tcra

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (pia huitwa kwa Kiingereza: Tanzania Communications Regulatory Authority ambapo mara nyingi huitwa kwa kifupi: TCRA) ni taasisi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye majukumu ya kusimamia sekta za mawasiliano na utangazaji.

TCRA Ilianzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na. 12 ya mwaka 2003 kusimamia huduma za kielektroniki na posta na masafa ya mawasiliano nchini Tanzania. Mamlaka ilianza kazi tarehe 1 Novemba 2003 na inafanya shughuli za zilizokuwa Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCC) na Tume ya Utangazaji Tanzania (TBC).

Mamlaka ya TCRA ni kusimamia sekta ya posta, mawasiliano ya kielektroniki na utangazaji katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni pamoja na:
  • Kuzifanya shughuli za TCRA kuwa za kisasa kwa kutumia teknolojia sahihi;kuimarisha tafiti zenye ubora katika huduma zinazodhibitiwa, uwezo na umahiri wa watumishi.
  • Kukuza ufanisi; kuaminika na kuhakikisha usalama wa miundombinu ya mawasiliano na matumizi yake.
  • Kukuza ufanisi na unafuu wa huduma za Mawasiliano na kuongeza upatikanaji wa huduma za Posta na TEHAMA katika maeneo yasiyohudumiwa ipasavyo na yale yasiyo na huduma kabisa.
  • Kulinda maslahi ya wadau na kukuza uelewa wa haki na wajibu wao.
  • Kufuatilia utendaji wa huduma zinazosimamiwa na kuhakikisha utekelezaji wa Sheria na Kanuni kwa viwango vinavyostahili.
  • Kuratibu utekelezaji wa ahadi za kisekta kitaifa, kikanda na kimataifa.
  • Kufikia kiwango cha juu ya kuridhisha wateja kama ilivyoainishwa kwenye Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa TCRA.
  • Kuendelea kuzingatia matakwa ya kisheria na kiusimamizi.

Sera zinazoathiri utendaji kazi wa TCRA ni pamoja na:
  • Sera ya Taifa ya Mawasiliano ya mwaka 1997
  • Sera ya TEHAMA ya mwaka 2003
  • Sera ya Taifa ya Posta ya mwaka 2003
  1. TCRA, Vodacom wanatukata 200 kila tuongezapo salio za nini?

    Hii sasa kwangu ni mara ya tatu, Sijawahi kopa Ila nashangaa kila nikiweka salio. Sina huduma yoyote ambayo nimejiunga. Huu ni wizi.
  2. TCRA: Kasi ya internet inasababisha kifurushi kuisha haraka

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja vitu vitatu vinavyosababisha kuisha kwa bando haraka ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya internet, uwezo wa simu janja na kuwa na application nyingi kwenye simu. Pia imesema gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine nchini...
  3. TCRA hivi mpo kwa ajili yetu ama? Waziri wa Mawasiliwano tusaidie hili

    Habari zenu wanajukwaa. Ninaomba hili suala limfikie mwenye dhamana na haya Mambo yanaboa Sana. Unanunua kifurushi wanakupangia muda wa kutumia. Mfano hapa nimeshajiunga sms za shs1500 kwa Airtel sms 9000. Shida mpaka napangiwa sms za kutuma kwa siku hivi kweli hii ni uungwana ama wao...
  4. Naomba Msaada wa kutoa taarifa ya utapeli

    Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja. Huku akaunti yangu haina hiyo hela. Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua, kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
  5. Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

    Siku moja tangu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na kuubandika wito huo katika Makazi yake ya Dar na Kijijini kwao Koromije, Makonda amepost picha kwenye ukurasa wake ikimuonyesha akiwa...
  6. B

    Waziri Nape, kuhusu vifurushi vya simu tatizo lipo TCRA

    NDUGU NAPE, KUHUSU VIFURUSHI VYA SIMU Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Ndugu yangu Nape tatizo liko hapo TCRA. Haya makampuni ya simu yanafanya biashara na hivyo yanaweza fanya lolote yasipopata usimamizi. Tunahitaji Kanuni za vifurushi kama vifurushi kutoka hapo TCRA ili zitusaidie...
  7. TCRA yasimamisha kipindi cha EFATHA cha Nabii Josephat Elias Mwingira kwa miezi mitatu, Star TV yapewa onyo

    Kamati ya Maadili ya TCRA imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu maudhui yenye ukakasi ambayo ni kinyume na Kanuni za Mawasiliano TCRA ikimnukuu Askofu Josephat Mwingira...
  8. Nape acha 'Kukurupuka' hili la 'TCRA' laweza 'Kukuharibia'. 'Boss' wako 99% anategemea hizo 'Tozo' ili nchi iende

    Umeanza kwa Pupa sana Kamarada ( Comrade ) sijui bado 'appointment hangover' inakusumbua pamoja na Ujana ulionao? Jeuri ya Boss wako ( Mama ) ipo katika hizi Tozo mbalimbali sasa leo hii unavyotaka TCRA ipunguze kwa kutafuta Kwako Sifa kwa Watanzania huku ukimkosesha Mama Mapato ya Kuongezea...
  9. Waziri Nape Nnauye aitaka TCRA kuyaagiza Makampuni ya Mawasiliano kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi

    Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu jambo hilo. Chanzo: DarMpya Pia soma - Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya...
  10. TCRA Naomba fuatilieni hii kitu hawa watu wanatapeli watu sana

    Leo nimetumiwa message kutoka kwenye namba +255733326905 kuwa nimeshinda Biko ya milioni 5 waliniona mimi ni zuzu wa kuona milioni tano nitahaha. Wakanipa maelekezo nipige kwenye namba hii 0719254427 Nawaomba cyber polisi na TCRA fuatelieni nyendo za hizi namba mishowe mtamkamata huyu mtu. +
  11. Matapeli wa Simu wanazidi, licha ya simu kusajiliwa! Nani alaumiwe, Makampuni ya simu, TCRA, Polisi au Raia?

    Wakuu hizi sms Mzee flani ni mganga maarufu, atakupa utajiri wa freemason, mara utajiri wa ndagu nk. sasa zimetawala sana, na hizi zingine za umeshinda milioni 700000000, piga Simu 0000 ili upate zawadi zako. Au unapigiwa simu na litapeli likisema Kuna Hela imetumwa kwako kimakosa. Simu zote...
  12. TCRA waipa onyo wasafi Tv kwa kukashifu dini ya kikristo.

    Kamati ya Maudhui ya TCRA, leo Jumatano imeipa onyo Wasafi Televisheni, pamoja na kuitaka iombe radhi mara tatu kwa siku, kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumamosi, huku ikiiamuru ilipe faini ya Sh. 2 Mil., baada ya kukutwa na hatia katika kosa la kurusha maudhui yenye kukashifu dini ya Kikristo...
  13. Balozi Kagasheki: TCRA Mnachekesha

    Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu; Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa...
  14. TCRA haina malaika ya kuzuia Darasa la Uongozi.S

    Siyo kila mtu anayesema ana mamlaka ya kufanya jambo anayo mamlaka hayo. Kile kipindi cha phone-in. Watu walikuwa wanapiga kutoa maoni yao kuhusu kile kipindi. TCRA iliwasikiliza watu wale? Wale watu walikuwa na shukrani sana kwa Polepole. Polepole alikuwa anaongea maneno kama vile ," Mwajibishe...
  15. TCRA Yamfungia Polepole, Mwenyewe Asema "Kusema Ukweli ni Sehemu ni Safari Ndefu."

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kwa muda usiojulikana kipindi cha Shule ya Uongozi kinachomilikiwa na Mbunge, Humphrey Polepole kwa makosa matatu likiwemo la kutoa taarifa ya upotoshaji kuhusu chanjo ya Uviko 19.
  16. Hongera TCRA kusisitiza Professionalism kwenye habari! Acheni double standards, acheni uonevu. Tendeni haki kwa Watanzania!

    Wanabodi, Naomba kuanza uzi huu kwa declaration of interest. Mimi ni mdau mkubwa sana wa TCRA, nawakubali sana, na hadi vipindi vyao nafanya Ila TCRA ilichomfanyia Humphrey Polepole na shule yake ya uongozi sio sawa, sio haki, ni kumuonea na TCRA kufanya maamuzi kwa double standards...
  17. R

    Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

    Ktk vitu ambavyo intelijensia haijachukulia mzaha ni pamoja na swala la Polepole. Hata kama mlichelewa kumfumba mdomo lakini atleast mmejaribu. Huyu Polepole tungemchekea mwisho wa siku tungevuna mabua Waswahili husema ukimchekea sana Mbwa itakuja siku atakufata msikitini. Haiwezekani mtu...
  18. TCRA fuatilieni matapeli wa mtandao wanaojiita" Digital Master"

    Kumeibuka kikundi cha watu wanaojiita Digital Master kikiongozwa na mtu anaejiita Saidi Mbondela jijini Daresalaam ambao kazi yao ni kutangaza wana uwezo wa kutengeneza programme katika simu kwaajili ya kufuatilia message, na simu za watu,aidha mtu huyo mwenye namba 0757039596 anakuhitaji...
  19. Z

    TCRA tuambieni nani alimshitaki Polep[ole? Kuna matatizo makubwa ya maamuzi.

    TCRA imemshitaki Polepole, Polepole akajitetea kwa TCRA, halafu TCRA ikamhukumu! That is no right! Kuna tatizo kubwa sana. Muhusika amesoma kwa maringo sana juu ya mwenendo mzima wa maamuzi ya TCRA lakini mwishoni mtu unaona ni kama upuuzi wa aina fulani vile. Haijulikani makosa yameanzia kwa...
  20. Humphrey, ulikuwa unapeleka majina yetu TCRA na Polisi kwa Makosa ya Mitandao, Sasa upanga unakukata upande wa pili

    Humphrey na kundi lake la Wana ccm mtandaoni walikuwa wanapeana posho kusaka wanaomkosoa JP na serikali yake, watu wengi waliokamatwa na kushitakiwa ni kazi ya Humphrey na kikosi kazi chake, na aliomba fungu maalum, Leo walewale aliokuwaa awapelekea majina ndio wanamla N.B: alitishia ma RPC na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…