tendo la ndoa

  1. M

    Nachoka sana baada ya tendo la ndoa, nifanyeje?

    Wakuu naombeni ushauri wa kitaalam pengine Kuna changamoto ya ugomjwa inanisumbua bila Mimi kujua. Iko hivi: Mimi ni kijana wa miaka 36 na nina kitambi cha wastani flani tu. Nina mke na mtoto mmoja. Tatizo langu ni kuwa siku hizi huwa nachoka sana mara baada ya tendo na mgongo kuuma. Pia...
  2. muzi

    Sababu ambazo hufanya wanandoa kunyimana tendo la ndoa kwa makusudi, changamoto zake na madhara yake

    SABABU 10 AMBAZO HUFANYA WANANDOA KUNYIMANA TENDO LA NDOA KWA MAKUSUDI, CHANGAMOTO ZAKE NA MADHARA YAKE Katika maisha ya ndoa, tendo la ndoa sio tu suala la mwili bali pia ni daraja la ukaribu wa kihisia, kuaminiana, na kuimarisha upendo kati ya wanandoa. Pale ambapo mmoja wa wanandoa anaanza...
  3. Pdidy

    Wanaume wengi wanabembeleza sex kwenye ndoa why? Upendo umeisha ama?

    Yes. Their own houses. The same house where they pay the rent. The same house where they pay the children's school fees. The same house where they buy the food everyone eats. Yet at night, the husband is negotiating like a tenant. “Baby please, I have been asking since yesterday.” If a...
  4. Waufukweni

    Muda wa wastani wa tendo la ndoa Duniani: Ecuador yaongoza wanatumia dakika 24, Pakistan ya mwisho wanatumia sekunde 42

    Wakuu Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na muda mrefu zaidi wa wastani wa ngono, ambao ni dakika 24, ikifuatiwa na Cameroon (dakika 23.5) na...
  5. Pdidy

    Umuhimu wa kupeana tendo la ndoa

    Kisaikolojia, mwanaume ambaye hapati tendo la ndoa anaweza kuwa na changamoto kadhaa zinazohusiana na akili na hisia, ingawa kila mtu ni tofauti. Sababu kuu ni za kisaikolojia ni: 1. Shinikizo la akili na stress • Stress ya kazi, shule, au maisha ya kila siku inaweza kuathiri uwezo wa mwanaume...
  6. Dogoli kinyamkela

    Faida za tendo la ndoa kiafya Post hii inawahusu wanandoa tu

    Faida za tendo la ndoa kiafya Post hii inawahusu wanandoa tu.. Kufanya sex kunasaidia kuzuia saratani ya kizazi. Kufanya sex kunazuia kuziba kwa mirija. Kufanya sex kunapunguza mafuta mwilini. Kufanya sex kunapunguza calories. Kufanya sex kunapendezesha ngozi kwani mishindo 2 ni sawa na...
  7. Mafyangula

    Wanandoa, acheni mazoea kwenye Tendo la Ndoa

    Wanandoa, acheni mazoea kwenye tendo la ndoa. Peaneni kila utamu unaostahili. Kuna katabia fulani ambacho ni kibaya sana kwa wanandoa, na ndicho kinachoharibu pia mahusiano mazuri kwenye ndoa — kuleteana mazoea, tena kwenye mambo ambayo hayataki mazoea kabisa. Mfano, kwenye tendo la ndoa...
  8. Its Tesha

    Nimetimiza mwaka mmoja leo bila kushiriki tendo la ndoa kuna madhara kiafya?

    “Leo natimiza mwaka mzima bila kufanya tendo la ndoa 😅 afya bado iko stable, pressure ipo sawa, moyo unadunda vizuri 💪🏽 sijui huu ni ushindi au mateso wakuu?”
  9. kyagata

    Upige konyagi,ushushie na karanga za kukaanga kisha upande kwenye kiuno cha mtoto wa watu,unaweza kushtakiwa ICC kwa uhalifu wa kivita

    Wakuu Leo nilikua na off yangu,nikasema ngoja nishtue nyagi ndogo huku napiga taratibu na karanga za kukaanga. Nikaona upweke unanizidia, Nikachukua simu nikacheck mawindo yangu mawili matatu moja likatiki,oyaa toka saa 9 mchana niko kifuani mwa huyu mtoto wa kisambaa,nimemchakata vilivyo,hapa...
  10. VictoriaGreenHerbal

    Chanzo cha kupungua kwa heshima na furaha kwenye mahusiano yako

    Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linaloathiri wanaume wengi, mara nyingi bila wao kujua, hadi pale hali inapokuwa mbaya na kuanza kuathiri heshima na furaha ya ndoa. Kupitia dalili hizi, unaweza kutambua mapema ishara za tatizo hili na kuchukua hatua kabla halijawa sugu. Soma kwa makini hadi...
  11. Think2

    Hivi mnawezaje kukaa wiki, miezi hata mwaka bila kufanya tendo?

    Rasmi nimeshindwa kabisa kustaafu hizi mambo daah yaani mwili unataka kila siku nichakate . Naweza chakata hata mara tano afu sichoki wakuu hii ni kawaida kweli?? kukaa siku moja bila kuchakata ni mtihani Wakuu nyie mnawezaje kukaa wiki, mwezi bila kufanya tendo la ndoa??
  12. N

    Mke wangu anatokwa damu kila tukifanya tendo la ndoa

    habari zenu,,, naombeni ushauri wenu wataramu wa afya,, yapata mwezi sasa tangu nianze kuishi nae rasimi kama wana ndoa. amekua akitokwa na damu ukeni kila ninapo shiriki nae tendo la ndoa mwanzozi nilidhani itakuwa ameingia period pasipo kujua na nilipo muuliza alidai nayeye anawaza kama...
  13. Bi zandile

    Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kwa mwanamke huimarisha afya yake

    Mwanamke asiposhiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu anaweza kukumbana na mabadiliko ya kimwili kama vile ukavu wa uke, kupungua kwa uimara wa sakafu ya fupanyonga, na kupungua kwa ulainishaji asilia, na mabadiliko ya kihisia kama vile kuongezeka kwa mfadhaiko, hasira, wasiwasi, upweke, na...
  14. Bi zandile

    Kugusana gusana kwa wanandoa sio kwa tendo la ndoa pekee

    Baadhi ya wanandoa hutomasana pale tu wanapotaka kufanya tendo la ndoa. Huo sio upendo bali ni shughuli. Upendo wa kweli huambatana na kushikana shikana mikono bila sababu na hukumbatiana kwa sababu tu. Mguse mpenzi wako - bila sababu. Mdada, mkalie kwenye mapaja huyo mubaba wako mkiwa...
  15. ngara23

    Style ya kufanya tendo la ndoa ni Moja tu, hizo nyingine ni kujitafutia matatizo

    Kibaolojia, kiimani na kimaumbile, mwanaume na mwanamke wameumbwa kufanyiana tendo la ndoa kwa mtindo mmoja tu—mkao wa kawaida (kifo cha mende). Ndio mkao sahihi na salama kiafya, kitabia na kiimani. 1. Mkao Mwingine (Dog Style) Mkao huu umethibitika kuwa na madhara, hasa kwa wanawake...
  16. Bi zandile

    Usiharibu starehe ya tendo la ndoa kwa kuweka simu karibu na kitanda ikiwa on

    Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike. Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako. Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru. Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika...
  17. TheForgotten Genious

    Mnatoa ujasiri wapi wakujirekodi wakati mpo kwenye tendo la ndoa

    Kuna watu siwaelewi kama wana akili timamu,ulimbukeni ama ujuaji. Hivi unawezaje kujirekodi mkiwa katika tendo la ndoa na mwenzi wako?. Mnawezaje kupigana picha za utupu na kutumiana?. Nini faida yake?,na wengine utakuta ni wake za watu ama wa ume za watu wakifanya hivyo kupitia simu zao...
  18. Samia atosha tukutane2030

    Napasua jipu: Kama tendo la ndoa unapewa kwa kipimo (unapangiwa) mke wako anamchepuko

    Wana jf hawapendi kuambiwa ukweli, ukweli unauma. Kama tendo la ndoa mke wako anakupa kwa kukupangia siku,. Mara nimechoka, mara naumwa mara tantalila. Pole. Mke wako anachepuka, hana tena hisia na wewe. Anakuona zoba. Kama huutaki huu ukweli basi tuseme mke wako ana majini mahaba wanaomfanya...
  19. Binti wa zamani

    Nyie ambao hamtaki uchafu kwenye mapenzi, mnawaandaaje wapenzi wenu?

    Nimesikia kuna wanaume hawapigi deki huko chini 👅, hawataki kubadilishana mate 👄, wanawake hawasuuzi rungu 🍆, hawabugii magololi ya wanaume zao. Naomba kujua, kabla hamjaanza kuzagamuana, mnawaandaaje hao wenza wenu. Hasa wanaume, mnawafanyia nini wanawake walowe na wawe tayari kufanya tendo?
  20. ELI COHEN

    Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
Back
Top Bottom