teuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Pascally Mayalla wa jf, na ccm mtaka teuzi alifilisiwa na Hayati Magufuli kisa kumuuliza swali chokonozi, je Samia atamfanyaje baada kumwambia Lisu...

    Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo ulikuwa mwisho wake wa KUPIGA fedha za serikali kupitia vyombo vyake na kile kipindi chake cha...
  2. R

    Kuondoa dhana ya business as usual, kutojali, namshauri Mkuu aachane na teuzi zozote, afocus kwenye huu mtanzuko uliopo mbele yake

    Nchi iko gizani. Imevimba bado kupasuka. Washauri wake mshaurini as underate hí hali tuliyo nayo. Aifanyie kazi, aachane na mazoea ya business as usual. Huko mbele kuna giza nene kwa kila Moja wetu!
  3. Ngengemkenilomolomo

    Teuzi za mchongo

    Wakuu Hizi teuzi za bi mkubwa sijaona cha maana yan ni kama anagawa peremende za shukran kwa waliofanikisha kukalia kiti watanzania tuna matakwa mengi mno anakuja kutuletea eti wizara ya mahusiano,mahusiano gani sasa kama kuna hyo wizara ina maana wizara ya gwajima haitoshi au imezidiwa? wizara...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    Watu walionunua teuzi na wale waliohaidiwa majimbo 2025 wakisaliti harakati za ukombozi wamenikumbusha wale walioweka pesa DECI miaka ya 2000

    Watu walinunua teuzi kwa mamilioni ya pesa kwa kuwa inaeleweka uchaguzi mkuu kwao ni ndani ya cham tu huku nje maigizo. Wengine wakaamua kusaliti harakati za ukombozi na kugeuka machawa wa serikali kandamizi.Waliunga juhudi muda ambao ndugu zao ambao walikuwa wanafanya harakati pamoja wakiwa...
  5. Mashamba Makubwa Nalima

    Kijana wangu ameteketeza kama 500M TZS kupata teuzi, leo kanipigia anasema bora tungebeba viwanja na mashamba tu Pwani

    Watu wengi walijua uteuzi mkuu utafanyika tena kipindi hiki na ushindani ungeishia ndani ya chama pekee, huku kwenye kura iendelee kuwa kiini macho. Pole mwanangu T, ulikuwa mpumbavu tu kwa kuwa ulikuwa unaenda kutetea utekaji, uuaji, ufisadi, maongezeko ya tozo in the name of KULINDA AMANI...
  6. R

    Rais Mwinyi afanya Uteuzi

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Leseni za Biashara na Mkurugenzi wa Idara ya Umwagiliaji Chanzo: Zanzibar Mpya & Dodoma zone
  7. R

    GE2025 Bado sielewi, kama Mgombea hajapita Kura za Maoni inamaanisha hafai, sasa hizi habari ninazosikia eti wanawekwa pembeni kusubiri teuzi ndo nini?

    Wakuu habari, Kuna kitu sikielewi hapa yaani kama Mgombea hajapita kura za maoni ya kumuwezesha awe kiongozi inakuaje tena baadae anakuja kutgeuliwa mkuu wa wilaya au Mkoa kama wajumbe waliona hana vigezo apo awali Maana nimekua nikisikia Mgombea fulani amekatwa ila amewekwa pembeni asubiri...
  8. R

    GE2025 CCM hawana huruma kweli chawa wao damu damu Mwijaku, wamemfyeka kwenye teuzi?

    Huyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi 😂 😂
  9. R

    GE2025 Esther Bulaya na Esther Matiko wamepenya Mchujo wa kwanza Teuzi za CCM

    Waliokuwa wanachama wa CHADEMA na kisha kuhamia CCM Esther Bulaya na Esther ni miongoni mwa wagombea Ubunge kwenye mchujo wa kwanza Kupitia Chama cha Mapinduzi baada ya kutangazwa leo na CPA Amos Makalla Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi Esther Matiko ni miongoni mwa...
  10. Mzalendo2015

    Hizi teuzi za Rais Samia zinabagua na zina kasoro kubwa

    https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima? Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA...
  11. Terrible Teen

    Yanayotokea Bungeni Sakata la Gambo na Mchengerwa Linadhihirisha Umuhimu wa Kuepuka Teuzi za Kifamilia

    Kumekuwa na mgogoro mkubwa unaendelea Bungeni tangu majuzi kati ya Mbunge wa Arusha Mjini Ndugu Mrisho Gambo na Waziri wa Nchi, OR TAMISEMI Bwana Mchengerwa. Kwa ufupi ni kamba, Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais ameonesha tu kujikweza kwa kibri bila ya kutoa majibu ya hoja za Gambo. Kwa...
  12. M

    Teuzi na tenguzi ni chanzo cha uchawa na ukosekanaji wa uzalendo

    Binafsi naona kuna haja ya kupitia upya swala la maswala ya teuzi. Rais hapaswi kuwa na power Pana namna hiyo ya kuteua na kutengua kiasi hiki. Ningeshauri kwa positions nyeti kama za kiusalama (tiss na police na jeshi) hapa power irudishwe Kwa wananchi Yani kuwe na kampeni kabisa watu wanadi...
  13. Knock life

    Je ni sababu zipi zinazopelekea Pascal Mayalla hapati teuzi yoyote mpaka sasa?

    Wakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ? Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na Rais. Ikiwa ni kweli , basi hii inafikirisha na muda sio mrefu anenda kuingia ghorofa ya 60 bila kupata...
  14. Bulelaa

    Teuzi zinaendelea, Wastaafu wanaendelea kulamba asali huku wahitimu wakiendelea kulia mabarabarani

  15. F

    Nafikiri teuzi nyingi hazifanywi kwa umakini, hazina malengo ya muda mrefu na huweza kumvunjia mtu heshima yake au kumvuruga kiutendaji

    Hapa namzungumzia zaidi Professor Palamagamba Kabudi. Huyu nguli wa sheria amekuwa ni mtu wa kuteuliwa na kutenguliwa au kuhamishwa na kurudishwa alikotoka na kuhamishwa tena kwenda kwingineko. Professor aliteuliwa kuwa waziri wa sheria kabla ya kuhamishwa na kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 Makonda ataibuka aanze kuwananga watesi wake hawamuwezi, Sabaya atalamba teuzi. Tutahamia kwenye ubuyu mwingine, wameshajua ndio tulivyo!

    Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo.... Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba tunalisakata. Pia soma: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya...
  17. BLACK MOVEMENT

    Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
  18. GENTAMYCINE

    Kwanini Marais wa Tanzania kila kukitokea Jambo lisilo jema, la mjadala na la kuichafua Demokrasia ya nchi huamua Kulifunika kwa Teuzi za ghafla?

    Nitashukuru sana kama Machawa Wao Gegedu wakija hapa kutuelimisha Sisi tusio na uelewa wowote. Angalizo. Nimesema Marais wa Tanzania na si lazima awe wa sasa au wale waliopita. Imeisha hiyo......!!
  19. denoo JG

    Binafsi nayaona mambo makubwa manne kwenye teuzi na tenguzi za Samia za kila siku.

    Habari zenu wana jamvi!. Siku za karibuni Rais wa JMT Mh. Samia S. Hassan amekuwa akifanya teuzi na tenguzi za mara kwa mara, tena this time sio tu amekuwa akitengua wale ambao hakuonekana kuwaamini toka mwanzo, lakini sasa anatengua mpaka wale wandani wake wa karibu. Binafsi nimekaa...
  20. Suley2019

    Uteuzi Julai 31, 2024: Rais Samia aunda Tume ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi nchini. Kwa...
Back
Top Bottom