Hatimaye imewezekana bhana! program ya DuckDuck Go Sasa inaweza kuzuia Matangazo Ya YouTube bila kutumia Extension yoyote kama ilivyo Ublock origin.
Ukifungua YouTube kupitia DuckDuckGo Browser, unaweza kutazama video nyingi bila matangazo ya kuudhi yanayokatiza kila dakika.
Bila kuhitaji...