timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Nina Timu yangu Mtaani nataka kuichagulia Kauli Mbiu moja kati ya hizi Tatu zifuatazo....

    1. Gusa Achia urudi Bongo 2. Gusa Achia urejee NBC 3. Gusa Achia ule wa Chuya Nitajie moja tu ambayo itapendeza hasa.
  2. mdukuzi

    Ally Kamwe bado ana utoto mwingi anaigharimu timu

    Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei. Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
  3. MamaSamia2025

    Napendekeza Nape na Makamba waongezwe kwenye timu ya wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA

    Hii ni kwa sababu wao kama wanaCCM hawana upande wowote ndani ya CHADEMA hivyo itazuia malalamiko yoyote toka kambi ya Lissu au Mbowe. Nape na Makamba ni wazoefu wa mambo ya uchaguzi hivyo watawasaidia sana wenzetu wa CHADEMA kwenye uchaguzi wao hasa kwenye kuhakikisha usalama wa kura. CHADEMA...
  4. 1

    Nawasihi mashabiki wa Simba tusiende kabisa uwanjani Jumapili vinginevyo tutaiingiza timu yetu kwenye zahma nyingine, twendeni Mwembe Yanga kuona gemu

    Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu. Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote twendeni Mwembe Yanga na wale ambao hamtakuwa na nafasi tubakie nyumbani kumwangalia Elia Mpanzu...
  5. Zanzibar-ASP

    Wagombea ndani ya CHADEMA kwa sasa inabidi waseme wako timu ipi (Mbowe au Lissu), ili watu wajue!

    Hakuna haja tena ya kusema sana sera zako, wewe tuambie tu uko timu ipi au hauna timu, hiyo inatosha wajumbe kujua unasimama na sera zipi. Ikiwa mko wengi na msimamo wenu wa kitimu unafanana, basi kipimo ni namna unavyoipigania hiyo timu, hakuna maneno mengi. Ikiwa msimamo wako kitimu...
  6. Ojuolegbha

    Waziri Kombo apokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya wizara ya mambo ya nje-nje sports club

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo, tarehe 14 Januari 2025, amepokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya Wizara yake, Nje Sports Club, baada ya timu hiyo kushinda katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2025 yaliyofanyika Mkoa wa Unguja Kusini...
  7. DELETED ACCOUNT

    Simba ina mashabiki "passionate" wenye hisia na timu yao

    Ndiyo, adhabu ambayo CAF wameipiga Simba ikiwepo ya pesa na kutoingiza mashabiki inauma na hakuna mwanasimba aliyeifurahia. Ni muhimu tukakumbuka kuwa Simba si timu ya kwanza kupewa adhabu hiyo. Wydad, Al Ahly, Esperance na USMA, ni miamba wengine wa Africa wamewahi kupewa adhabu ya namna hiyo...
  8. D

    Yanga ndio timu pekee iliyoshinda mechi katika Nchi nyingi za kigeni

    Yanga inajivunia kionesha umamba katika Ardhi nyingi za kigeni kuliko timu yeyote Tanzania na Afrika Mashariki Misri Tunisia Nigeria Liberia Mauritania South Africa Congo Drc Algeria Rwanda Somalia Ethiopia Burundi Loading.......... Ni timu inayotarajiwa kuweka rekodi nyingine ya kutinga...
  9. M

    Aziz kii anakosolewa sana lakini huwa anaivusha timu kwenye mazingira magumu

    Mashabiki wa Yanga hizi karibuni wamekuwa wakimkosoa sana kuwa ameshuka viwango na hata wengine kudiriki kusema auzwe. Nadhani asingefungwa jana na timu kutolewa kelele zingepigwa sana kama jinsi Prince Dube alivyopondwa jana. Tusiwakatie tamaa wachezaji
  10. libeva

    Je, michuano ya Mapinduzi kushirikisha timu za Taifa yameleta tija?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, haya mashindano ya mpira huko visiwani maarufu kwa kombe la mapinduzi huko Zanzibar kushirikisha timu za mataifa mbalimbali kuliko mtindo wa zamani kushirikisha timu za ligi kuu za bara na visiwani ambapo tumeshuhudia wachezaji kadhaa wamekula mashavu kuja...
  11. G

    Makocha wa timu za taifa letu

    Hemed Morocco Juma Mgunda Jamuhuri Kihweru Amri Kiemba Bakari Shime Ahmed Ally Je umegundua nini hapo kuhusu soka la bongo?
  12. K

    Mnaosimamia timu ya Taifa mnatuonea

    Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa seriously mnawakilisha bendera ya Taifa letu,michuona insignia kwenye record,mnatumia Hela zetu...
  13. Mchochezi

    Waziri wa Michezo wa Afrika ya Kati akimkabidhi Kocha wa Timu yao Taifa zawadi ya Pikipiki baada ya kufuzu CHAN 2025

    Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament. This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
  14. Tlaatlaah

    PreGE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu. Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
  15. Scared

    Nisije kufa bila kuiona Uefa rasmi nimeongeza timu ya kushabikia ambayo ni Liverpool Sasa nitashabikia Arsenal na Liverpool

    Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu...
  16. Damaso

    Je, Kwa Nini Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Ni Kilimanjaro Stars Badala ya Tanganyika Heroes?

    Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika na sio...
  17. BLACK MOVEMENT

    Wenzetu huko Mbele huwa wanahamasisha mashabiki waende uwanjani au mashabiki wana mapenzi na timu zao hata zikishuka Daraja?

    Bongo uswahili ni mwingi sana, na bado sana hata kwenye ushabiki wa Mpira, tuna ushabiki mwingi wa mdomoni wa kubishana kwenye vijiwe vya kahawa na mitandao ya kijamii kama humu. Emegine kwamba mashabaki wenye timu yao lazima wahamasishwe, gari izunguke mtaani watu wakikata mauno kwenye gari...
  18. ngara23

    Timu za Taifa za Uganda na Burundi zajiondoa Mapinduzi cup

    Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup uanze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burkina Faso Haya mashindano hayana mvuto tena Bora yafutwe Zawadi ya million 100 timu...
  19. Scared

    Kama ac Milan sio timu ndogo mbona Haina uwanja

    Hii timu imetetewa na wazee humu kwamba nayo ni miongoni mwa timu kubwa ulaya kama ilivyo arsenal swali langu kama ac Milan ni timu kubwa mbona haina hata uwanja wake hiki ni kichekesho timu inayoitwa kubwa imeanzishwa 1899 lakini bado inakodi uwanja hapa hamna timu ni wahuni tu wa italia...
  20. mdukuzi

    Yanga ni timu ya kuogopwa, Benard Morrison yupo Ken Gold, Djuma Shaban atupiwa virago Namungo FC

    Katoka AS vita katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba, wanemtupia virago, wanadai uwezo wake ndogo ,huyo ni Djuma Shaban, hana timu ya kucheza kwa sasa. Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja...
Back
Top Bottom