teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapinduzi ya Teknolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) katika kilimo nchini Tanzania

    UTANGULIZI Kuelekea Tanzania tuitakayo, Sekta ya Kilimo nchini Tanzania ni fursa kubwa ya kukuza Uchumi wa nchi, kupunguza umasikini kwa kuboresha maisha ya watu. Sekta hii inachangia kwa 23% katika pato la Taifa, na ndiyo sekta iliyoajiri watanzania wengi takribani 65.5% ukilinganisha na sekta...
  2. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa uanzishwaji wa Vituo vya Ubunifu wa Teknolojia Vijijini

    Utangulizi VUTV ni mpango unaolenga kubadilisha mbinu nan njia tunazotumia Tanzania kufanya shughuli zetu hasa kwa maeneo ya vijijini ambapo ndipo uzalishaji wa bidhaa kama mazao na malighafi zengine unafanyika kwa kiasi kikubwa. Lakini pia maeneo ya vijijini kwa kiasi kikubwa ndipo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza katika kilimo cha matumizi ya teknolojia kunaweza kuwa kichocheo cha maendeleo makubwa ya kilimo Tanzania

    UTANGULIZI Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi mkubwa wa hali ya hewa. Hata hivyo, matumizi ya Teknolojia za Kilimo yanaweza kubadilisha hali hii na...
  4. JamiiForums Tanzania HII NDIYO ROBOTI: Ilichukua Jukumu Muhimu Kutambua Mabaki ya Rais Raisi.

    Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran Raisi. Ni operesheni ya utafutaji na uokoaji ilitangazwa moja kwa moja 'LIVE COVERAGE' kupitia...
  5. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya teknolojia katika elimu

    Dunia ya sasa ipo katika MAPINDUZI makubwa sana ya Teknolojia na hii imepelekea karibia KILA kitu SASA kinafanywa KWA Teknolojia kubwa bila kujarisha ni sekta gani. Nina tarajia na kuzishauri mamlaka zinazohusiana na ELIMU kujikita katika matumizi ya Teknolojia kama njenzo muhimu katika kutoa...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Mustakabali wa Teknolojia na suluhisho la ukosefu wa ajira na kukuza uchumi wa Tanzania

    Teknolojia nini? Teknolojia ni hatua ya mabadiliko kutoka katika matumizi magumu ya kazi kuja katika njia rahisi ya utendaji kazi kwa urahisi na haraka. Au Teknolojia ni sayansi ya hali ya juu ya ubunifu wa vitu na kubadilisha vitu vilivyokuwa na mifumo wa njia nyingi za uchakataji wa jambo...
  7. JamiiForums Tanzania Google wanaongeza teknolojia za kuwakwaza wezi wa simu kwenye Android

    Google wametangaza maboresho ya kupunguza wizi na kulinda data pale simu inapoibiwa. Baadhi zitakuja na Android 15 na baadhi zitakuja kwenye Android kuanzia 10 kwa kupitia update ya Play. Android’s theft protection features keep your device and data safe Theft Detection Lock Simu itatumia AI...
  8. JamiiForums Tanzania Teknolojia na Maisha: Je, tunakwenda wapi?

    Habari Jamii! Nimekuwa nikifikiria sana jinsi teknolojia inavyobadilisha jinsi tunavyoishi na kufanya kazi leo. Kutoka kwa simu zetu za mkononi hadi kwa matumizi ya AI, teknolojia inaingilia kati kila sehemu ya maisha yetu. Nataka kuanzisha mjadala kuhusu athari za mabadiliko haya. Je...
  9. JamiiForums Tanzania Ifahamu Rebar Coupler: Teknolojia mpya ya kuunganisha nondo ukiwa site ili kupunguza matumizi ya nondo

    Rebar coupler, ni aina mpya ya uunganishaji wa nondo za nguzo (column) au nondo za beam au za retaining walls wakati wa zoezi la ufungaji wa chuma (usukaji wa nondo). Aina hii hutumiwa zaidi na wachina katika shughuli ya ujenzi. Mfano katika ujenzi wa bwawa umeme la mwalimu Nyerere (JNN)...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali kukuza teknolojia kwenye nyanja zote

    1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Mapambano dhidi ya taarifa chonganishi "Misinformation" zinazotokana na programu za akili bandia “generative artificiai intellegence (Gen AI)"

    Tusipo jiandaa mapema, Watanzania wanaweza wakatumbukia kwenye dimbwi kubwa la migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa matukio yenye uhusiano na magonjwa ya akili. Hii ni kutokana na madhara yatakayosababishwa na program za Akili Bandia zenye uwezo wa kutengeneza...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali kukuza teknolojia kwenye nyanja zote

    1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
  13. X

    JamiiForums Tanzania China yaongoza duniani katika teknolojia (critical technologies)

    Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani na nchi za Magharibi umezidiwa na China kwenye technology breakthrough (methods, systems, and...
  14. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Intaneti yenye Kasi ya 6G yaingia nchini

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema huduma ya Intaneti yenye kasi ya 6G imeingia rasmi nchini Tanzania
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Utajiri Uliojificha Kwenye Koti La Kimaskini, Ni Mda Muafaka Sasa Wa Kulifufua. Iundwe Wizara Mpya Ya Sayansi ,Technologia na Uvumbuzi

    TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA. Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya kufikia maendeleo endelevu ya Tanzania Tuitakayo, hapa tunaongelea kuchochea uchumi wa masoko wenye...
  16. G

    JamiiForums Tanzania JF imenitoa ushamba, miaka mitano natumia external kucopy mafaili speed niliyozoea MB 16 kwa sekunde kumbe natumia teknolojia za zamani

    Nilipitia uzi flani humu unaitwa "Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea" Ndipo nikagundua na mimi nimefanywa dampo la wafanyabiashara kujipigia pesa kwa kuuza vitu vilivyopitwa na...
  17. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uwekezaji katika nyumba janja za wageni

    Utangulizi Nchini Tanzania, tumekuwa na nyumba nyingi sana za kupokea wageni; nyumba za kitalii, nyumba za kawaida na hata nyumba za asili kwa ajili ya kuwapa huduma mbalimbali wageni wetu mara tu wawasilipo nchini. Nyumba hizi za wageni zimekuwa zikijengwa zaidi katika Majiji ya Dar es Salaam...
  18. JamiiForums Tanzania Wakemia wa sabuni wamepitwa na teknolojia?

    Habari zenu wana jamvi, Kila mmoja wenu anajua kuwa unapoosha kichwa ama uso kwa sabuni, mapovu, huwasha machoni, je kwa zama hizi bado tuna ubunifu 'dhaifu' kiasi hicho? Juzi juzi nimeugua macho, ule ugonjwa uliovuma sana, na kwa kuwa kipindi cha virusi vya korona tuliambiwa kuwa virus...
  19. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Matumizi ya Sayansi na Teknolojia Katika Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Utangulizi: Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
  20. JamiiForums Tanzania Wachina japo kuwa na teknolojia kubwa na elimu ila mapenzi yao yapo kwa wazungu kwenye bidhaa zao zote

    China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa nyingi na teknolojia nyingi ila cha kushangaza kuwa na vyote ila ni wapenzi wa bidhaa za wazungu kuliko zao mfano vifaa vya Apple,kompyuta za makampuni ya kigeni ulaya na usa,vinywaji mfano henesi,heniken na n.k. swala la elimu wanapenda kusoma vyuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…