tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mko wapi, tatizo mnajificha sana mabroo

    Niko tu uchochoroni, Siziwezi hekaheka za vijana Mimi Mzee wenu,nipo mahali nimejibanza napata local beer
  2. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani TANESCO? Nchi nzima umeme umekatika

    Mbona hamtoi taarifa? Megawati 2000 na ushee za ziada Alafu mnakata umeme ?
  3. JamiiForums Tanzania KERO Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni

    Ni kweli tunataka maendeleo ila kiukweli naona kabisa Yard ile kua pale jeshini sio sehemu sahihi. Kwa mtazamo wangu ilibidi isogezwe huko nje ya miji kuliko pale. Mfano usiku huu malori yamefunga njia moja(yamepaki barabrani) magari yanapita kwa shida kutoka Sabasaba hadi Zakhem. Mamlaka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Africa inaweza kupunguza zaidi tatizo la Ajira kwa Watoto wa Kiafrica kupitia Ubia | Happy frica Day 2026

    AFRICA DAY 2026: PPP NI DARAJA LA MAENDELEO YA AFRIKA Katika kuadhimisha Siku ya Afrika Mei 25, 2026, Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Tanzania (PPPC) kimetoa ujumbe wenye maono makubwa kuhusu mustakabali wa bara la Afrika kupitia ushirikiano wa maendeleo na uwekezaji...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la CCM ni kuwa hakuna wa kudiriki kumwambia Mwenyekiti kuwa Hapa tunajielekeza vibaya tusifanye hivyo! Kibaya wengine ni toka jalalani

    Nadhani kama angetokea mtu jasiri akamwambia Mwenyekiti tusiende njia hiyo, huko si kwema kwa mustakabali wa taifa, maybe angeweza kuona ubatili wa yanayotokea. Shida ni kuwa wanamhakikishia kuwa all is OK and heading in the right direction
  6. JamiiForums Tanzania Changamoto za uzazi: Je, tatizo ni la mwanamke pekee?

    Je, wajua kuwa changamoto za uzazi si kwa mwanamke pekee, bali zinawahusu pande zote mbili mwanaume na mwanamke? Ubora wa mbegu za kiume ni miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia familia nyingi kushindwa kupata mtoto. Ungana na Dkt. Matilda Ngarina, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sekretarieti ya Ajira (ICT) wana tatizo la kutojibu email wanazotumiwa

    Ninaomba kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, hasa upande wa TEHAMA (ICT), wawe wanapokea na kushughulikia kwa wakati barua pepe (email) tunazotuma. Inasikitisha kwamba unatuma email yenye tatizo muhimu kwenye akaunti yako, lakini inapita mwezi hadi miezi bila majibu wala...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba linaanzia hapa

    Nilikuwa namtetea sana Mangungu kwamba hana uwezo sababu katiba haimpi nguvu. Baada ya marekebisho ya katiba amekaa kimya na kuqcha bodi ambayo haitambuliki iendelee kufanya maamuzi ikiwemo kuingia mkataba wa kutengeneza kadi wakati swala la kadi za wanachama linatakiwa kuwa chini yake...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna kijana anakataa kazi yenye maslahi tatizo mabrother mnataka tuwasindikize kwenye utajiri

    Dr Toyota anadai vijana hawapo tayari kufanya kazi kitu ambacho si kweli kimsingi watu wanafanya kazi zenye kurisk afya hata maisha yao ila wanachopata hakimudu gharama muhimu za maisha. Mabrother waliojipata baadhi yao wanakuwa na roho za kishetani unakuta umeshiriki hata kwenye mchongo...
  10. JamiiForums Tanzania Heche: Sina Tatizo Binafsi na Rais Samia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche amesema hana tatizo binafsi na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Heche ameyasema hayo jijini Mwanza wakati akizungumza kwenye kongamano la Wasomi wa Vyuo Vikuu lililoandaliwa na Mtandao wa Wanafunzi wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la Usafiri kwa Wananchi tunaoishi MOSHONO - ARUSHA

    Wananchi tunaoishi Moshono Arusha tunapata sana shida ya usafiri wakati wa asubuhi tunapoenda kwenye shunguli zetu na jioni tunaporudi majumbani. Hali hii imechangiwa na baadhi ya madereva wa daladala zinazoenda Moshono kuzuia Bajaji zilizokuwa zinafika hadi Moshono zisiende tena Moshono na...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shida sio hela ya matunzo ya mtoto bali ni baadhi ya baby mamas kuitumia kula bata na kumkomoa anaetoa.

    Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto. Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako...
  13. JamiiForums Tanzania Je Tatizo ni Ruto au Samia ?

    Kabla ya Rais kwenda mahali kunakuwa na communication nyingi na Objectif ya Safari. Ya Kwamba Samia was not informed in advance juu ya project ya Tanga - inaacha maswali mengi juu ya Idara ya Usalama wa Taifa na Taasisi ya Ikulu Na Kama ni kweli ilikuwa hivyo: it was supposed to be indoors...
  14. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Watawala wakubwa wanajihisi wao ni WATAKATIFU, Wananchi na wakosoaji ndio tatizo

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q UTANGULIZI Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
  15. JamiiForums Tanzania PATA CAR DIAGNOSIS SCANNER JUA TATIZO LA GARI LAKO KABLA YA KWENDA GARAGE

    🚗 OBDII Scanner – Chunguza Gari Lako Kitaalamu! 🔧 Unapata shida kujua tatizo la gari lako? Suluhisho ni hii OBDII Scanner yenye uwezo wa kusoma na kufuta error codes kwa haraka na usahihi 💯 ✅ Inasoma matatizo ya engine (Check Engine) ✅ Rahisi kutumia – Plug & Play ✅ Inafaa kwa magari mengi ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la majeraha ya Mzize kuchelewa ni sababu ya umri

    Kuna kipindi kulikuwa na mjadala kuhusu umri wa Mzize, wapo waliosema ni mtoto au kijana wa miaka 20 na wengine wakasema amedanganya umri. Majeraha aliyopata yameweka kila wazi kuhusu umri wake.
  17. JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwa na tatizo la kazi au ajira

    Tuseme tu ukweli hakujawahi kuwa na tatizo la kazi au ajira, isipokuwa kuna tatizo la kukosekana kwa kazi rahisi , au kazi zenye hadhi tunayotaka ,, kiukweli kazi za kupima matokeo nikazi ngumu kuliko zote wengi tunapenda ile kazi ambayo hata usipofanya hakuna anayeweza kuipima moja kwa moja...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo la wingi wa damu

    Natumai hamjambo, nina tatizo la damu nyingi mwilini. Pia damu ni chafu, naomba maelekezo nini cha kufanya niweze kupunguza damu mwenyewe kabla sijaenda kuchangia. Ahsanteni. ===== UFUATILIAJI WA JAMIICHECK
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heri uishi na mke mchafu au mwenye kiburi?

    Na wengi wao huwezi kuwajua kabla ya ndoa, Drama inaanza baada ya ndoa
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo sio mfumo wa ELIMU, tatizo ni asili ya watu

    Watanzania wengi Mimi nawaita vichaa kwasababu hawana uwezo wa kuhoji mambo ndani ya nafsi zao. Ikutokea mtu mwenye ushawishi katika jamii ameongea jambo, jambo hilo kwa 100% wataliunga mkono na kuliona liko sahihi. Kuna hoja ilitolewa na wapinzani na baadhi ya watu kuwa mfumo wa Elimu yetu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…