technology

  1. JamiiForums Tanzania Kutokana na maendeleo ya Technology ni muda muafaka wa makanisa kuendana na wakati

    Habari za muda huu wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kumekua na utaratibu wetu wa kufuata taratibu na kalenda ya kanisa inavyotaka, ni kitu kizuri sana, lakini naona kuna haja ya kuendana na mabadilko ya technology ilikua kuokoa muda Mfano 1)...
  2. JamiiForums Tanzania How My BSc in Physics Solves Real-World Problems in Education, Technology, Industry, and Medicine

    deleted
  3. K

    JamiiForums Tanzania Diploma in operation theatre technology naomba kujua nkitaka kusoma kwa tanzania naenda chuo gani

    Diploma in operation theatre technology naomba kujua nkitaka kusoma kwa tanzania naenda chuo gani
  4. JamiiForums Tanzania Ubora na utendaji wa hii upoje?

    Habari wanajukwaa Nahitaji kununua laptop kwaajili ya mambo yafuatayo Kufanya basic coding kwa kutumia HTML,PHP,Javascript,C# Kutumia application za Adobe kama Lightroom,InDesign, na Photoshop Kutumia App za Microsoft kama MS Excel,Word; na Libre Office HP Elitebook 840 G6 (Refurb) nimeona ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu aliyemaliza Diploma ya Uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science?

    Hello Naomba kuuliza mtu aliyemaliza diploma ya uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science au IT Asanten.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa pesa za refund Mbeya University of Science and Technology (MUST)

    Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na tuition fees hii haikupelekea hiyo hela iliyozidi kutokana na uongezewaji wa Ada kipindi ambacho Sisi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Austin ict technology

    We are providing best ICT services
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi DIT hatujasajiliwa wiki ya 7 sasa tokea chuo kifunguliwe kwa kisingizio cha ubovu wa mfumo

    Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una changamoto, na tunapojaribu kufuatilia pengine ikibidi kwenda kwa watu wa system hawaji hata ofisini...
  9. JamiiForums Tanzania Wadau tuambiane hapa simu gani nzuri inauzwa kwa bei ndogo

    Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi ya mtandao,kamera,memory,housing nk.?
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel

    Wahindi wengi wanaikubali Sana Israel. Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel. Wanaikubali Sana Israel. Kumbuka India ina watu 1.4 billion na Israel 10 million lakini wako obsessed Sana na Israel. Cha ajabu tena wahindi wengi sio wakristo. Wengi ni Hinduism.
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  12. JamiiForums Tanzania 14 Job Vacancies at Mbeya University of Science and Technology (MUST)

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) is seeking qualified candidates for various academic positions. Below are the available job postings: Post: Assistant Lecturer – Health Informatics – 1 Post Employer: Mbeya University of Science and Technology (MUST) More Details Application...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Iran contribution to world technology development

    Watu wengi wanauliza mchango wa kobaz wakijumlisha watu wa mashariki ya kati katika mchango wa teknolojia duniani. Nawaletea makala kuhusu mchango wa Iran katika maendeleo ya teknolojia duniani. Baada ya Iran zitafuata nchi zingine za mashariki ya kati. stormryder ward41 Bams dudus and 100...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wajuzi nielimishe: Kuna tofauti gani kati ya Youtube na TikTok katika technology wanazozitumia, nani alimuigilizia mwenzake

    Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti! Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
  15. JamiiForums Tanzania Ordinary Diploma in Laboratory Science and Technology

    Habari wakuu naomba msaada mwenye ufahamu na kozi ya laboratory science and technology kwenye upande wa fursa baada ya kuhitimu, pia ningependa kujua changamoto zake baada ya kuhitimu
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili?

    Hivi Kuna tofauti kati bachelor of science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa technology

    Habari, Naitaji mtaalamu anayejua kutengeneza website na aka unda mfumo wa hosting reseller..... Nitext WhatsApp 0678650509
  18. JamiiForums Tanzania DIPLOMA IN SEED TECHNOLOGY

    mdogo wangu kachaguliwa SUA diploma in seed technology baada ya kumaliza form four na kupata two akaomba akapata hiyo anaeijua kiundani Kwa WiGo mpana naomba msaada? na Inatofauti ipi na crop science?
  19. JamiiForums Tanzania Hii technology ya Israel ya kulipua kwa Simu na laptop wangekuwa nayo hawa watekaji na Wauaji hali ingekuwa mbaya sana .

    Haya mapinduzi ya kiteknolojia ya Israel ni ya hali ya juu sana na hayapaswi kufurahiwa sana Yasifike tu huku Africa hasa Tanzania katika hali hii ya utekaji ,vingekuwa vinasingiziwa tu vifaa
  20. JamiiForums Tanzania Information Technology [TEHAMA]ni Taaluma Pana

    Kuwepo Kwa jambo kubwa ambalo ni zuri , ambalo unalimiliki wewe unakuwa na furaha sana na ikiwa jambo hilo anamiliki mtu mwingine basi wewe muda mwingine unakuwa na mawazo labda yule mwenye nalo anajiskia furaha sana, ningekuwa Mimi ningekuwa na furaha pia. Lakini kuwa nalo jambo hilo au kuwepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…