tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba kugomea nembo ya GSM ni dharau kwa TFF sio GSM, laana wataipata

    GSM ameongea na kukubaliana na mwenye mbwa, TFF kuhusu udhamini wa ligi kuu. Timu kugomea kuvaa nembo ya GSM ni dharau kubwa kwa mwenye mpira wake na sio kwa GSM. Huku ni kuota mapembe dhidi ya baba yako, lazima watapata laana la kimichezo. Hapa mbwa ameifuata TFF hadi msikitini. Wacha...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya michezo na TFF impe tuzo ya heshima daraja la kwanza Salim Bakhresa kwa mchango wake mkubwa kwenye michezo

    Greetings Wana JF! Kwa kila mpenda michezo nchini Tanzania atakubaliana na mimi kuwa Kampuni tanzu ya Azam (especially Azam TV) inayomilikiwa na Salim Bakhressa, ina mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya michezo nchini. Tukianzia upande wa soka, Azam TV imefanikiwa kuleta mapinduzi makubwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TFF na Karia wachunguzwe. Timu nyingi za ligi kuu masikini.Sababu kuipa haki ya kurusha ligi kuu TV moja tu

    Kwa ufupi tu naomba vyombo vinavyohusika na michezo na rushwa wachunguze mkataba katika ya TFF na TV moja kurusha live matangazo ya ligi kuu tena kwa miaka 10. Gharama walizolipa ni takriban billioni 200 na ushee. Duniani kote hakuna TV moja inayopewa haki bila ya kuzishindanishi tv...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Azam Media na TFF mnahujumu soka letu

    Wakuu Igweeeeee. Naomba radhi sana kwa wale ambao hawatapendezwa na huu Ukweli. Azam Media kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi na TFF mmeamua kwa sababu zenu kuhujumu Soka letu katika kipengele cha Kuhakikisha Azam Media anauza zaidi haki za Matangazo na kuzuia timu kupata viingilio vya Milangoni...
  5. JamiiForums Tanzania Hawa ni Referees wa AFCON,waamuzi wa TFF wabaki ligi ya Karia

    Marefa wetu wa hovyo huwezi kuwakuta
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni bahati mbaya sana Viongozi "Think Tank' kama huyu Angetile Osiah aliyewahi kuwa Boss TFF hawatakiwi Tanzania

    Nimeshangaa kusoma kwamba eti kiongozi wa klabu ya Biashara anasema anachojali “ni fedha tu za Udhamini wa GSM, na hayo mambo mengine hayawahusu”. Hicho ni kiwango kikubwa cha kutojua wajibu wake kama kiongozi wa klabu ya Ligi Kuu, haki za klabu hiyo na vyanzo vya mapato. . Kwa kiongozi kama...
  7. JamiiForums Tanzania TFF inavuna ilichopanda kwenye mpira

    Tunaona sasa TFF inavyopata shida na Simba na Yanga kiasi cha kupoteza uelekeo. Tunaona yanga wakigomea mechi yake na simba kwa kosa la kubadilishwa muda wa mechi, tunaona Yanga wakiigomea TFF kuvaa nembo ya mdhamini yenye Rangi nyekundu. Sasa hivi tunaona simba ikigomea udhamini wa GSM...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Figisu figisu za TFF dhidi ya CEO wa SIMBA (Barbra) mechi ya leo zawavua nguo

    Wakati akiingia eneo la VVP kwa ajili ya kutazama mechi ya Leo, CEO wa Simba Babra Gonzalez akiwa ameambatana na wanafamilia watatu (tena) watoto alizuiliwa na maafisa wa TFF kuwaingiza watoto hao kwa kisingizio kuwa watoto hawaruhusiwi kuingia VVP.... Kwa kuona hivyo akaamua kuondoka yeye na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Ndugulile aipongeza TFF kwa kujenga Kituo cha Maendeleo ya mpira wa miguu Kigamboni

    DKT NDUGULILE AWAPONGEZA TFF KWA KUJENGA KITUO CHA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU KIGAMBONI Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) amekipongeza Chama Cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kujenga kijiji cha maendeleo ya mchezo mpira wa miguu katika Kata ya Kisarawe II, Wilaya ya...
  10. C

    JamiiForums Tanzania TFF na GSM wamedhamiria mechi isichezwe: mabango bado yapo

    Ndugu zangu narudia tena hiyo hela ya kuhangaika kwenda taifa kuangalia ujinga wa bongo subiri january ukaangalie makundi lunyasi hapo ni kama tutakuwa hatujahamia Rwanda. Haijulikani hadi sasa watu wamehongwa kiasi gani kinawchowatoa akili kwamba simba amdharau kit supplier wake anayempa one...
  11. E

    JamiiForums Tanzania TFF wanakosea katika hili

    Ndani ya Tanzania Football Federation (TFF) kumejaa vilaza ambavyo havijui maana ya mpira na matokeo yake ni kuingia mikataba inayovuruga tamaduni na brand za vilabu vya mpira. Tulisikia juzijuzi hapa Yanga wakigomea kuvaa nembo zenye rangi ya mtani wake, na leo tunasikia sakata jingine la...
  12. JamiiForums Tanzania TFF funikeni Kombe mwanaharamu apite la sivyo mtaumbuka tena

    TFF Hamuiwezi Simba wala Yanga nchi hii, Hapa yenyewe mnasubiri viingilio hivi mpige pesa! Bila simba na Yanga nchi hii mtakufa njaa nyie.. Oneni mpaka viingilio mnapanga ninyi.. Yanga waligomea Twiga mwekundu, Mwaka huu huu game iliahirishwa na mpaka leo Sio simba wala Yanga aliyewajibishwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwisho wa uswahiba wa Simba na TFF ndio mwanzo wa mataji ya ligi kutua Yanga

    Wanasports salaam. Kwa zaid ya miaka 4 TFF na Simba wamekuwa maswahiba wakubwa hali iliyopelekea minong'ono upande wa Yanga kwamba TFF Soka anaibeba Simba. Baada ya ujio wa GSM mitaa ya Jangwana mambi mengi yamebadilika lakin bado Yanga hawajaweza kupata ubingwa mbele ya Simba. Msimu huu...
  14. JamiiForums Tanzania Simba Sc tuliona habari za TFF na GSM kupitia mitandao

    Naambiwa hapa hata Mdhamini Mkuu hakushirikishwa. Yeye kahoji kimya kimya asiharibu hali ya hewa. Hivi viongozi wa hovyo kama hawa wataisha lini.
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini chaguzi za TFF Kuna kupitia bila kupingwa kwingi?

    Demokrasia lazima ionekane ikitendeka kwenye taasisi zote za umma ikiwemo TFF. Kwanini changuzi za TFF wenyeviti wanapita bila kupingwa kwenye nchi yenye watu zaidi ya elfu 60? Rais wa TFF Bw. Karia kapita bila kupingwa na mwenyekiti wa bodi ya ligi Bw. Mnguto Nasikia nae anapita bila...
  16. JamiiForums Tanzania TFF ijitafakari

    MWAKA 2018, CAF ilianzisha kituo cha usimamizi wa mechi ndani ya ofisi zake za makao makuu jijini Cairo, Misri. Kituo hicho kinachoitwa MATCH COMMAND CENTER, hufanya kazi kama moyo wa mtiririko wa taarifa za mechi za mashindano yote ya CAF. Kituo hiki kimefungwa kwa teknolojia ya hali ya juu...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Cheki ya benki ya GSM to TFF ya uongo ya kitapeli, tumeibiwa Watanzania

    Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo dewji kaitapeli FCC na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference iliyokuwa na ma banners yenye nembo za Gsm na Utopolo fc na kusema ile cheque ya Mo dewji ni ya kitapeli ni ya mfano lakini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la marefa wa Kitanzania lilishatengenezwa muda mrefu na TFF awawezi kulikwepa

    Nimeona mapovu mengi sana yakiwatoka mashabiki na wadau wengine juu ya penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo, Ni ajabu sana kuitolea macho penalty ya jana wakati matukio kama ayo yanatokea Sana na watu wanakaa kimya kwakuwa tiyali anaefaidika anakuwa keshavuna point zake. Matukio kama haya...
  19. JamiiForums Tanzania Je, TFF Kuna TISS?

    Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je Serikali yetu Ina moles wake mule TFF? Je, maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri Afrika Mashariki na Kati nani anayalinda?
  20. JamiiForums Tanzania TFF inajua sana 'kuidhalilisha' na 'kuisanifu' klabu moja kubwa na kongwe mno nchini Tanzania

    Kuna muda ilitoa Maamuzi (Taarifa) fulani kuwa Wao ndiyo wameongoza sijui kwa kujaza Watu Uwanjani na kama kawaida yao Washamba na Mashabiki zao 'Oya Oya' wengi 'Wakashangilia' Mwezi mzima utadhani ndiyo wamebeba Kombe la VPL. Hatimaye leo ndiyo TFF katika Utoaji wa Tuzo zake imeamua kuwafanyia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…