taratibu

  1. Unatongozwa taratibu unatakaa kwa nguvu, kwanini..?

    Midada myengine inamambo ya ajabu lijitu unalitongoza kwa staha na ukimya ila lenyewe likiwa limekoswa ustahimilivu linakujibu kwa kubwatuka kwanguvu!, ni kama vile limepewa kipaza sauti ama tupo kwenye mkutano wa hadhara kila mtu anahitaji kusikia!!. Sio tu habari kusambazwa mtaani mpaka...
  2. Wengi hamjui protocol, Jana Rais hakutambulishwa,aliitwa mbele ahage mwili kwa taratibu za kiislamu na aondoke au azungumze,je mwanamke yupi uzungumza

    Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti? Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote? Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo! Yaani alichokitamka faza Kitima ilikuwa ni kumpa salamu yakuwa hawamtambui, Kwanza kusema atatambuliwa...
  3. Mwigulu ataka taratibu za uhamiaji zirahisishwe AFCON 2027

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani na Tamisemi kukamilisha maandalizi ya mipakani kuelekea Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON 2027) zitakazoandaliwa kwa ushirikiano wa Tanzania, Kenya na Uganda. Akizungumza Namanga, Arusha Februari 23, 2026, amesema...
  4. D

    Miliki apartments hizi kwa kuanza na 30% ya bei ya apartments kisha lipa taratibu ndani ya miezi 20 mpaka 24

    Mango tree residence ni mradi mpya na wa kisasa ambao utakuwa na apartments za makazi na biashara Unaojengwa Msasani beach nyuma ya kwa Nyerere mikocheni Dar es salaam. Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo...
  5. M

    Ni kweli mbinu ya pulse and glide, kukanyaga moto kisha uliache gari free kunasaidia kupunguza ulaji wa mafuta ?

    Pulse (Ongeza kasi): Kanyaga accelerator kidogo hadi gari lifikie mfano 50 km/h. (mizunguko ya mjini) Glide (Teleza): Toa mguu kwenye accelerator, acha gari liende taratibu lenyewe Wakati gari limepungua kasi mfano 20 km/h rudia hatua ya kwanza
  6. U

    Breaking news Kanisa la Wasabato Kenya lawatimua kazi Wachungaji 19 kwa madai ya kwenda kinyume na mafundisho ya kanisa ikiwamo Utatu Mtakatifu

    Ni habari nzito sana kutoka Kanisa la Wasabato Nakiru kenya. Wachungaji hao wanakataa baadhi ya mafundisho ya Kanisa hilo ikiwemo Utatu Mtakatifu Holy Trinity Doctrine yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho mtakatifu. Wengine wakidai kuwa Yesu Kristo ndiye Sabato Halisi The Seventh Day...
  7. E

    Mradi wa Maji

    Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
  8. TFF Iwe Inaweka taratibu za Ligi Mwanzoni mwa Msimu tu

    Hii tabia ya kuruhusu viwanja mwanzoni mwa msimu halafu baadaye kuvifungia wakati ligi inaendelea siyo jambo zuri. Wakishakagua uwanja na kuupitisha basi wangoje hadi msimu uishe ndipo wautolee uamuzi mwingine.
  9. M

    Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

    Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha Rais...
  10. Hii nyimbo harmoniza umeua sana, Haswa kwa sisi tunaopenda nyimbo za taratibu

    "Leo" by Harmonize featuring Mbosso, produced by Mafia, is a heartfelt Bongo Flava love anthem that captures the raw honesty of falling deeply for someone at the most unexpected time. Harmonize opens the song with a nostalgic confession, remembering the first moment their eyes met, the...
  11. U

    Athari za mgogoro wa kisiasa unaoendelea TZ: Wafanyabiashara wa Marekani waanza kujitoa na kuondoa mitaji yao taratibu

    🚨 TANZANIA: U.S. BUSINESS LEADER WITHDRAWS FROM AMERICAN CHAMBER IN TANZANIA AMID ESCALATING HUMAN RIGHTS CRISIS AND NEW TRAVEL RESTRICTIONS In a dramatic escalation of tensions between the United States and Tanzania, prominent American entrepreneur @MichaelCoudrey, Chairman & CEO of Pharos...
  12. Kodi ya Watengeneza Maudhui Mtandaoni: Ubunifu unakufa taratibu

    Ni Desemba 16, 2025, Kampuni ya Meta ilithibitisha rasmi kupokea ombi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) la kukata kodi ya asilimia 5 kwa kila malipo yanayolipwa kwa Watengeneza Maudhui (Content Creators) wanaoishi Tanzania. Utekelezaji wa mfumo huu unaanza Desemba 21, 2025, hatua inayozua...
  13. 'Sheikh mkata vichwa' ndo aliua issue ya udini ilioanza taratibu kuenea

    Yule Shekh Mkata vichwa alikosea kuongea vile , Ila ndo aliua huo mchezo wa UDINI . Ile watu walipoanza kuudhuria kanisani na makanzu tatizo likawa solved.
  14. Taratibu za kubadili kadi ya umiliki wa bajaj na gharama za bima pamoja na LATRA

    Hqbari wakuu. Nimenunua bajaj kutoka kwa mtu, sasa nataka kubadili jina la umiliki, kwa maana kadi isome jina langu. Mwenye anafahamu taratibu na gharama za kubadili kadi anijuze. Pia hii bajaj haina bima nataka niikqtie bima, hivyo anaejua gharama za bima kubwa kwa upande wa bajaj anijuze pia...
  15. Taratibu wanaharakati wanakata pumzi

    Jana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa...
  16. Je, ni taratibu gani mtu anatakiwa kufuata ili apate hati miliki ya kiwanja/nyumba?

    Habari za muda Huu wadau, naomba kufahamu ili kupata hati ya kiwanja/ nyumba ni Hatua zipi zinatakiwa kufuatwa na inahtajika taarifa zipi, Gharama kiasi gani na inachukua muda gani kupata hati yako asante
  17. M

    Uzeeni ni heri uwe na mzigo wako wa kutosha unaukata taratibu au uwekeze kwenye biashara usubiri faida ?

    walengwa wakiwa ni waajiriwa zaidi. Uzeeni ni bora uwe na mzigo wa kutosha unaukata taratibu (Unaweza kuwa na vibiashara vidogo ili usikae sana ndani) Au ufungue biashara uwe unasubiria faida
  18. HumphreyHumphrey Polepole amefikisha saa 27 tangu adaiwe kutekwa ndo tunamsahau taratibu kama Mdude, why?

    Ndg watanzania, mtanzania mwenzetu ambaye alitekwa jana ameshaafikisha takriban masaa 27 tangu tulipopata taarifa hapo jana saa 3 asubuhi sawa na dakika 1,620, sekunde 97,200, mamalaka zipo kimya ndo umeshaakuwa utaratibu wa kawaida sasa watu kupotea ipi solution kama sio IGP Wambura kujiuzulu...
  19. DOKEZO Kuna dalili 'Vigogo' wanajigawia bila kufuata taratibu eneo la Tanganyika Packers kipande cha ufukwe wa bahari

    Nawasilisha hoja yangu ambayo nimekuwa nikitafuta muda wa kuileta hapa jukwaani kama dokezo, ili kama mamlaka zitakuwa na uwajibikaji, vifuatilie hususan idara yetu na TAKUKURU. Kama tunavyofahamu, eneo la Tanganyika Packers lililopo Kawe, Dar es Salaam, kwa sasa linamilikiwa na Serikali ya...
  20. A

    KERO NBAA angalieni taratibu zenu za usajili wa Accounting firm zinatukwamisha

    Naandika kwa masikitiko makubwa juu ya utaratibu wa kusajili kampuni ndogo za kutoa huduma ya Uhasibu kwa Umma hususani kwa watoa huduma wadogo (Small firms). Pamoja na viambatisho vingi vinavyotakiwa kuwasilishwa NBAA muombaji anatakiwa pia kuwasilisha cheti cha usajili kodi ya ongezeko la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…