teknoloji

Escort is a Turkish computer manufacturer and Consumer electronics retail chain.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ๐—›๐˜‚๐˜†๐˜‚ ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ‘ค

    Teknolojia ya Tanzania inazidi kupiga hatua! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘ Anaitwa Emmanuel Mpyambala, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), amebuni mfumo unaoitwa VexGuard Anti-Theft System, unaolenga kusaidia kufuatilia simu zilizopotea au kuibwa. ๐Ÿ“ Mfumo huu umetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia kutambua eneo...
  2. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐—ฌ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐Ÿญ ๐Ÿ˜€

    Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! ๐Ÿ”ฅ Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ ๐Ÿ“ฑ Kwa nini MP02 ni ghali? ๐Ÿค‘ Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 โ€” takribani TSh milioni...
  3. JamiiForums Tanzania ๐— ๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—›๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ!๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฑ

    Google inaandaa maboresho makubwa kwenye Pixel HiLight ๐Ÿ’ก. Pixel HiLight ni mfumo wa taa ndogo za LED zilizowekwa karibu na sehemu ya kamera ya nyuma. Simu ikiwa imegeuzwa chini juu (face down), taa inaweza kuwaka kukupa taarifa bila kulazimika kuangalia skrini. Google imeleta HiLight kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Usinunue simu used kabla ya kuangalia haya!

    Kabla ujaamua kununua simu Used tafadhari Kuna mambo Muhimu ya kuzingatia ili kuwa Salama kwa mwaka huu 2026. Simu inaweza kuwa imependeza, haina scratch na bei yake ni tamuโ€ฆ lakini ukikosea vitu hivi 3, unaweza kujikuta umenunua tatizo badala ya simu! ๐Ÿ’€ ๐Ÿ‘€ 1. IMEI & LOCK Hakikisha IMEI...
  5. JamiiForums Tanzania Google inakuja na update kali upande wa message

    Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages ๐Ÿ˜๐Ÿ“ฑ โ€” na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika! ๐Ÿ” Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja โœจ Gemini...
  6. JamiiForums Tanzania Jihadhari kununua hizi Samsung kwa mwaka huu 2026

    ๐Ÿ”ฅ Kabla hujaamua kwenda kununua simu za Samsung used, save hii post na tuma kwa mtu anayepanga kununua simu! Sio kila Samsung yenye jina la Galaxy bado ni simu nzuri ๐Ÿ˜ณ. Baadhi ya simu za zamani zimefika mwisho wa updates na security support. โŒ Galaxy S22 Series kilichobakia ni security...
  7. JamiiForums Tanzania ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ซ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ผ๐˜€๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐Ÿซก

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? ๐Ÿค” Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa โ€œUnder the Hoodโ€ ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
  8. JamiiForums Tanzania Google imetoa update Muhimu kwa Watumiaji wa Gmail

    Google imetoa update mpya upande wa Gmail Ina msaada mkubwa sana kwa watumiaji wa Gmail๐Ÿ‘‹. Kuanzia sasa Ukipokea verification code kwenye Gmail, huhitaji tena kufungua email na kuanza ku-select namba moja moja. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ Gmail sasa inaonyesha โ€œCopy codeโ€ โ€” bonyeza tu, code ina-copy moja kwa moja ๐Ÿ“‹โšก...
  9. JamiiForums Tanzania Google Play Store yapata kipengele kipya!

    Mpaka sasa ukitaka kupakua app kwenye Play Store, chaguo kuu lilikuwa Cancel na Ukicancel, download inaanza upya kutoka mwanzo. Google inaanza kujaribu Pause & Resume kwenye downloads za Play Store! ๐Ÿ‘€ Sasa utaweza kusimamisha download ya app na kuendelea baadaye pale ilipoishia, badala ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Kadi ya Mwendokasi haipo kwenye Google Wallet?

    Inawezekana unatamani sana kutumia simu yako ku scan kwenye mashine mbalimbali za ku scan Kadi ili kupunguza kutembea tembea na Kadi kwenye wallet yako sio ๐Ÿ‘‹. Kadi yako inaweza kuwa na mfumo wa NFC na Simu yako Ina support lakini bado huwezi kuhamisha kadi ya Mwendokasi kwenda Google Wallet...
  11. JamiiForums Tanzania Google photos imepata feature ambayo watu wa iPhone wanayo kitambo

    Mwanzoni Google Photos ilikuwa inaunda stacks yenyewe yaani picha zinazofanana, kama picha 10 ulizopiga wakati mmoja, zinaweza kuunganishwa na kuonekana kama kundi moja. Sasa Google Photos kwenye Android imeleta uwezo wa kuweka picha unazochagua mwenyewe kwenye โ€œPhoto Stackโ€ moja. Badala ya...
  12. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ง๐˜ƒ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ช๐—ถ๐—ณ๐—ถ

    Sio lazima Tena kutumia wifi moja kuweza kuunganisha simu na YouTube yako ๐Ÿ‘‹. YouTube imetambulisha kipengele kipya kinaitwa Companion View Device inachofanya simu yako kuwa kama Second skrini ikiwa unaangalia YouTube kupitia Smart Tv. Ukiangalia YouTube kwenye Smart TV, Companion View...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe Mfumo wa app lock muanzilishi ni Infinix sio Samsung

    Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ?? Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...
  14. JamiiForums Tanzania Google imeachia update ya Android 17 QPR Beta 1 kwa watu wa Pixel

    Google imeanza kusambaza Android 17 QPR1 Beta 9 kwa watumiaji wa Pixel, ikiwa imejikita zaidi kwenye kuboresha stability, performance na kurekebisha bugs. ๐Ÿ“ฑโšก Google iliitoa update hii Toka 17 Agosti 2026, ikiwa na build CP31.260623.012. Je ๐Ÿš€ Nini kipya kwenye Beta 9 ? ๐Ÿ”„ Fix ya reboot loop...
  15. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ก๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—น๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜€๐˜„๐—ฎ

    Wanasema pesa ngumu ๐Ÿ˜ƒ hakuna Kuonga Aiseeh!!! YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. ๐Ÿ“ˆ Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views...
  16. JamiiForums Tanzania TikTok imeweka mfumo wa voice call kama WhatsApp

    TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp ๐Ÿ‘‹, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ“ž Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Na hii ni hatua nyingine ya TikTok...
  17. JamiiForums Tanzania Update mpya ya WhatsApp kiboko aiseeh, umejaribu lakini?

    Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni. ๐Ÿ“ข Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji...
  18. JamiiForums Tanzania Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayo

    Tayari Mfumo mpya wa Android 17 umeshaachiwa Toka Juzi Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayokwenye baadhi ya vifaa vya Android kama vile Google Pixel na baadhi ya simu ila sio zote. Mfumo huo umekuja ukiwa na maboresho kadhaa kuanzia upande wa Muonekano (Themes &...
  19. JamiiForums Tanzania ๐— ๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐˜ƒ๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐˜๐˜‚ ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ผ ๐Ÿ˜‰

    kampuni ya Meta inakaribiwa na mashtaka juu ya kutengeneza Miwani yenye kuondoa nguo zako zote na kubaki mtupu. Miwani ya Meta Ray ban glasses ๐Ÿ•ถ๏ธ ambayo Ina Teknolojia ya Ai imekumbwa na kashfa kubwa imekua ikirekodi mambo mengi ya Siri kwa kuwaondoa watu nguo zao na kubaki uchi (naked)...
  20. JamiiForums Tanzania ๐—ฉ๐—œ๐—ฉ๐—ข ๐—ซ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐˜‚๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐—บ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ

    Kama Kuna simu ambayo kampuni ya Samsung bado inawanyima usingizi kwa mwaka 2026 basi Vivo X300 Ultra Toka China. Kampuni ya vivo imeachia simu Bora nzuri kwenye kila Eneo kwa mwaka 2026, ambayo ni VIVO X300 Ultra, kuanzia upande wa Kamera ni nzuri mno Yani nzuri Balaa inatoa picha Kali Sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ