika wameonewa na mwamuzi sababu kubwa zao ni 1) wamenyimwa penati mbili za Kibu, na faulo iliyozaa goli haikuwa faulo ya maana. Kwenye swala la penati ambayo ni halali ni moja tu na sio mbili kama inavyodaiwa. Ile moja ni faulo...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awakabidhi Arusha timu ya Coastal Union ya Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametangaza rasmi kuwa timu ya Coastal Union ya Tanga, maarufu kama "Wagosi wa Kaya," sasa itaanza kutumia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kama uwanja wake wa nyumbani. Hatua hii inalenga kukuza mchezo wa soka mkoani Arusha, huku pia ikileta manufaa makubwa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania FA yamuwania Guardiola kuinoa Timu ya Taifa ya England

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anatajwa na vyanzo mbalimbali kuwa yupo kwenye listi ya makocha wanaowaniwa na Chama cha Soka cha England (FA) kuinoa timu ya Taifa hilo. Uamuzi huo unaweza kuchukuliwa kwa kuwa kocha wa muda, Lee Carsley amejulishwa hatapewa ajira ya uhakika kuendelea...
Back
Top Bottom