The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.
Du
Hawa jamaa kweli naona walijeruhiwa kweli kweli na Samia hawakutaka hata kusogea kusikiliza taarifa ya uongo.
Maaskofu Catholic nawajua vizuri ni watu strict na wakali wamenyooka sana. Yale yaliyotokea kabla ya uchaguzi kwao nadhani walishakata kabisa kamba na serikali ya Samia..
Wakuu,
Jana wakati wa misa ya kumuaga Kardinali Pengo kulikuwa na hili somo maalum lililoandaliwa na likasomwa kwenye misa mbele ya Samia
Kwanza picha linaanza tukio ni la msiba lakini somo limesomwa kutoka kwenye kitabu cha WAFALME.
Kilichosomwa:
"Neno la Bwana likamjia Elia Mtishbi kusema...
GT
Huu ni ushauri wa bure tu hauna gharama yoyote. TEC mara zote hushauri mambo mema huku wakiwa hawana tamaa na maslahi binafsi.
Kitendo cha Samia kuwapuuza hawa jamaa kitamtesa milele hadi anazikwa na atapata tabu sana jamaa hawana mbamba. Na hawajipendekezi kwa yeyote isipokuwa dini yao tu...
Kwanza TEC wanadai serikali yake ni dhalimu na imekuwa ikiteka na kuua watu.
Asingefaa kupewa nafasi ya kwenda kuaga mwili wa huyu kasisi aliyefariki
Alishatamka hadharani kuwa ana kinyongo na Tec
Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema.
=====
YAH: TANGAZO LA KIFO
Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es...
Wanaukumbi.
Baraza la ma askofu TEC linaomba Msaada lisaidiwe na serikali.
Maombi yakikataliwa wananua.
Hali tete leo hii ndiyo wanamtambua Rais Samia wanaomba msaada, Rais Samia achana na hawa wamezoe kudekezwa waendelee kutoa matamko.
Wasubiri umalize muda wako pesa hamna zinapelekwa...
Ni kama kila waziri yuko na mission yake. Kila mtu anajiendea anavyoona inafaa, no organized mission for the same purpose.
Yani purpose iliyowapeleka Vatican ni kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29. Msimamo wa TEC mlipingana nao tena bado mnaendelea kupingana nao kwa kulichafua kanisa...
Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
NB: Tuzo hizi ni kwa mujibu wa Poll...
Jina langu halisi naitwa Muhamed Awadh Mafwere. Ni inspekta wa polishi kikazi.
Kwa amri toka juu, niliwaita washirika wetu akina Zuwena aliyejiita Rose, Zahra aliyejiita Sofia, Mahamoud aliyejiita Martin, Yahya aliyejiita Yohana na wengine wengi.
Kama 'wakatoliki' tuliandamana kupinga namna...
Utabiri CCM itandoka kabla ya TEC kwasababu mmoja ni ya wezi nyingine ni ya jamii na ukweli. Wovu haujawahi kushinda HAKI. Iko siku tutakuwa na TEC lakini Chama Cha Mapinduzi kitakuwa na jina lingine kama TANU ya Kenya
Ni watu sio Chadema ona hapa
https://youtu.be/w2poGaeVvCw?si=wYS6sskWQ-dKLFDZ
Anaandika Rais wa TLS kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, Boniface Mwabukusi.
HATUTAENDELEA KUKAA KIMYA DHIDI YA UOVU.
Hii ni project yenye sessions 27 mpaka sasa zimefika tano. Nadhani huu siyo uchokozi dhidi ya TEC ,Father Charles Kitima, Mapadre wala Watawa na Wakatoliki wa kweli...
Mama (Rais Samia) unataka nikushauri vipi na mara ngapi kuhusu Kanisa Katoliki ambalo Mimi GENTAMYCINE pia ni Muumini tukuka wa hilo Dhehebu na wala sina mpango wa Kuacha kuwa Mkatoliki? Rais Samia hivi unajua kuwa kupambana na Kanisa Katoliki kunahitaji Akili Kubwa ambazo kwa bahati mbaya sana...
Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa
Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo.
Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua.
Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
Huu ni wito kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC.
Nyie ni chombo nyeti sana na mna aminika dunia nzima.
Huyu kibibi anawabeep sana. Anawashambulia, anawateka, na kuwafanyia mashambulizi ya kutaka kuwaua. Sasa akishirikiana na wapumbavu wake wa tiss na bakwata anaandaa vikundi vya...
Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
Internet haisahau.
Miaka 12 iliyopita katika kesi ya Lwakatare, aliyekuwa mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliwatuhumu mpiga picha wa Rais Kikwete wa wakati huo, Issa Michuzi, Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Waziri Mkuu wa sasa, Mwigulu Nchemba na bwana Joseph...
GT
Kwa ufupi sana
1. Ni kweli ludovick ni mkatoliki lakini ni msaliti kama yuda
2.Alisoma mpaka ngazi ya frateri ambayo ni ngazi ya juu kabisa kuelekea upadri.
3. Alifukuzwa na kushindwa kupata daraja takatifu la upadre.
4 Ludovick ana kisasi na kanisa kisa kufukuzwa kwa utovu wa nidhamu...
Hili dubwana linaloitwa TEC Lina mambo mengi sana nyuma ya pazia Hadi inafika wakati mtu unashindwa kuelewa hi TEC iliundwa Kwa ajili ya dini au kazi nyingine ambayo sisi hatuijui
Nilipopata hizi habari kuwa Mbowe pale CHADEMA alikuwa king'ang"anizi ila TEC ndio wamemuondoa nilikuwa sijaamini...
Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!
Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.