temeke

Temeke District is a district in southern Dar es Salaam, Tanzania, with Kinondoni to the far north of the city, and Ilala in the downtown of Dar es Salaam. To the east is the Indian Ocean and to the south and west is the coastal region of Tanzania. The 2002 Tanzania National Census reported that the population of Temeke District was 768,451. The area is 786.5 km².

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huku kwetu Temeke maji ni 24/7, pia na umeme ni 24/7

    Nipo Temeke hapa Maeneo ya Tandika Makaburuni, dumu la maji ni 50 na umeme ni 24/7 Naomba serikali watoe magari yao waje huku wajaze maji na wawasambazie ndugu zetu wa huko pembezoni na mji. Hapa Temeke visima vipo vingi sana maji ni 24/7
  2. JamiiForums Tanzania Donations to Temeke hospital from Pakistan community

  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu awapongeza viongozi Halmashauri ya Temeke

    WAZIRI UMMY MWALIMU AWAPONGEZA VIONGOZI HALMASHAURI YA TEMEKE Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewapongeza viongozi wa Temeke, akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkurugenzi pamoja na watumishi kwa kazi kubwa na nzuri...
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegele aja na Temeke Gulio-Soko la Makangarawe limekamilika

    MKUU WA WILAYA WA TEMEKE MHE JOKATE MWEGELO AJA NA TEMEKE GULIO - SOKO LA MAKANGARAWE LAKAMILIKA Rasmi sasa Tarehe 19/11/2021 ndani ya Soko Letu La Makangarawe WanaTemeke tunaenda kuandika Historia kwa namna ambavyo wafanyabiashara wadogo wadogo walivyoitikia wito wa kuhama maeneo yote yasiyo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate akagua miundombinu ya masoko Wilayani Temeke

    DC JOKATE: AKAGUA MIUNDOMBINU YA MASOKO WILAYANI TEMEKE Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo amefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu katika maeneo ya masoko waliyohamishiwa wafanyabiashara Wadogo maarufu Machinga, leo Novemba 10,2021 huku akiambatana na baadhi ya viongozi na wakuu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Car4Sale Vitz nyingine hii hapa cc 990, kwa 4m. Temeke Dar

    Gari iko vizuri sana katika idara ya mafuta haina AC. Imepigwa polish tu kwa ajili ya kuing'arisha. Ipo Temeke, DSM Call me 0713096076
  7. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate: Mikopo kwa wamachinga

    DC JOKATE: MIKOPO KWA WAMACHINGA "Kuhusu Machinga tunashukuru tumeendelea kushirikiana vizuri na Viongozi wetu wakaeleza maeneo fulanifulani ambao walikuwa wanahitaji tuangalie kwa jicho la tatu, zoezi linaenda vizuri tumefufua masoko ambayo yalikufa" "Tumeielekeza Manispaa kwamba walioingia...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke kakague kisima cha maji DAWASA Charambe Mbagala

    Kwa miaka sasa wakazi wa Charambe Mbagala maji tunayopewa na Dawasa ni hatari kwa matumizi kwani yana kemikali. Maji haya yenye rangi ukifulia nguo nyeusi huacha rangi nyeupe kwenye nguo yakaukapo, na ukiyamwaga kwenye mchanga huchukua muda mrefu sana kukauka na yakikauka huacha rangi ya njano...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana walio Dar wilaya ya Temeke tukutane

    Habarini wapendwa nina wazo kwa wale vijana wenye nia ya kuthubutu na wenye mawazo au biashara au wamejiajiri tukutane na tuunde kikundi. Lengo la kikundi kwenda kupata Mkopo wa Halmashauri. Yawezekana kila mtu akawa na biashara yake au ya pamoja ila kama kila mwanakikundi atakuwa na biashara...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jokate: Wilaya ya Temeke yatengewa zaidi ya Tsh bilioni 4 za kutekeleza miradi ya maendeleo

    WILAYA YA TEMEKE YATENGEWA ZAIDI YA TSH BILIONI 4 KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO,SHUKRANI KWA RAIS SAMIA - DC TMK MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo kwa niaba ya Uongozi wa Wilaya ya Temeke ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania DC Jokate, ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO

    TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Temeke gulio kutoa fursa adhimu kwa wadogo (wamachinga) wilaya ya Temeke

    TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga kuweza...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu unaochochewa na tamaa kwa watumishi wa umma Manispaa ya Temeke

    Ni habari ya kusikitisha mpaka nyakati izi bado utekelezaji WA mambo mbali mbali KATIKA ngazi za serikali yanahusisha ujamaa na sio mifumo IMara. Habari iliyopo ni kwamba manispaa ya Temeke bado hawaoni umuhimu wa maagizo ya wanasiasa kwenye utendaji wao si Kwa uadilifu walio nao ivyo pengine...
  14. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate: Tushirikiane kuipamba Temeke

    "TUSHIRIKIANE KUIPAMBA TEMEKE" DC JOKATE. Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Urban Mwegelo leo Septemba 20,2021 amefanya kikao na viongozi wa machinga wilaya ya Temeke,watendaji wa mitaa, kata na kamati ya ulinzi na usalama kuangazia suala zima la uhamishwaji wa wafanyabiashara ndogo...
  15. JamiiForums Tanzania Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

    Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza. Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea. Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko/ Ufafanuzi na Ushauri kuhusu Ushuru wa Maegesho Ilala, Temeke na Kigamboni Jiji la Dar es Salaam

    Ascerics LTD ni Kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa katika zoezi zima la kukusanya Ushuru wa maegesho nchini Tanzania. Ili kuboresha huduma zetu za maegesho (Parking services ) kwa system mpya ya E-parking katika Jiji la Dar-es-Salaam. Kanda no 2 ambao tunasimamia Ilala, Temeke, na...
  17. JamiiForums Tanzania Temeke: DC Jokate Mwegelo aagiza kuwekwa chini ya ulinzi, Viongozi wa Chuo cha Lubondo Training College

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni...
  18. JamiiForums Tanzania Temeke, Dar: Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti mtoto wa kiume mwenye miaka tisa

    Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh500,000. Kati ya Mei 3, 2020 maeneo...
  19. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Mafao yameingia kwenye account ya mahakama ya wilaya Temeke, tumezungushwa mpaka tumechoka

    Habari ndugu, Tulikuwa na ndugu yetu alistaafu mwaka 2019 alikua nurse Muhimbili Hospital. Baada kustaafu alifuatilia mafao yake hakufanikiwa kupata. Baadae akaugua akafa 2020, baada ya kufa tunafungua na tukafanikiwa kuingiziwa mafao kwenye hiyo account ya mahakama. Cha kusikitisha ni kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…