tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni uamuzi upi tatizo CHADEMA wa MBOWE kuutaka uenyekiti tena, au ule wa LISU kuitosa nafasi ya umakamu mwenyekiti na kumendea uenyekiti taifa?

    Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema? au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi? na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa, kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la Kuishiwa nguvu mara kwa mara

    Habari ndugu wanajamii forum! Mimi nina mke wangu anasumbuliwa na tatzo la kuishiwa nguvu mara kwa mara,kuna wakati anakosa nguvu na kulegea kabisa hadi mtu unaogopa,tumeshaenda hospital na kupima kila aina ya kipimo, kama pressure,Moyo,eco,hiv, maleria na wingi wa dam pia uko vzuri tu na kila...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tusiwalaumu tena vijana wetu kwa kuendekeza mpira, tatizo lilianzia kwenye kauli za kiongozi mkubwa wa taasisi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa kauli hizi ndugu zangu, kuna sababu ya mtu mwenye akili timamu kuacha kushabikia mpira kweli?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

    Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten. What about u mwanamke? Wewe...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe hatuhitaji Katiba mpya kuwaondoa CCM madarakani, tatizo tunaongozwa na viongozi waroho

    Wakuu... Kumbe wala hatuhitaji Katiba Ili kuiondoa CCM madarakani kama tulivyokuwa tukiaminishwa,. Pamoja na Katiba mbovu tuliyo nayo sasa bado CCM wanaweza kung'oka madarakani , Tatizo letu ni Viongozi waroho wa Fedha na vyeo ndio wanaotuponza , wao ndio wanatukwamisha maana wamekubali...
  6. JamiiForums Tanzania Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

    Ndugu zangu salaam Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu hata akiwa kwenye siku za hatari, pia anakosa ute wa mimba. Kuna kipindi ukimuaandaa analoa kidogo na ukiloweka haiishi dk 5 ameshakauka kabisa..kipindi cha siku za hatari ule ute wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Mbowe atachukua fomu kugombea uenyekiti, ni bora kuanzisha chama kipya cha siasa. Watanzania wanataka mabadiliko lakini CHADEMA ni tatizo

    1. Mbowe alizingua kwa Zitto. 2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa. 3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano. Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king. Sasa;- 4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake. Kwasababu, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena. You cannot lie...
  8. JamiiForums Tanzania Nikipata shida nasaidiwa sana na wanawake, hii inasababishwa na nini?

    Mimi ikitokea nimepata tatizo napata msaada na support kubwa sana kutoka kwa wanawake. Hata kipindi nasoma wasichana walipenda kushirikiana na mimi katika discussions na walinisaidia materials ili nifaulu, na endapo nilifeli walijikusanya hata wasichana watano kunipa ushauri. Sasa ni mtu mzima...
  9. JamiiForums Tanzania Nywele kukatika kwa wanawake: Tatizo, Sababu na Suluhisho.

    Nywele kukatika ni tatizo linalowakumba wanawake wengi, na linaweza kuathiri kujiamini na muonekano wa jumla. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo mengi, ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya bidhaa za nywele, lishe duni, na matatizo ya kiafya. Kila mtu anayekatika nywele ana sababu tofauti na...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa na hichi chombo foleni haitakuwa ni tatizo kwako

    Hichi kifaa kinaitwaje na kinauzwa bei gani? Nataka niwe naruka angani niachane na hizi foleni za barabarani.
  11. JamiiForums Tanzania Kuna watu wazima wanaogua tatizo la kutembea usingizini(sleepwalking)?

    Tatizo la watu kutembea wakiwa usingizini(sleepwalking) ambapo mtu anakuwa anafanya mambo mbalimbali akiwa usingizini huwa common sana kwa watoto wadogo. Huwa inasemwa kwa watu wazima wenye hili tatizo wanaweza kuamka wakafanya mambo mbalimbali wakiwa usingizini ikiwemo kupika na kula kabisa...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la maandishi kujirudia kwenye display, Masada natatua vipi?

    Jambo wapendwa wa jamii forum. Ni matumaini yangu mko poa wote, kwa wenye changamoto nawaombeeni kwa Mungu awafanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mara. Karibuni nimekuwa nikipata uzoefu mbaya katika utumiaji wa simu yangu. Iko hivi mara kwa mara nikiwasha simu kama ilikuwa imelala imekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
  14. JamiiForums Tanzania Nimerudi tena Baada ya Miaka 2 kwa changamoto za kusahau password, hili tatizo JF mlitizame.

    Kwa kipindi cha muda mrefu niliacha kutumia JF almost 1year na baadae kurudi nikawa nimesahau password yangu, changamoto ilikua kubwa zaidi pake ambapo details zangu nilizofungulia account yaani email na password pia kwa wakati huo siku kwenye matumizi navyo. Kitu pekee nilichokua nacho kichwani...
  15. K

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo sugu la umeme Kigamboni

    Kumekuwa na Tatizo sugu la kukatika umeme Kigamboni. Nafikiri sekta binafsi inaweza kuliendesha vizuri na kwa uweledi Mzuri hili shirika kuliko hizi adha tunazozipata hivi sasa chini ya Serikali.
  16. JamiiForums Tanzania App ya Dstv stream ina tatizo au ni simu yangu tu?!

    Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza. Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni tatizo la kijenetiki tuu

    Akizaliwa ng'ombe au mbuzi wa aina hii kwenye boma lako, utamuua au utamfuga? Wakulima wengi huwaua, lakini kibaolojia hali hii inaitwa Incomplete Genetic Makeup, na hutokea hata kwa binadamu.
  18. JamiiForums Tanzania Wazo la Leo: Tatizo ni Hatujui Watafanya Nini...

    Kilichoahidiwa na CCM na kutekelezwa kwa miaka siting na kitu kinajulikana. Uzuri na Ubaya wa sera zake unafahamika. Watanzania wanajua maisha chini ya CCM. Hakuna kiongozi wa CCM kwa sasa (awe serikalini au chamani) ambaye hajulikani na Watanzania... Hapa ndipo kilipo kibarua cha upinzani...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchafu umekithiri maeneo ya Buzuruga ndani ya Jiji la Mwanza, wanaohusika wawajibike

    Leo nilikuwa eneo la Buzuruga Shule, ki ukweli hali nilioiona imenisikitisha sana kutokana na marundo ya uchafu yaliyojazana kwenye mitaro maeneo hayo eneo maarufu la Shule. Wahusika watoke ofisini na kujionea hali ya uchafu iliyopitiliza eneo lote la Buzuruga.
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la Kibabage ni jina lake, atafutiwe a.k.a huwezi kuitwa Kibabage ukawa star

    Kimo chake na jina lake vinatoa confidence kwa wapinzani wake kumpita. Hawezi kuongeza hata inchi moja ya urefu wake sasa tumtafutie jina la utani. Iwela kutisha au la wachezaji wakubwa inasaidia kumtisha adui Jina kama Ninja, Messi, Spideman, Tshabalala , Mdaka mishale yanatisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…