timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nisije kufa bila kuiona Uefa rasmi nimeongeza timu ya kushabikia ambayo ni Liverpool Sasa nitashabikia Arsenal na Liverpool

    Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, Kwa Nini Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Ni Kilimanjaro Stars Badala ya Tanganyika Heroes?

    Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika na sio...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wenzetu huko Mbele huwa wanahamasisha mashabiki waende uwanjani au mashabiki wana mapenzi na timu zao hata zikishuka Daraja?

    Bongo uswahili ni mwingi sana, na bado sana hata kwenye ushabiki wa Mpira, tuna ushabiki mwingi wa mdomoni wa kubishana kwenye vijiwe vya kahawa na mitandao ya kijamii kama humu. Emegine kwamba mashabaki wenye timu yao lazima wahamasishwe, gari izunguke mtaani watu wakikata mauno kwenye gari...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Timu za Taifa za Uganda na Burundi zajiondoa Mapinduzi cup

    Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burkina Faso Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe Zawadi ya million 100 timu...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kama ac Milan sio timu ndogo mbona Haina uwanja

    Hii timu imetetewa na wazee humu kwamba nayo ni miongoni mwa timu kubwa ulaya kama ilivyo arsenal swali langu kama ac Milan ni timu kubwa mbona haina hata uwanja wake hiki ni kichekesho timu inayoitwa kubwa imeanzishwa 1899 lakini bado inakodi uwanja hapa hamna timu ni wahuni tu wa italia...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Yanga ni timu ya kuogopwa, Benard Morrison yupo Ken Gold, Djuma Shaban atupiwa virago Namungo FC

    Katoka AS vita katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba, wanemtupia virago, wanadai uwezo wake ndogo ,huyo ni Djuma Shaban, hana timu ya kucheza kwa sasa. Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja...
  7. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa

    Ehhh wakuu, Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja. Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba, Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
  8. PLOII

    JamiiForums Tanzania Yanga bado inavuja mnooo!

    Umafia waungwana! Binafsi napata mashaka na wapinzani wa Yanga kama vile Fountain Gate, Dodoma n.k Timu inacheza huoni kama inataka matokeo na kuna wakati wanajipigia pass fupi fupi karibu na lango Lao ambapo inakuwa rahisi kwa Yanga kuchukuwa mpira na kufunga. Yanga bado inavuja sana game...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi hii timu ya Ac Milan inamashabiki kweli

    Hivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa duniani halafu hata uwanja haina
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanga hawabebwi, wana timu nzuri na ya ushindani ndani ya uwanja na wana mikakati ya maana sana nje ya uwanja

    Mpira ni mchezo wa wazi, jamaa wanavyocheza na aina ya wachezaji wao kusema kuwa wanabebwa sio ukweli Iła ni propaganda zinazoletwa na watu wetu ndani ya Simba kutuandaa kisaikolojia, hii vita ya ubingwa kwa watu wangu navowajua, nyie subirini mzunguko wa pili ławama zitakuwa kibao. Kunambia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa Simba, ondoeni kirusi Chasambi ndani ya timu yetu, msikilizeni akimsifia Max Nzengeli na kudai Simba hakuna role model wake

    Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli. Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo...
  12. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tumeshuhudia wahuni waliotumwa kuja kufanya vurugu na timu ya iliyokuja kucheza mpira!

    Refa alikuwa ni muungwana lakini ni dhaifu alitakiwq kuwapa kadi nyekundu wale wahuni walioingia kwa maagizo ya kumprovoke refa nq kuacha kucheza mpira amewanyima simba clear penalty baada ya kumuangusha kibu...... Waamuzi waongeze umakini kwa wahuni na wapewe onyo watu wanatoa pesa kulipia...
  13. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dhidi ya Singida Big Stars

    1. Leo tumeshuhudia mechi nyingine tafu kwa Simba, ukubwa wa Simba umeamua mechi. 2. Singida waliingiia na maneno ya nje ya uwanja kuwa marefa wako upande wa Simba, hii iliwatoa mchezoni mapema. 3. Huenda Jean Charles Ahoua ameanza kuizoea ligi, anacheza kikubwa mno ( nilikua nikiuponda...
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeongeza timu ya kushangilia ambayo ni Real Madrid ili nifurahie makombe

    Siku ya Leo kwa akili zangu timamu rasmi NIMEONGEZA TIMU ya kushangilia ambayo ni real Madrid sitaki ushauri wowote sababu arsenal siioni ikichukua kombe la UEFA hivyo nimeona Madrid ni timu sahihi kwangu kunipa furaha sababu ni wababe wa dunia kwenye suala la soka na niseme ukweli tu nilikua...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kocha Timu ya Taifa, Hemed Morocco awafukuza Mkoko, Lanso kambini kwa utovu wa nidhamu

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Hemed Suleiman 'Morocco' amewaondoa kambini nyota wake wawili kwa utovu wa nidhamu. Katika taarifa iliyotolewa na ZFF, nyota waliofukuzwa ni Ibrahim Mkoko anayekipiga katika klabu ya Namungo FC na Abdallah Said (Lanso) wa KMC. Utovu wao wa...
  16. nizakale

    JamiiForums Tanzania TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

    Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda. TFF badala ya kuchukuwa...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

    Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu...
  18. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ameweka video ya Kamanda Mawazo X. Watu waitafsiri kama kijembe kwa timu ya Mbowe

    Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote. Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama chake wanataka kumdhuru kabla ya kufikwa na umauti wake.
  19. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Yanga vs tawi lake point haziulizwi hapo hiyo nayo ni timu ya jeshi tutegemee magoli ya mchongo!

    Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
  20. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Timu za majeshi kwa yanga wanapokea amri hakuna cha ajabu yanga kushinda!

    Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo! Magoli rahisi sana!
Back
Top Bottom