Habari zenu JF
Nimekuwa nikipitia uzi mbalimbali huku JF, pamoja na majarida mengine mbalimbali mitandaoni, na kugundua kuwa kuna utofauti mkubwa sana kati ya developers au tech companies inapofika kipindi cha kuthaminisha kazi inayoletwa na mteja. Hi ni moja ya sababu inayochangia kutokukua...