tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ikiwa TFF inakubaliana na timu kama Yanga kuwakata fedha za ada timu itakapopata ubingwa, kuna uwezekano inapanga matokeo timu hiyo kutwaa ubingwa!

    Nimetafakari juu ya hili, na nikaelewa kwamba kuna uwezekano mkubwa TFF inahusika moja kwa moja kuamua timu ipi itwae ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara. Hebu fikiria, katika misimu mitatu ya ligi kuu, Yanga wanasema TFF haijawalipa fedha zao za ubingwa. Sasa kwa nini tusifikirie kwamba katika...
  2. JamiiForums Tanzania Simbs Sc: Mechi nambari 184 dhidi ya Yanga ipo pale pale

    klabu ya simba imesisitiza kuwa siku ya jumapili ya tarehe ya 15 mwezi june watapeleka timu uwanjani.
  3. JamiiForums Tanzania Yanga vs Tff /Simba sc limechukua sura ya kisiasa

    Nikweli Yanga sc tunadai haki zetu , nikweli TFF amekua akiipendelea mbumbumbu FC, ni kweli makolo walitukimbia tarehe 8 march. Ila Taarifa ya club yetu iliyosema hatutoshiriki kivyovyote vile mchezo mwingine wa dabi kwa msimu huu 2024/2025 ilijitosheleza na hatukuhitaji kuendelea kulizungmzia...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga msikilizeni huyu, mchambuzi asema Tsh. Millioni 250 hazijapigwa

    Zile milioni 250 sio za ushindi wa kombe la CRDB ila ni pesa za kuendeshea mashindano, kinachoaminishwa kwa watu ni uongo na si uhalisia. source:Tv3
  5. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Mpango wa Yanga kushinikiza Viongozi kujiuzulu ni mpango wa makusudi

    Wakuu! Imebaki siku moja kabla ya dabi ya kariakoo hakun tiketi zilizouzwa mashabiki wanaingiaje kwa mkapa? === "Mpango wa Nyuma Mwiko kushinikiza Katibu Mkuu wa TFF na Mtendaji wa Bodi ya Ligi wajiuzulu ni mpango wa makusudi wa kutaka kuweka watendaji wapya katika taasisi hizo watakaolinda...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Malinzi na Celestine Mwesigwa walikutwa na makosa 28 ya wizi wa fedha za TFF, Karia katika hili anasalimilkaje?

    Sijui nianzie wapi....coz mengi tayari yamesemwa kwa kina. Na Mimi naungana kabisa na watu wanaotilia mashaka uwezo wa Walace Karia...Rais wa federation. Huyu jamii hata kwa kumtizama tu hayupo professional kabisa.....sio tu kwenye masuala ya fedha....bali karibu jambo analolifanya. Yaani...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa siku TFF itashinda maana ni mamlaka. Hongereni sana Young Africans Sports Club. Hakika nyie ndo wakombozi wa soka hili

    Hakika mwaka huu unaenda kuisha vibaya sana kwa TFF.....wameumbuka haswaaa!! Pamoja na yote, TFF inaenda kushinda sababu mkubwa ni mkubwa tu na lazima "alindiwe" heshima yake ya ukubwa. Hata mtu mzima akitoa mashuzi wakati wa kula basi kibao hulambwa mtoto. Lakini jambo Moja ni uhakika, nalo...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna majibu yoyote kutoka kwa mtaalamu wa fedha wa Yanga ya kwenda kulihakiki deni lao pale TFF ?

    Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Yote haya ni kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi wa TFF na Yanga wameanza kujipanga mapema kuhakikisha wanachukua uongozi.

    Uchaguzi wa TFF upo karibu, kama sio mwezi wa 8 basi wa 9. Yanga wameanza kujipanga mapema sana kuhakikisha Karia harudii alichokifanya uchaguzi uliopita kwa kuengua wapinzani wake wote na kujipa uongozi. kwa mujibu wa Katiba ya TFF anaweza kuchaguliwa kwa terms mbili, Karia ameshamaliza...
  10. JamiiForums Tanzania Hi ni Aibu Kwamba Timu Zinachezeshwa Mashindano ya CRDB Confederation Cup Bila Kujua Zawadi za Mshindi, Tanganyika Nchi ya Ajabu!

    Katika hali ya kushangaza na ya kusikitisha, imekuwa kawaida sasa kwa timu mbalimbali kushiriki mashindano makubwa bila kujulishwa wazi zawadi au motisha wanazotarajiwa kupewa iwapo zitashinda. Hii siyo tu inakatisha tamaa, bali pia ni aibu kwa taifa kama Tanganyika, lenye historia ndefu ya...
  11. JamiiForums Tanzania CEO wa Yanga, Andre Mtine: Tunataka Pesa yetu ya Ubingwa ndio kitu tumewaambia TFF

    CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito, Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya...
  12. JamiiForums Tanzania Dominic Salamba: Napata shida na taarifa za fedha za TFF kama hakuna forging.

    Mchambuzi wa Michezo Dominick Salamba kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) ameandika ✍🏿 "TFF wanasema wanawadai Yanga bila kutaja kiasi wanachodai huku Yanga wana kias halisi wanachodai,kwa hali hii ina maana kuna uwezekano mkubwaa taarifa za fedha pale TFF hazipo sawa na uwezekano wa kuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Afisa Habari wa TFF: Sio kila jambo kuandikiana barua.

    "Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"-...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga yaungana na Tabora United kupendekeza Wallace Karia kugombea bila mpinzani katika uchaguzi ujao wa TFF

    -------------------------------------------- --------------------------------------------
  15. JamiiForums Tanzania TFF kabidhi fedha za CRDB kwa Yanga kisha dai madeni Yako. Mnaiaibisha Bank

    TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha ya CRDB iliyokusudiwa kwenda Yanga kama bingwa wa mashindano ni ushahidi wa hili. TFF imekosea sana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya TFF kufumbia Macho mabaya yote ya Yanga matokeo yake ndio haya tunaanza kuyaona

    Hivi karibuni watu walilalamika michezo ya Yanga kununua mechi na kuhonga wachezaji,kila mtu alikaa kimya na leo hii tunaona upuuzi unaoendelea... TFF na mamlaka nyingine za mambo ya Rushwa pia zilikaa kimya ila matokeo tunayoana sasa. Wangapi wanajua haya ya yanga ni kichaka cha kuficha mabaya...
  17. JamiiForums Tanzania Chukua hii mapema kabisa ya kuhusu makubaliano ya Siri na ya Kimkakati kati ya Yanga, Simba, TFF na Serikali juu ya Mechi yao

    Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu. Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu. Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukubaliane na Yanga kulipwa madai yako watakapochukua ubingwa? TFF ni wahuni, Je Yanga isingechukua ubingwa?

    Kwani mchezaji wa kigeni anapaswa alipiwe ada na timu yake kwa TFF kwa kipindi gani tokea asajiliwe? Haiingii akilini TFF ikubaliane na Yanga eti italipia wachezaji wake wa kigeni inapochukua ubingwa, TFF walijuwaje kwamba Yanga itakuwa ikichukua ubingwa na kwamba isiwe na wasiwasi dhidi ya Ada...
  19. JamiiForums Tanzania Udhamini wa CRDB Kwa TFF ni billion 3.759, inakuwaje bingwa anapewa milion 50?

    Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3 Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi? Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi? Au mshahara wa Aziz...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge Amina Mollel asema Karia hafai kuwa Rais wa TFF

    Ukurasa wake rasmi wa Facebook: ":Huyu Karia ni WA hivyo kabisa na hafai kuwepo TFF, kukiri kwako tayari unaonyesha udhaifi mkubwa sana kwa nafasi uliyonayo. Hata kama unawadai Yanga SI ungewaeleza kwanza kabla ya kuwakata na kwakuwa TFF inafanya KAZI Kwa maandishi ulipaswa kuwaandikia barua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…