Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 664
Habarini wana tech JF, katika pita pita zangu za kuwatch movie na nini, nikakutana na movie(sikuweza kulijua jina lake) inahusisha maswala ya pre crime technology ambayo kwa humo ndani police wanatumia science fulan kuzuia crimes kabla hazijatokea ni kama kuna namna kuna watu wanaprophesy next coming crimes na kuzizuia, nikajaribu kugoogle hiyo technology basis ya utendaji kazi wake upoje sikupata jibu la kueleweka. Naomba nieleweshwe kama kuna mtu anajua coz pia nilivyogoogle nikaona kwamba hiyo technology ni real na inatumika huko Marekani.
Naomba kuwasilisha!
Naomba kuwasilisha!