Taifa stars inaweza beba Hadi world cup kama ipo chini ya benchi la ufundi la Yanga SC

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
19,257
29,125
Salaam wakuu....

Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha

Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi

So Kwa huu utafiti wangu. ..,nmegundua kuwa taifa stars wanaweza beba Hadi world cup kama bench la ufundi la yanga litaenda kupiga kaz pale stars
1725651397557.jpg
 
Salaam wakuu....

Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha

Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi

So Kwa huu utafiti wangu. ..,nmegundua kuwa taifa stars wanaweza beba Hadi world cup kama bench la ufundi la yanga litaenda kupiga kaz pale starsView attachment 3089974
Akili za Watanzania hazivuki Yanga na Simba hiki kizazi ni wasted generation. .........unamka anawaza yanga wakati umezungukwa na changamoto za maisha lukuki loh.
 
Salaam wakuu....

Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha

Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi

So Kwa huu utafiti wangu. ..,nmegundua kuwa taifa stars wanaweza beba Hadi world cup kama bench la ufundi la yanga litaenda kupiga kaz pale starsView attachment 3089974
Hata Juma Mgunda ukimpatia timu hii ya taifa nakuhakikishia anachukua AFCON sema sasa hivi ni zamu ya Zanzibar.
 
Back
Top Bottom