teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia

    Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia Na Alpha Isaya Nuhu Kwa TANZANIA TUITAKAYO miaka 5 au 25 ijayo, hakuna mjadala kwamba nyanja ya sayansi na teknolojia ndiyo itakuwa mhimili utakaotawala maendeleo na maisha ya Watanzania tunaposhuhudia kasi kubwa ya...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Uboreshaji wa Huduma za Posta ili Kuwezesha Biashara Mtandao (Electronic Commerce) Kuendana na Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia

    A: Utangulizi: Tanzania imefanikiwa kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (Pan African Postal Union - PAPU) jijini Arusha, ambapo hatua hii inategemewa kuchagiza maendeleo ya huduma za posta nchini na barani Afrika kwa ujumla. Katika maendeleo ya sayansi na...
  3. JamiiForums Tanzania Tunahitaji Investor(s) wa kuwekeza Dollar($) 1 Million kwenye kampuni ya teknolojia (Fintech)

    How do I futa this?
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya vitambuzi mwendo kutatua changamoto za uvamizi wa Wanyamapori katika makazi pembezoni mwa Hifadhi za Taifa

    Tanzania imebarikiwa kwa kuwa na hifadhi nyingi za taifa, hifadhi hizi zikiwa chini ya mgawanyiko wa: Hifadhi za taifa, hifadhi teule,hifadhi za mawindo na mapori ya akiba. Ramani ya hifadhi za Taifa Tanzania Picha toka mtandaoni Wikipedia Mfano wa hifadhi hizi ni Serengeti, Mikumi, Saadani...
  5. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uwekezaji wa viwanda vya uzalishaji na utengenezaji simu ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania

    Utangulizi Zipo teknolojia nyingi sana ambazo ni kama zimetupita barani Afrika hususan nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Taifa la Tanzania. Katika teknolojia hizi zilizotupita kidogo, ipo teknolojia ya kifaa cha ajabu ambayo hatupaswi tuendelee kuiacha itupite, na kifaa hiki si...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya teknolojia za kisasa kwenye kilimo kuanza Aprili 30 Dodoma

    MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA 30 APRIL, 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani teknolojia imeathiri biashara ya maduka ya viandikia (Stationery)

    Muda mrefu duniani imekuwa ikipita mabadiliko makubwa ya teknolojia kutoka mapinduzi ya mwanzo ya viwanda mpaka sasa kuelekea mapinduzi mapya ya viwanda ambayo yanaelekea kuja na taswira mpya na aina mpya ya uwekezaji hususani kwa sasa teknolojia inayozungumzwa ni teknolojia ya akili bandia (...
  8. JamiiForums Tanzania Teknolojia za Kisasa Zilizotumiwa Kujenga Burj Khalifa ndani ya Mzunguko wa Siku Tatu

    Burj Khalifa, mnara mrefu zaidi duniani, unajulikana kwa urefu wake wa mita 828 na idadi ya sakafu 163. Kwa kuwa ni mnara wa maendeleo mchanganyiko, unajumuisha makazi, hoteli, biashara, ofisi, burudani, maduka, na vituo vya starehe. The Burj Khalifa Tower ilifunguliwa kwa umma mnamo Januari...
  9. JamiiForums Tanzania Aprili 25: Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano huadhimishwa kila Alhamisi ya nne ya mwezi Aprili kwa lengo la kusisitiza umuhimu wa Wasichana katika ICT Pia, siku hii hutumika katika kuhamasisha Wasichana na Wanawake wadogo kuchagua masomo ya Sayansi, Teknolojia...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka siku moja niwekeze katika teknolojia

    Habari zenu wadau, mimi ni kijana, natamani siku moja niwekeze katika teknolojia, kwa muda kidogo nimekuwa nikijifunza programu kwa kujipambania mwenyewe. Nimejifunza kwenye simu kidogo kidogo, na hii ndiyo kazi ya kwanza ambayo nimefanikiwa kutengeneza katika simu yangu. Ni app...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Asilimia 80 ya huduma za serikali zinapatikana kidijitali. Tunakusudia teknolojia kuwa msingi wa mageuzi ya Kenya

    Rais wa Kenya William Ruto amesema kwamba utawala wake umekamilisha asilimia 80 ya kuweka huduma za serikali kidijitali. Akizungumza leo Jumatatu, Ruto amesema kuwa ana furaha sana na maendeleo ambayo utawala wake umefanya hadi sasa. Amesema hayo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Connected...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Teknolojia inaonyesha wazi hakuna offside, Tukubali yaishe Yanga wamepata ushindi kihalali

    Ni goli la wazi kabisa hakuna offside
  13. JamiiForums Tanzania Teknolojia( Nature of offshore geotechnical engineering) ya uchimbaji mafuta na gesi unavotumika baharini.

    Nature of offshore geotechnical engineering ni utaalamu unaohusiana na uchunguzi na uhandisi wa vifaa vya ardhi chini ya bahari. Maana yake, inazingatia sifa za ardhi, tabia za udongo, mchanga, na miamba chini ya bahari, pamoja na mazingira ya bahari kama mawimbi, mkondo, na athari za mchanga...
  14. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Teknolojia: Faida na Hasara zake katika maisha yetu

    Habari zenu wadau wa Jamii forums, Leo nimekuja na suala dogo tu kuhusiana na teknolojia faida zake na hasara katika maisha yetu ya kila siku. Teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika maisha yetu. Imebadilisha jinsi tunavyowasiliana, tunavyofanya kazi, na tunavyofurahia burudani. Kuna faida...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini graphite inaweza kulinganishwa na dhahabu katika muktadha wa "vita vya teknolojia"?

    Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee. Graphite mfumo wake: Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite: Muundo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Badilisha screen yako ya kawaida kuwa smart screen bila ya remote!

    Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na kasi kubwa sana katika miongo ya hivi karibuni. Moja ya mabadiliko makubwa ni kuingia kwa smart screens, ambazo zimefanywa kuwa na uwezo wa kuunganisha na vifaa mbalimbali vya kidijitali na kutoa uzoefu bora wa matumizi. Hata hivyo, kununua smart screen...
  17. JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Teknolojia sasa, Baada ya Miaka 100 Israel Imefanikiwa kuunda hii kitu.

    Kwa zaidi ya miongo miwili iliyopita wanasayansi na wahandisi wa Israeli walibuni na sasa mfumo huo wa mihale (wave) wa kukatiza makombora ya balistiki. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Teknolojia ya vita, leo mfumo huo umefanikiwa kwa asilimia 100% kuyapereka makumi ya makombora ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni imebuni namna ya kutumia teknolojia ya AI kama njia ya “kufufua” wafu na kuwaunganisha na wapendwa wao walio hai

    Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake. Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda...
  19. JamiiForums Tanzania Lini Tanzania itaanza kutumia hii teknolojia ya kuzuia ajali?

    Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo. Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail). Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda: Mitaala ya mipya ya Elimu imeanza Shule ya Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari juu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na Mitaala mipya ya Elimu ya awali msingi sekondari na Ualimu. Prof...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…