tesla

Tesla, Inc. ( TESS-lə or TEZ-lə) is an American electric vehicle and clean energy company based in Palo Alto, California, United States, with plans to move its headquarters to Austin, Texas in the future. Tesla designs and manufactures electric cars, battery energy storage from home to grid-scale, solar panels and solar roof tiles, and related products and services. In 2020, Tesla had the most sales of battery electric vehicles and plug-in electric vehicles, capturing 16% of the plug-in market (which includes plug-in hybrids) and 23% of the battery-electric (purely electric) market. Through its subsidiary Tesla Energy, the company develops and is a major installer of photovoltaic systems in the United States. Tesla Energy is also one of the largest global suppliers of battery energy storage systems, with 3 gigawatt-hours (GWh) installed in 2020.
Founded in July 2003 by Martin Eberhard and Marc Tarpenning as Tesla Motors, the company's name is a tribute to inventor and electrical engineer Nikola Tesla. In February 2004, via a US$6.5 million investment, X.com co-founder Elon Musk became the largest shareholder of the company and its chairman. He has served as CEO since 2008. According to Musk, the purpose of Tesla is to help expedite the move to sustainable transport and energy, obtained through electric vehicles and solar power. Tesla began production of its first car model, the Roadster, in 2009. This was followed by the Tesla Model S sedan in 2012, the Tesla Model X SUV in 2015, the Tesla Model 3 sedan in 2017, and the Tesla Model Y crossover in 2020. The Tesla Model 3 is the all-time best-selling plug-in electric car worldwide, and, in June 2021, became the first electric car to sell 1 million units globally. Tesla's global vehicle sales were 499,550 units in 2020, a 35.8% increase over the previous year.
Tesla has been the subject of several lawsuits and controversies arising from statements and acts of CEO Elon Musk and from allegations of creative accounting, whistleblower retaliation, worker rights violations, and unresolved and dangerous technical problems with their products. In September 2021, the National Highway Traffic Safety Administration (NHTSA) ordered Tesla to submit data pertaining to all sold US vehicles equipped with Autopilot.

View More On Wikipedia.org
  1. P h a r a o h

    Nicola Tesla. ugunduzi wake wa umeme uliobadilisha dunia hadi leo, na jinsi maisha yake yalivyoishia kuwa ya umasikini na upweke

    ‎Maisha ya Nikola Tesla ni moja ya hadithi za kuvutia sana katika historia ya sayansi, hadithi ya mtu aliyekuwa na akili ya ajabu sana lakini pia maisha yaliyojaa mafanikio makubwa na baadaye upweke na matatizo. ‎ ‎Tesla alizaliwa mwaka 1856 katika kijiji kidogo kilichokuwa ndani ya Dola ya...
  2. Mad Max

    Elon Musk ametangaza kua Tesla watasitisha uzalishaji wa Model S na Model X kuanzia Q2 ya 2026!

    Tajiri Elon Musk ametangaza kua kampuni ya Tesla itasitisha uzalishaji wa magari yake Model X na Model S. Tajiri kasema factory zilizokua zinazalisha ayo magari zitafocus kwenye marobot yake ya Optimus.
  3. Mad Max

    Tesla wasitisha Autopilot ya bure kwenye magari yao mapya! Ukihitaji utaipata kwenye FSD kwa $99/month!

    Imekua officially. Tesla wamesitisha Autopilot kwenye magari yao yote ya kuanzia mwaka 2026 nakuendelea. Kwa sasa utapata basic cruise control (itakayo ongeza na kupunguza speed) na traffic awareness kama speed detection, signs nk., lane centering kwenye highway nk. LAKINI kukata kona...
  4. Mad Max

    Sasa rasmi Tesla inafungua store Africa, kwa kuanza na Morocco!

    Tesla hadi sasa ameshafungua stores zake kwenye mabala matano kati ya saba, kasoro Africa na Antarctica. Sio mara ya kwanza Elon Musk aliwahi kuulizwa kuhusu kutaka kuingia Africa, sana sana bara alipozaliwa South Africa, akaishia kusema tu soon. Sasa nadhani ndio soon aliyoisema, kwani...
  5. Mad Max

    Tesla wamezindua Model 3 Sedan na Model Y SUV “Standards”: Hizi ni cheaper versions za Model 3 na Model Y!

    Wakuu. Tesla leo tarehe 7 October wamezindua magari mawili, Model 3 na Model Y Standards. Kwa lugha nyepesi, hizi ni base/cheaper versions za Model 3 na Model Y zikiwa zimepoteza baadhi ya features kutoka kwa wakubwa zao. Mbali na kuleta Standars, Tesla pia amebadirisha naming ya trims za...
  6. Mad Max

    Tesla ni kama iPhone. Wanawaibia wateja wao kwa updates ndogo ndogo kila toleo jipya na kuongeza bei!

    Inaonekana Wamarekani na kuwaibia wateja ni kitu cha kawaida. Tesla wanataka kuzindua new Model Y ili week, wenyewe wanaiita Striped Model Y kwamba imeondolewa baadhi ya features na kuuzwa bei nafuu, ila sio nafuu kuliko Model 3. Hawa jamaa naona kabisa wanaleta utapeli. Kuanzia updates ya...
  7. Bongo Tech Giant

    Uzinduzi wa Tesla 5G Smartphone Mpya – Pi Max Kuchukua Soko la iPhone na Samsung?

    Kampuni ya Tesla, inayojulikana kwa ubunifu katika magari ya umeme na nishati safi, sasa imeingia rasmi kwenye soko la simu za kisasa kwa kuzindua Tesla Pi Max. Simu hii imeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu na inalenga kushindana moja kwa moja na iPhone na Samsung katika soko la simu za...
  8. Mad Max

    Tesla wazindua Model Y L, ni long version ya Model Y ikiwa na seat 6.

    Tesla officially wamezindua Tesla Model Y L, ambayo ni long version ya Tesla Model Y ya kawaida. Itakuja ikiwa na seat 2 za ziada kwahiyo jumla mtakaa watu sita fresh kabisa. Ukifananisha na Model Y, hii imeongezeka urefu 180 mm, kimo 24 mm, wheel base 150 mm, na bei ikiongezeka kwa $3,600 hivi.
  9. Mad Max

    Honda wanakuja na Honda 0 Series SUV: Baya kuliko Cybertruck ya Tesla!

    Tushawahi kuongelea humu EV kutoka Honda ambayo ni sedan, iliopo katika series 0. Honda 0 Series Saloon: EV yenye muonekano wa ki-future! Hawa jamaa sasa wanaleta SUV yake. Ingawa taarifa za specifications, bei na upatikanaji hazijatolewa, ila ndio hii production type.
  10. Manyanza

    Mauzo ya Tesla Yashuka Kwa Kiwango cha Rekodi – Robo ya Pili ya 2025

    Tesla imekumbwa na pigo kubwa la mauzo kutokana na mchanganyiko wa sababu za kisiasa, ushindani wa kibiashara, na hali ya kutoaminika sokoni. Uwezo wa kampuni kurudi kwenye ukuaji utategemea mafanikio ya bidhaa mpya na jinsi Musk atakavyojibu hali hii. Tesla imeripoti kuporomoka kwa mauzo kwa...
  11. Mad Max

    USA wako mbali sana: Sahivi Tesla inatoka kiwandani ilikotengenezwa hadi nyumbani kwa Mteja bila dereva!

    Ni Tesla tena. Juzi wameshazindua officially huduma ya robotaxi, kwa kuanzia Austin, Texas, ambapo mteja utaita gari like Uber/Bolt hafu itakuja Tesla bila dereva, na kukupeleka unapoenda. Makato juu kwa juu. Sasa sahivi wameenda next level na autonomous driving. Gari ikitoka kiwandani...
  12. Fbn

    Gari za Tesla aina Cybertrack kama huna ufahamu wa kompyuta na teknolojia achana nayo

    Gari ya cybertruck kama mwanamke yani ukitaka kupata rahaa lazima kumtayarisha ili utumie. Sasa kitu ambacho nimefikiria haya magari kuleta bongo unaweza kulipark uwani na kufa mazima. Gari ya cybertruck ukilipeka kuoshwa lazima ulitambulishe la sivyo litakugomea kufungua chochote na kuondoka...
  13. The redemeer

    Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

    Elon Musk anakuja kwa kasi sana kwenye technology ya mawasiliano, kumbuka anamiliki satellite zake thus kwa technology za mawasiliano yupo cheap sana hata simu na laptop zake ni quality ya juu kwa bei ya chini kuliko products za apple yaani iphone na computer. Katoa tablet na simu ambayo...
  14. Rorscharch

    Kuhoji ni kuishi: ujasiri wa kutafuta ukweli ndani ya giza la mazoea

    Katika maisha ya kila siku, kuna jambo moja ambalo linatisha kuliko njaa, kuliko maradhi, kuliko hata kifo chenyewe—nalo ni kuishi bila kufikiri. Kuishi kama mzigo unaosukumwa na upepo wa mazoea. Kuamka, kula, kufanya kazi, kupumzika, kulala, kisha kurudia. Watu wengi wameingia katika mduara huu...
  15. REALITY

    Operation high jump,nikola tesla ,cern na nasa

    Nimefuta content ipo kwenye makala UFUNUO MKUBWA DUNIANI.
  16. D

    Aisee mchina kwa sasa hivi kwa magari hashikiki. BYD is everything that tesla promised and never delivered

    Hawa jamaa walifanya move nzuri kwa kumfanya Wolfang Egger kuwa automative designer wa BYD. Jamaa alikuwa anafanya kazi na Audi, Alfa Romeo, Lamborghini. BYD gari zao zina features ambazo zinastahili kuitwa smart cars. China iko kwenye elvel yake kwa sasa. hizi features angekuwa nazo Tesla...
  17. Deinstein 01

    Wajerumani waikataa Tesla gari za Bilionea Elon Musk

    Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kutokana na survey iliyofanyika huko ujerumami iliyohusisha wajerumani 100,000 94% ya wajerumani wamesema ya kuwa hawatatumia magari ya tesla. Sababu zinazofanya wajerumani kuikataa tesla ni zifuatazo; ⭐Elon Musk kuisapoti Alternative für...
  18. Yoda

    Trump ayafanyia kampeni ya masoko magari ya Tesla ya Elon baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa

    Baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa za magari ya kampuni ya Tesla inayomilikiwa kwa hisa nyingi na kuongozwa Elon Musk, Rais wa Marekani Trump ameingia mzigoni akitumia ofisi ya Ikulu ya US, White House kuifanya matangazo ya kibiashara na kushawishi watu kununua magari ya Tesla huku...
  19. Davidmmarista

    Ushirikiano wa Elon Musk na Donald Trump Wapelekea Kuporomoka kwa Mauzo ya Tesla

    Katika miezi ya hivi karibuni, kumekuwa na mjadala mkali kuhusu ushirikiano kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla, Elon Musk, na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump. Ushirikiano huu umeibua maswali mengi, hasa kutokana na athari zake kwenye mauzo ya magari ya umeme ya Tesla katika masoko...
  20. Mad Max

    Tesla wamezindua Update ya Model Y: Codenamed "Model Y Juniper"

    Juzi Tesla walizindua Model Y, ambayo ni update ya Model Y iliopita, wanaiita Model Y Juniper. Tesla walijitahidi sana kuweka hii siri, ila wananchi walishashtukia maana hakunaga siri haya maisha. Lengo kubwa la Tesla kuweka siri waliogopa itaaffect mauzo ya Model Y ilipo sokoni sahivi kwamba...
Back
Top Bottom