temeke

Temeke District is a district in southern Dar es Salaam, Tanzania, with Kinondoni to the far north of the city, and Ilala in the downtown of Dar es Salaam. To the east is the Indian Ocean and to the south and west is the coastal region of Tanzania. The 2002 Tanzania National Census reported that the population of Temeke District was 768,451. The area is 786.5 km².

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtinika achukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kuwania ubunge Temeke

    Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, Abdallah Mtinika amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Temeke. Mtinika amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Temeke, Sayi Samba.
  2. JamiiForums Tanzania House For Sale at Temeke Chang'ombe near national stadium

    House For Sale. Location: Temeke Chang'ombe. -100 meters from National Stadium. - Corner House. Features: -3 Bedrooms(1 Master Bedroom). -1 Kitchen. -1 Public Toilet. -3 Medium Size Warehouse(Stoo). -Large Parking. -Borehole(Kisima). Size: SQM 375. Starting Price: Tzs 450 Million which is...
  3. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Temeke Chang'ombe

    House For Sale. Location: Temeke Chang'ombe. -100 meters from National Stadium. - Corner House. Features: -3 Bedrooms(1 Master Bedroom). -1 Kitchen. -1 Public Toilet. -3 Medium Size Warehouse(Stoo). -Large Parking. -Borehole(Kisima). Size: SQM 375. Starting Price: Tzs 450 Million which is...
  4. R

    JamiiForums Tanzania One Stop Judicial Center Temeke - High Court of Tanzania

    Jamani elimu haina mwisho. Hiki kituo One Stop Judicial Centre Temeke - High Court of tanzania genesis yake ni ipi na kwanini kinaitwa One stop centre .......
  5. JamiiForums Tanzania House For Sale at Temeke Chang'ombe

    House For Sale. Location: Temeke Chang'ombe. -100 meters from National Stadium. - Corner House. Features: -3 Bedrooms(1 Master Bedroom). -1 Kitchen. -1 Public Toilet. -3 Medium Size Warehouse(Stoo). -Large Parking. -Borehole(Kisima). Size: SQM 375. Starting Price: Tzs 450 Million which is...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daladala za Kigamboni – Temeke zinakera Wateja kwa huduma mbovu, LATRA tusaidieni

    Naomba ujumbe huu ufike kwa Mamlaka husika ya LATRA, Daladala za Kigamboni Wilayani na Temeke hazifiki Wilayani, zinaishia Kigamboni Mwisho. Pili, nauli ya kutoka Kigamboni Mwisho hadi Temeke, mlangoni pameandikwa Sh 600 lakini wao wanatoza Sh 700. Tatu, wakishachukua hela, hawatoi tiketi...
  7. JamiiForums Tanzania Eneo lenye Nyumba ya zamani linauzwa Temeke

    Eneo lenye Nyumba ya zamani linauzwa. Mahali: Temeke karibu na shule ya Yemen, Mtaa wa Mganda. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Chang'ombe. Ukubwa wa Eneo: SQM 548. Bei: Tzs Milioni 400. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Wa Temeke akiwasilisha Utekelezaji wa Ilani Kata ya Keko

    Mhe Dolothy Kilave katika utekelezaji wa majukumu yake Jimboni
  9. M

    JamiiForums Tanzania kwa nini Story za Popo Bawa kaonekana Temeke na Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni siku hizi hatuzisikii ? je popo bawa amefariki ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara...
  10. JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020 , watu wanataka kujua maendeleo yake ya Afya maana kuna ile karma ya Akwilina je imemrudia?

    Huyu Jamaa anaitwa Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020. Mwaka 2017 alijiuzulu ubunge na akahamia Ccm . Wakati wa uchaguzi mdogo chadema walinyimwa viapo kwa mawakala wake. Na ndipo waliandamana na mwisho kikatokea kifo cha Akwilina. Naomba kujua ile dua na karma imeshamfikia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanachuo Kutoka Temeke Dar, Pale Makerere University ametutia aibu kwa Maswali ya kitoto aliyomuuliza Mh Tundu Lissu. Hajatuwalilisha vyema.

    Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema. Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija. Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson...
  12. JamiiForums Tanzania KERO TRA Temeke ni changamoto sana kwenye ufanyaji wao wa kazi

    Wakuu nimekuja kwenu, ofisi za TRA Temeke zina fikirisha sanaa katika uwajibikaji wao Nili-register TRA TIN Number mwaka 2020 branch ya Mbagala sasa nataka nihamishe ile TIN number location isome Ilala hapo ndo kimbembe aisee Hawa jamaa nimefanya process zotee online barua nimeandika na...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali inashindwaje kuongeza EMS zake? Temeke kuna ipi, Ilala ipo ipi? Kwanini zinejaa mjini?

    Wizara ya elimu ina maprofesa wapuuz mno. Inaamini maskini wa Tabata, Buza, Goba, mbezi hawawez kupeleka watoto shule za laki 5? Mkenda na wezako wa TAMISEMI mnashida ipi? Mkiigeuza Jica primary mnashindwa nini? Acheni hizo. Hii nchi ni as if tuanza kiushi nyumba ya kupanga.
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane (8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka/takatope vyenye thamani ya Bilioni 16 katika jiji la Dar Es Salaam ambavyo itasaidia kupunguza gharama za kuzoa majitaka kutokana na ufinyu wa maeneo ya kuyahifadhi...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM - Temeke yawakumbuka wenye uhitaji kuadhimisha miaka 48 ya CCM

    Umoja wa vijana chama cha mapinduzi wilaya ya Temeke umesema utaendelea kuishi kwa vitendo malengo ya kuasisiwa kwa Chama Chama Mapinduzi CCM kwa kuwajali watu wote kwani Chama hicho ndio kimbilio la wanyonge Wakizungumza wakati wa Matembezi maalumu yaliyokwenda sambamba na kutoa msaada wa vitu...
  17. JamiiForums Tanzania Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

    Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke (mtoni kwa Aziz Ally) nilishuhudia mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa inawauma) akawapa 500 wote wawili wakanunue bagia na askrimu (ice cream) na ndio imetoka hiyo mpaka...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga maeneo ya Temeke, Tandika hadi Mbagala

    Natafuta chumba master sebule na jiko maeneo ya mbagala, tandika au temeke
  19. JamiiForums Tanzania DAR: Zaidi ya watu 200 Temeke wadhurika ngozi wakidaiwa kula chakula chenye mafuta yenye sumu

    Zaidi ya wakazi 200 wa Mtaa wa Yombo Dovya, wilayani Temeke wameathirika kwa kubabuka ngozi katika maeneo mbalimbali mwilini baada ya kudaiwa kutumia mafuta ya kula yenye sumu. Mafuta hayo inasemekana yamenunuliwa katika duka la mfanyabiashara anayefahamika kwa jina la Kamau maarufu kama Mangi.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Udogo wa daraja la mto mzinga ambalo ni kiunganishi muhimu kwa wilaya ya temeke na mkuranga, vipi mamlaka zetu hazioni?

    Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga. Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo. Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu. Ni ombi langu hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…