Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
On his official X page ,UN secretary General ( António Guterres ) wrote "Deeply concerned by the situation in Tanzania, including reports of deaths & injuries during demonstrations.
I call on all to exercise restraint, reject violence & engage in inclusive & constructive dialogue to prevent...
Oktoba 31, 2025
Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania.
Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
Inaelezwa kuamkia jana Samia alikimbilia Uganda na kuhifadhiwa kwa Museveni.
Chanzo kutoka UN kimedai amehifadhiwa mpakani mwa Uganda na Tanzania.
Wazalendo wetu mliotukuka JWTZ tunaomba kikamateni hicho kikaragosi na mkikabidhi kwa Wahaya wakishughulikie kwa damu alizomwaga za kina Mdude...
Kwa maoni yangu, wafuatao ndio wasaliti wakuu waliolitumbukiza taifa letu kwenye machafuko lililomo hivi sasa. Wapo wengi, lakini mchango wa hawa ndio mkubwa zaidi.
1. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Samia Suluhu Hassan
3. Hamza Johari (Attorney General)
4. Francis Mutungi (Msajili, Vyama Vya Siasa)...
Viongozi wote tuliowaamini wakishirikiana na wezi na mafisadi kama akina Rostam Aziz na wengineo wamemaliza utajiri wa nchi, hawana uchungu na nchi yetu, wakati wananchi wa kawaida wanateseka wanakosa hata jinsi ya kupata matibabu.
Hao ndiyo wanaotuua kwa sababu wanaogopa maslahi yao...
Wanabodi
Hebu msikilizeni huyu jamaa, Mkenya anaitwa Rodgers Kakasungura
https://youtu.be/FFVNsTEI690?si=g-1g15frbAOn6yYz
Anatema uongo kumhusu Rais Samia, anamtukana na kumuita Dikteta Iddi Amini Mama, pia amemtukana rais wake Ruto kuwa ni Dikiteta Iddi Amini Baba, na kusema Uganda kulikuwa na...
Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau...
Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...?
Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
Sasa hivi, ukijikuta kwenye hali ambayo hukutarajiia ujue umesamia. Usitafute suluhu bila kuwa ngangari na ngunguru.
Hilo ndilo wazo la leo. Msikubali kusamia wala kusamiwa.
Inasikitisha sana ila ndo tukubali ukweli kuwa ile Tanzania ya watu wapole, wapenda amani wasiotaka fujo iliisha rasmi jana tarehe 29/10/2025. Hakutakuwa tena na kubembelezana kwenye mambo ya haki. Kila kitu kimeanza upya kuanzia jana.
Raia wamevumilia toka awamu ya kwanza hadi leo awamu ya 6...
Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana.
Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...
Elections in Tanzania were neither free nor fair
October 30, 2025
In a joint statement on general elections held on 29 October in Tanzania, leading MEPs urge all democratic partners to stand firm in defence of democracy and human rights.
“As Tanzanians went to the polls today, the...
UMEVUKA SALAMA?
Kama umevuka kipindi hiki kigumu, tafadhali tujulishe kwamba uko salama na tuendelee kuwaombea wenzetu.
Watu wengi wameumia na kupoteza wapendwa wao, Kwa imani yako na bila kujali itikadi za kiasiasa, tuiombee Tanzania 🇹🇿 yetu!
Tuwaombee wenye madaraka wapewe busara na...
Tumechoka na huyu Samia na wapumbavu wenzake, Huyo hana hata ile elimu ndogo ya form IV, amefeli kama walivyofeli police wake wauaji, wafiraji na wabakaji. Leo mmetutambua kuwa enough is enough, ameshaharibu na hatutaishia hapo, serikali ya CCM imetunyanyasa sana.....tumechoka.
Niwatahadharisha...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam.
Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu
Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli.
Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha.
Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya
SAMIA vs SULUHU: The Standard’s front page reports how opposition parties have been effectively sidelined in Tanzania’s 2025 general elections, leaving President Samia Suluhu Hassan and the ruling CCM party with a largely uncontested path to victory.
With leading opposition parties such as...
Ndugu Raia wa Afrika Mashariki,
Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote.
Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...