tija

Tija Gomilar Zickero (born 12 May 2000) is a Slovenian handball player for RK Krim and the Slovenian national team.She represented Slovenia at the 2020 European Women's Handball Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utitiri wa viongozi serikali una tija gani kwa Taifa?

    Nimejaribu kufikiri ni kwanini asilimia kubwa ya fedha za serikali znaishia kwenye matumizi ya kawaida, mojawapo ya sababu niliyoona ni uwepo wa utitiri wa viongozi wengi kwenye ngazi za juu hasa kuanzia wilayani na ukizingatia hawa wanahudumiwa siyo tu mishahara mikubwa bali kuna magari/mafuta...
  2. JamiiForums Tanzania Wahariri wahoji ongezeko la kodi kugharamia miradi isiyo na tija

    Dar es Salaam. Baadhi ya wahariri wanaounda Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wamehoji mpango wa Serikali kuendelea kugharamia miradi waliyodai haina tija kwa kuongeza kodi na tozo kwenye bajeti ya Serikali. Wakizungumza leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika mjadala wa uchambuzi wa bajeti ya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kazi kwa weledi sioni upinzani kama una tija kwa sasa

    Habari ndugu Wana JF Nimekua nikifuatilia habari na matukio yanayoendelea hapa nchini kiukweli nimpongeze Rais wetu Samia kwa kuamua kuongoza nchi kwa kutumia Sheria na utawala bora. Wote tumeshuhudia akijenga mahusiano mazuri na nchi nyingi huko duniani lakini ameonyesha njia katika kutatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…