tiketi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    KERO Buti ni kama tiketi ya kuingia Soko la Mabibo kipindi cha Mvua, ahadi ya ukarabati wa Manispaa ya Ubungo umeota mbawa?

    Soko la Mahakama ya Ndizi lililopo Mabibo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo limeendelea kuwa katika hali mbaya licha ya kuahidiwa kufanyiwa maboresho makubwa ambayo yangeweza kutatua kero zilizokuwa zikilalamikiwa kwa muda mrefu. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilitoa taarifa ya...
  2. S

    Balozi wa USA Huckabee:''Raia wa marekani kateni tiketi kimbieni mapema israel kabla hamjachelewa

    Balozi wa marekani nchini Israeli Mike huckabee amewaambia maafisa wa ubalozi ya kwamba kama wanataka kuondoka ndani ya ardhi ya Israel waondoke mapema ''Haina haja ya kupanic kama mnataka kuondoka basi fanyeni mapema muondoke na msicheleweshe safari ''Popote mtakapo kuwepo Kateni tiketi...
  3. A

    DOKEZO Walinzi wa getini Msamvu Bus Terminal wanalazimisha kulipa Sh 300 hata kama una tiketi ya mtandaoni

    Ukilipitia tiketi online, automatically utabakiwa na muamala wa malipo, unapofika stendi uendako kama huna risiti utatakiwa ulipie shilingi mia tatu getini. Kwani kulipia ticket online na kulipia ofisini kuna tofauti gani? Ukionesha SMS ya malipo hawataki, wanataka risiti ya tiketi ya EFD...
  4. Dalton elijah

    Mifumo ya tiketi ya mtandao iliyoishinishwa kutoa huduma kwa mabasi yaendayo mkoani na nje ya nchi

    Utangulizi Kanuni za Tiketi Mtandao za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini za mwaka 2024, zilizotangazwa na Serikali (Tangazo la Serikali Na. 23 la tarehe 12 Januari, 2024), zinaweka sharti kwamba mifumo yote ya Tiketi Mtandao inapaswa kujaribiwa, kuidhinishwa, na mmiliki wake kupata kibali cha...
  5. Bila bila

    AFCON: Kuruhusu timu moja inunue tiketi zote ni hujuma.

    NI mara ya pili mfululizo timu zinazopambana na mwemyeji wa AFCON 2025 Morocco kulalamika mashabiki wake kunyimwa tiketi huku wenyeji wakitamba kununua tiketi zote. Inajulikana soka ni biashara, lakini soka ni burudani na burudani inakamilishwa na watu. Inakuwaje timu moja Kwa Kisingizio cha...
  6. A

    KERO Kampuni ya Itule Co. Limited inayomiliki mabasi ya Geita express inatoza nauli kubwa kwa abiria wanaokata tiketi online

    Habari za majukumu. Kumekuwa na utaratibu wa abiria wanaokata ticketi online katika kampuni ya GEITA EXPRESS kutozwa gharama za ziada mbali na nauli ilivyoandikwa kwenye mfumo wa ukataji tiketi. Kwanini hakuna usawa wa gharama za kupata tiketi kwa abiria wanaokata ticketi online na wale...
  7. W

    Wamorocco wanunua tiketi zote kwenye mechi dhidi ya Morocco na Nigeria AFCON

    Mashabiki wengi wa timu ya Taifa ya Nigeria wanahofu ya kukosa nafasi ya kuingia uwanjani kuiunga mkono timu yao hii leo , kwa sababu mashabiki wa Morocco wamenunua tiketi zote. Hii sio mara ya kwanza kwa Morocco kufanya hivyo, walifanya hivyo mwaka jana wakati wa fainali ya timu ya wanawake...
  8. Mto wa mbu

    Kuelekea D9 kampuni za mabasi haziuzi tiketi za tarehe 09/12

    Tanzania ya Sasa hivi ni ya moto sana, zamani yalipoitishwa maandamano watu walichukulia poa tu, Kwa kujua hakuna atakayetoka. Kilichotokea MO29, kimetoa blueprint ya maandamano nchini. Sasa Toka maandamano ya D9 yatangazwe, serikali imenywea kabsa inaogopa kutoa vitisho,na kufanya mazoezi ya...
  9. Tanzania Railways Corp

    TRC, TCB Wazindua kadi ya malipo ya tiketi usafiri wa SGR

    Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka TRC Bw. Fredrick Masawe (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Bw. Jema Msuya wakionesha kadi ya malipo ya kabla ya tiketi ya SGR iitwayo TRC Prepaid Card wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo yenye lengo la kuongeza ufanisi katika uuzaji...
  10. Damaso

    Bei ya Tiketi Katika Mchezo wa Ngao ya Jamii

    Hivi punde Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamezua gumzo kubwa mitaani na mitandaoni baada ya kutangaza viwango vya tiketi kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC. Tiketi za mzunguko zitauzwa kwa shilingi elfu 5, VIP C shilingi elfu 20, VIP B elfu...
  11. A

    KERO Abiria wenye Tiketi nao wanatoza ushuru wa kuingia Stendi ya NaneNane Dodoma

    Nimefika Stendi ya Nanenane Dodoma, watu wote wanakatishwa tiketi ya ushuru wa kuingia stendi hata kama tayari unatiketi ya safari. Hii ni sawa kweli?
  12. JanguKamaJangu

    Waziri Kipchumba: Nawapongeza Wakenya kwa kununua tiketi za mechi ya Tanzania dhidi ya Morocco, tukikutana nao tutacheza Kingereza ili wasituelewe

    'I congratulate Kenyans who've bought Tanzanian tickets', CS Murkomen joins CHAN banter Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has become the latest high-profile figure to wade into the lighthearted football banter between Kenya and Tanzania ahead of the 2024 African Nations Championship...
  13. Just Pray

    GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
  14. MKIAU

    Charles Mhando Njama: Safari ya Mwanamapinduzi Aliyetwaa Tiketi ya Ubunge wa Korogwe Mjini 2025 kupitia CCM

    Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025 Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini. Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamempatia ushindi wa kishindo katika kura za maoni akiwaacha mbali sana wapinzani...
  15. S

    Tetesi: Vigogo 3 wa CCM wajipanga kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM

    Polepole ameamsha hasira miongoni mwa wanaccm walio wengi. Na hivyo kupelekea vigogo 3 kujipanga kwenda mahakamani kuzuia uteuzi wa mgombea urais kwa madai kuwa mchakato haukufuata katiba, kanuni na taratibu za chama chao. Endapo shauri hilo litafunguliwa, kuna uwezekano mkubwa CCM ikafuata...
  16. GoldDhahabu

    Nini maana ya self transfer kwenye tiketi ya ndege?

    Nisijifanye mjanja halafu nikaishia kuumbuka! Wazoefu mnisaidie tafadhali! Ikiwa unataka kufanya booking ya ticket ya ndege, ukikutana na neno SELF TRANSFER linamaanisha nini? Ni kama inavyosomeka hapo chini. Asanteni!!!
  17. mirindimo

    Kwa nini Abood Bus wao hawatumii tiketi za ki electronic?

    Nafikiri hii ilikua kwa ajili ya usalama wa abiria na mali zake ? Au ni kwa ajili ya walipa kodi wengine huyu Abood yeye haimhusu ? Nimeona taarifa kutekwa kwa kada wa Chadema aliekua ndani ya Abood na walipoulizwa taarifa walisema wao hawana tiketi za ki electronic wao ni akina nani wasitake...
  18. Kitimoto

    Ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Young Africans SC (Yanga) Kuanzisha Tiketi za Kidigitali

    Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets). Maelezo ya Wazo: Katika siku maalum kama vile Yanga...
  19. MASHUKE ORIGINAL

    Leonard Mahenda Qwihaya a.k.a Manguzo açhukua fomu kugombea ubunge jimbo la Ilemela kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi.

    Mjumbe wa halmashauri kuu Mnec Leonard Mahenda Qwihaya achukua fomu kugombea jimbo la Ilemela. Mama Mabula ajiandae kuachia jimbo.
  20. GENTAMYCINE

    Mbichi kabisa: Bodi ya Ligi yasema Mechi ya Yanga na Simba tarehe 15 June, 2025 ni kwa Mkapa na wale waliokata Tiketi zao wataingia nazo

    Kama ulikata Tiketi yako ya Kielektroniki ile Mechi ya Awali itunze kwani hiyo hiyo utaingia nayo Mechi ya tarehe 15 June.
Back
Top Bottom