Muda huu tetemeko limepita na inaonesha ni la kiwango kikubwa kiasi kulingana na mtetemo niliousikia. Sijafuatilia maeneo mengine ila kupitia uzi huu tunaweza kuhabarishana zaidi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotelewa na vyombo vya habari Al Jazeera na Reuters kumetokea tetemeko la ardhi Afghanistan usiku wa kuamkia September 1, 2025 lenye ukubwa wa Ritcher 6.0 na kusababisha idadi ya vifo takribani 800 na majeruhi zaidi ya 2,800. Idadi hiyo imekuwa ikiongezeka zaidi ya...
Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia baada ya tetemeko la ardhi la kipimo cha 6.0 kupiga mashariki mwa Afghanistan, karibu na mpaka wake na Pakistan.
Zaidi ya watu 115 waliojeruhiwa wamepelekwa hospitali katika majimbo ya Nangarhar na Kunar, maafisa walisema.
Tetemeko hilo la kina kirefu cha...
Hali inaonyesha patakuwa na tetemeko na hofu kuu ktk taifa lakusadikika. Wazee wa Taifa hilo watasimama kukabiliana na kesho ya kizazi kijacho. Itakuwa nivita kali isio tumia silaha wala mabomu kulitetea Taifa la kusadikika.
Vyombo vya usalama wa Taifa hilo havitoingilia mtifuwano huwo ila...
Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025 katika pwani ya mashariki mwa nchi hiyo
Licha ya mtikisiko mkubwa uliosababisha tahadhari ya...
Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site.
Hakuna ripoti ya majanga japo inahisiwa kuna kitu kilikuwa kinajaribishwa
Mnamo mwaka 2017 korea kazkazini walijaribisha Atomic...
Maafisa wa uokoaji walisimama kwa dakika moja ya kimya karibu na jengo la Sky Villa condominium, moja ya maeneo yaliyoathirika zaidi na tetemeko la ardhi la Machi 28, katika jiji la Mandalay mnamo Aprili 1, 2025.
Mamlaka nchini Myanmar zimefanya dakika moja ya kimya kuwakumbuka waathirika wa...
Takwimu za utabiri wa Shirika la Jiolojia la Marekani (USGS) zinaonesha idadi ya vifo huenda ikaongezeka na kufikia zaidi ya 10,000, huku hasara za Kiuchumi zikitarajiwa kuzidi pato la Taifa kwa Mwaka mzima
Shirika la Msalaba Mwekundu (Red Cross) limesema Myanmar inakabiliwa na kiwango cha...
1. Wenzetu Thailand na Mynamar wamepata na tetemeko lenye ukubwa wa 7.7 (kwenye Richter scale). Nafikiria tetemeko hili lingetokea Tanganyika Hali ingekuaje?
Picha lingeanza kwa msafara wa Mawaziri na ma-V8 yao kujaa kwenye tukio, pameandaliwa jukwaa/tent,bendera za CCM, viti, meza, maua na...
Zaidi ya watu 700 wameuawa nchini Myanmar na maelfu ya wengine kujeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 ambalo lilisikika pia katika nchi jirani.
Wengi wa walioaga dunia wako Mandalay, mji wa pili kwa ukubwa nchini Myanmar, na mji ulio karibu zaidi na kitovu cha tetemeko la...
Amani iwe kwenu watu wa MUNGU
Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu
Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia
EARTHQUAKES
EARTH POWER
EE BWANA YESU KRISTO tusaidie
AMINA
SAYUNI BOY
Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu ukiachana na umri wa majengo yale na jinsi yanavyo lemewa uzito na wingi wa watu wanao yatumia...
Leo,Israel imefanya shambulizi la anga kwenye kambi ya jeshi la Urusi katika mji wa TARTUS imesababisha mtikisiko mkubwa wa Ardhi ambao umesikika umbali wa Kilometa 800.
Wataalamu wa kijeshi wanasema,huenda mlipuko huo umesababishwa na Vilipuzi vilivyokuwa vimehifadhiwa mahali hapo.
Jeshi la...
Majanga ya asili duniani yapo na yanaweza kutokea muda wowote. Kuna maeneo mfano Asia nchi kama za Japan, China, Indonesia, Uturuki, Iran n.k wao matetemeko ya ardhi ni sehemu ya maisha, nchi kama Marekani wao vimbunga ni sehemu ya maisha. Hizi nchi wanajipanga sana kupunguza madhara ya haya...
Tamasha la Rapa wa Marekani, Travis Scott lililofanyika usiku wa jana mjini São Paulo, Brazil limesababisha mitetemeko iliyofanana na tetemeko la ardhi hadi umbali wa vitongoji sita kutoka eneo la tukio.
Mitetemeko hiyo kutoka kwenye tamasha lililouzwa tiketi zote, lililofanyika Allianz Park...
uwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili
yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana...
wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami,
Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.